30 June 2011

Andy Cole awapa mbinu Makongo

Na Addolph Bruno

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Andy Cole amewataka vijana wanaochipukia katika soka nchini kuwa wasikivu kwa makocha

Usiku wa za Kale ni Dhahabu waja Julai 7

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya Mac D Promotion, imeandaa onesho la Usiku wa za Kale ni Dhahabu litakalofanyika katika Julai 7 mwaka huu kwenye Ukumbi wa

Abramovich kumwekea ngumu Essien kwenda Madrid

LONDON, Uingereza

ROMAN Abramovich atavunja mkakati wa Jose Mourinho wa kutaka kumsaini Michael Essien kwa pauni milioni 18.Lakini, kunaweza kutokea badiliko moja kwa

29 June 2011

Zitto amkabili Makinda

*Kuthibitisha leo tuhuma za Baraza la Mawaziri

Na Grace Michael, Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Bw. Zitto Kabwe, leo anawasilisha maelezo yake kuthibitisha kauli aliyoitoa bungeni akituhumu Baraza la Mawaziri kutoa maamuzi yanayotokana na

Mchungaji mbaroni kwa kuua mkewe

Na Livinus Feruzi, Bukoba

MCHUNGAJI wa Kanisa la World Missionery Fellowship of Tanzania (WMF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Bw. Gaspar Joseph (52) anashikilizwa na polisi kwa

Mbunge: Watendaji wanamdharau rais

Na Grace Michael, Dodoma

WABUNGE wameendelea kuirarua serikali katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu mambo mbalimbali hasa utendaji wake na baadhi wakienda mbali

Uagizaji mafuta pamoja kupunguza bei-UWURA

Na Agnes Mwaijega

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema inajipanga kuanzisha mfumo mpya utaoziwezesha kampuni zote kuagiza na kusafirisha mafuta kwa

Simba, Ocean View uso kwa uso

Na Mwandishi Wetu

WAKATI timu ya Simba, ikisaka ushindi katika mechi ya Kombe la Kagame Castle, Ocean View watakuwa wakitafuta pointi moja waweze kutinga hatua ya

Redd's Miss Kinondoni 2011 kambini leo

Na Mwandishi Wetu

MASHINDANO ya Miss Kinondoni 2011, yamezinduliwa juzi rasmi na leo washiriki 15 wanatarajia kuingia kambini Mzalendo Pub kwa ajili ya kujiandaa na fainali

Utamaduni wa Tanzania kivutio China

Na Amina Athumani

WATU wa China wamevutiwa na utamaduni wa Watanzania katika tamasha la tatu la utamaduni lililoanza jana nchini China.Katika tamasha hilo, Tanzania inawakilishwa na

Klabu tano zakabana koo kumsaini Neymar

RIO DE JENEIRO, Brazil

RAIS wa Klabu ya Santos, Luis Alvaro de Oliveira Ribeiro amethibitisha kuwa klabu tano Ulaya zimekubali kulipa dau la euro  milioni 45 kwa ajili ya

28 June 2011

Baraza la Kikwete lahojiwa bungeni

*Mbunge asema ni kubwa mno, linalodidimiza uchumi
*Alinganaisha Marekani yenye mawaziri 15, Japan 17
*Wazanzibari walia na muungano, wasisitiza uvunjwe


Na Grace Michael,Dodoma

MBUNGE wa Viti Maalum, Bi. Suzan Lyimo (CHADEMA) amekataa kuunga mkono hoja ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kuwa haijazingatia

Viongozi TLP wazidi kumkaba koo Mrema

Na Agnes Mwaijega

VIONGOZI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) wamemtaka Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Bw. Augustino Mrema kujiuzulu kwa

Mbunge akerwa Kenya 'kumteka' Babu Samunge

Na Grace Michael, Dodoma

SERIKALI imetakiwa kuwa makini na kukanusha taarifa za upotoshaji wa taarifa zinazotolewa na nchi jirani ya Kenya kuhusiana na Mchungaji Ambilikile Masapila maarufu

Katibu CCM atema cheche dawa za kulevya

Na Andrew Ignas

KIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Saad Kusulawe, amewataka viongozi wa serikali kutekeleza kaulimbiu ya

Sitambui muafaka Arusha-Lema

Na Queen Lema na Richard Konga, Arusha

MBUNGE wa Arusha Mjini, Bw. Goodbless Lema (CHADEMA), ameibuka na kudai kutotambua muafaka wa kumaliza mgogoro wa Meya wa Jiji hilo uliofikiwa kati ya

LHRC waomba hati kukamata viongozi Dowans

 Na Mwandishi Wetu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimewasilisha ombi chini ya hati ya dharura Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuomba itoe hati

Ocean View yajiweka pazuri Kagame

Na Elizabeth Mayemba

TIMU ya soka ya Zanzibar Ocean View, imejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye michuano ya Kagame Castle Cup, baada ya kuilaza Red Sea ya

Ali Kiba apata ajali Mikumi

Na Stella Aron

WANENGUAJI wawili wa msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, baada ya gari walilokuwa wakisafiria

Tevez, Man City waingizwa katika skendo

LONDON, Uingereza

CARLOS Tevez na Manchester City wameingizwa katika skendo ya upangaji matokeo. Wakati hakuna mawazo kama mchezaji au klabu  imefanya makosa, mahakama ya

27 June 2011

Shibuda awashukia vikali mawaziri wa Rais Kikwete

Na Rashid Mkwinda,Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA) Bw.John Shibuda, amesema utendaji mzuri wa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, unavurugwa na baadhi ya

Kawambwa atangaza dawa ya migomo vyuo vikuu

*Afichua yaliyomo katika bajeti yake
*Bodi ya mikopo kuongezewa fedha zaidi


Na Charles Mwakipesile,  Mbeya

WAZIRI wa Elimu na Mafunzoya Ufundi, Dkt.Shukuru Kawambwa, ametangaza mkakati wa kumaliza migomo na vurugu katika vyuo  vikuu

Yanga 'gonjwa' kama la Simba

*APR yanawiri Morogoro

Na Zahoro Mlanzi

MAMBO bado magumu kwa wenyeji wa mashindano ya Kagame Castle Cup baada ya Yanga kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na El-Mereikh ya

Twiga Stars yapangwa na wenyeji COSAFA

Na Zahoro Mlanzi

BARAZA la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA), limeipanga timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' Kundi A lenye timu za Lesotho, Botswana

Elephant Man apagawisha Str8Muzik Beach party

Na Mwandishi Wetu

MAMIA ya mashabiki walijimwaga na kuserebuka kwenye Klabu ya Mbalamwezi Beach, Dar es Salaam kushiriki kwenye tamasha la Str8Muzik Beach Party 2011 lililofanyika

Chelsea, Man Utd zamwania Ramos

LONDON, Uingereza

WAKALA wa mlinzi wa Real Madrid, Sergio Ramos amekiri kuwa timu za Ligi Kuu zinamhitaji mchzaji huyo.Manchester United na Chelsea, zimekuwa zikitajwa

24 June 2011

Zito matatani tena bungeni

*Atoa tuhuma nzito kwa Baraza la Mawaziri
*Spika Makinda ampa siku saba kuthibitisha


Na Grace Michael, Dodoma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Bw. Zitto Kabwe, (CHADEMA), ameingia katika mgogoro mwingine bungeni, baada ya kutoa tuhuma nzito dhidi ya

Jaji amwaga chozi mbele ya Tume

Na Salim Nyomolelo

SAKATA la baadhi ya viongozi wa umma kueleza sababu za kushindwa kujaza na kuwasilisha fomu za mali na madeni kwa mwaka 2010 imezidi kuibua mapya baada ya

Tuko tayari kupoteza mabilioni ya rada -Membe

Na Grace Michael, Dodoma

SERIKALI imesema iko tayari kupoteza mabilioni ya fedha yanayotakiwa kulipwa na Kampuni ya BAE Systems ya Uingereza endapo haitakuwa tayari kupitisha

Vigogo watakaokwepa kodi Kenya kufilisiwa

NAIROBI,Kenya

MAMLAKA ya mapato nchini Kenya (KRA)imesema kuwa itapiga mnada mali zote za wabunge na vigogo wa serikali watakaokaidi kulipa kodi ya mapato.Mbali na

Madaktari Mulago kutenganisha mapacha waliungana vifua

KAMPALA,Uganda

MADAKTARI nchini Uganda, wanajiandaa kuwafanyia upasuaji mapacha waliozaliwa hivi karibuni katika eneo la Kabale wakiwa wameungana sehemu ya

Waghana kuzinoa Simba, Yanga

*Ni Asante Kotoko na Hearts of Oak

Na Mwandishi Wetu

TIMU za Asante Kotoko na Hearts of Oak za Ghana, zinatarajiwa kuzinoa makali Simba na Yanga Julai 16 na 17, mwaka huu katika mashindano ya

Michuano ya gofu kutimua vumbi leo

Na Amina Athumani

WACHEZA Gofu 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini, wanatarajia kuchuana kesho katika mashindano ya gofu ya '1 & M Bank Golf Tournement', yatakayofanyika katika viwanja

Villas-Boas aahidi kumpa raha Abramovich

LONDON, England

KOCHA mpya wa Chelsea, Andre Villas-Boas amesema amejipanga kufanya makubwa yatakayomfanya mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich kuwa mwenye

Inter Milan yachemsha kwa Tevez

MILAN, Italia

INTER Milan imefikia ukingoni katika mbio zake za kumwinda, Carlos Tevez baada ya kushindwa mshahara wa pauni 150,000 anazotakiwa kulipwa mchezaji

23 June 2011

Misamaha ya kodi za posho moto bungeni

*Yazua malumbano makali, yapitishwa na bunge
*Wabunge wakerwa kampuni za madini kusamehewa

Na Grace Michael, Dodoma

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana walilumbana vikali bungeni wakati wakipitisha Muswada wa Sheria ya Matumizi, kutokana na hoja ya

Wananchi wapambana na polisi kuwaokoa wenzao

Na Raphael Okello, Bunda

MABOMU ya machozi, risasi zilirindima jana kwa saa mbili huku wakazi wa Mji wa Bunda wakifunga maduka na kukimbia ovyo kwa hofu wakati polisi wa

Bunge halijapokea shangingi la Mbowe

Na Grace Michael, Dodoma

WAKATI Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Bw. Freeman Mbowe akisema amerejesha gari kwa lengo la kupigwa mnada na fedha kuelekezwa katika miradi ya

Tumefuata taratibu kugawa vitalu-Wizara

Na Rabia Bakari

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za kuwabeba raia wa kigeni katika ugawaji wa vitalu vya uwindaji, na kudai kuwa imegawa kwa

Prof. Mukandala aipa changamoto AJMC

Na Peter Mwenda

CHUO Kikuu cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma(SJMC) kimetakiwa kutoa mafunzo ya uandishi wa habari yatakayowawezesha wahitimu kukabiliana na

Mtambo wa maji Ruvu waharibika

Na Anneth Kagenda

WAKAZI wa maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam na Bagamoyo mkoani Pwani, watakosa huduma ya maji kutokana na mtambo wa Ruvu Chini kuzimwa kwa ajili

Watakaolangua dawa ya mseto kuadhibiwa

Na Agnes Mwaijega

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii itawachukulia hatua za kisheria watakaouza dawa ya maralia aina ya mseto zenye nembo ya hati punguzo kwa bei ambayo

Tume ya Maadili yakwama kumhoji Cisco Mtiro

Na Salim Nyomolelo

BALOZI wa Tanzania nchini Maleysia, Bw. Abdul Cisco Mtiro, ambaye alitakiwa kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa kushindwa kujaza fomu za tamko juu rasilimali

22 June 2011

Mbowe arejesha Shangingi la serikali

 *Ataka liwe la kwanza kunadiwa, kutolea mfano
*Amtaka Spika atenganishe fomu za posho, mahudhurio
*Bajeti yapita, Mkulo akubali kupunguza bei ya mafuta

Na Waandishi Wetu, Dodoma, Dar

KATIKA hatua inayoonesha Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na

Malecela afanyiwa upasuaji wa moyo

Na Grace Michael, Dodoma

WAZIRI Mkuu mstaafu, Bw. John Malecela, amefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo nchini India hatua iliyomfanya Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Bi. Anne Malecela, kutohudhuria

Wachina wavamia kituo cha polisi

*Wafikishwa mahakamani kwa kumjeruhi askari

Na Peter Ringi, Babati

WAFANYAKAZI 13 wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara kutoka China ya (CHICO), jana wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, mkoani

Okwi awekwa chini ya uangalizi Simba

Na Elizabeth Mayemba

KOCHA Mkuu wa Simba Moses Basena, amemuweka Emmanuel Okwi katika uangalizi wa mechi tatu za michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kuboronga kwenye

Yanga 'full nondo' leo Arusha

Na Elizabeth Mayemba

KIKOSI cha timu ya Yanga kikiongozwa na wachezaji wake wa kimataifa Kenneth Asamoah, Yaw Berko na Davies Mwape kinashuka uwanjani leo kucheza na

TBF yaiomba serikali kuisaidia kujenga kituo

Na Amina Athumani

SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) lipo kwenye mazungumzo na serikali kuhusu kuwasaidia kuanzisha kituo cha kuibua vipaji vya mchezo huo cha

21 June 2011

Mgogoro wa umeya Arusha wamalizika

*CHADEMA, TLP wakubali kugawana unaibu meya

Na Queen Lema, Arusha 

HATIMAYE mgogoro wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutomtambua

Makinda: Niko tayari kuhojiwa na Kamati

Na Grace Michael, Dodoma

SPIKA wa Bunge, Bi. Anne Makinda amesema yuko tayari kuhojiwa na Kamati ya Kanuni za Kudumu za Bunge pindi atakapoitwa kutokana na malalamiko ya

Diwani CCM jela kwa kutoa rushwa

Na Steven Augustino, Tunduru

DIWANI wa Viti Maalumu wa Tarafa ya mlingoti Wilayani Tunduru kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Atingala Mohamed amehukumiwa kutumikia

Kuropoka kumetuathiri CCM-Guninita

Na Anneth Kagenda

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema wamepata madhara makubwa kutokana na baadhi yao kuropoka na kutoa siri za chama hicho

Mbunge alaumu masijala Tume ya Maadili

Na Agnes Mwaijega

MBUNGE wa Korogwe Mjini, Bw. Yusuf Nasri amejitetea mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kuwa fomu za matamko ya mali alizijaza, isipokuwa

Wabunge walia faini makosa ya barabarani

Na Grace Michael, Dodoma

MJADALA wa Bajeti ya Serikali jana uliendelea bungeni huku wabunge wakijikita kujadili vipaumbele vilivyoainishwa kwenye bajeti hiyo huku wakipinga baadhi ya

Yanga yatema wachezaji wanane

*Asamoah atua na kuanza mazoezi

Na Elizabeth Mayemba

UONGOZI wa Yanga, umetema wachezaji wanane katika usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa.Akizungumza

Ilala yang'ara Copa Coca-Cola

Na Addolph Bruno

MASHINDANO ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Copa Coca-Cola, yameendelea kupamba moto ambapo katika michezo ya jana timu ya Ilala imeibuka na ushindi wa

Bonga Star Search kuanza Julai 9

Na Anneth Kagenda

MASHINDANO ya Bongo Star Search (BSS), yamepangwa kuanza Julai 9 mwaka huu na yanatarajia kushirikisha mastaa zaidi ya 34.Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi

Barcelona yamuuza Villa ili kumnunua Fabregas

BARCELONA, Hispania

KLABU ya Barcelona inajiandaa kusaka pauni milioni 50 ili kumnunua kiungo na nahodha wa Arsenal, Cesc Fabregas kwa kutaka kumuuza mshambuliaji wake

20 June 2011

Askofu KKKT ajitosa mjadala wa posho

*Ataka wabunge wanaozikataa waungwe mkono
*Mbowe azifananisha na wizi wa kutisha


Na Martha Fataely, Hai

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kaskazini, Dkt. Martin Shao, ameunga mkono hoja ya

Wamiliki mbwa waliokula mahindi kudaiwa fidia

Na Mashaka Mhando, Korogwe

SIKU mbili baada ya kuripotiwa habari za mbwa wanane kuvamia mashamba ya wakulima na kula mahindi machanga, wakulima walioathirika na tukio hilo

...CHADEMA yambana Pinda

Na Tumaini Makene, Dodoma

KAULI ya Waziri Mkuu aliyoitoa bungeni akionekana kutetea mfumo unaoruhusu posho za vikao, imeanza kumrudi, ambapo sasa imetakiwa kuifuta kwa

Jalada la ajali ya Jaji Lugazia kutua mahakamani

Na Rehema Mohamed

MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP) Bw. Eliezer Fereshi, amesema upelelezi wa tukio la ajali ya gari iliyokuwa ikiendeshwa Jaji Projestus Rugazia, umekamilika na

Mamia wamuaga RPC Ng'hoboko

Na Heckton Chuwa, Moshi

MAMIA ya wakazi wa Manispaa ya Moshi na maeneo ya jirani, mkoani Kilimanjaro, juzi walijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa

Tisa marufuku kulima tumbaku

Na Sammy Kisika, Mpanda

CHAMA cha Wakulima wa Tumbaku cha Ukonongo katika Tarafa ya Inyonga, wilayani Mpanda Mkoa wa Rukwa, kimewapiga marufuku  wakulima tisa wa

Raia wa Kenya, Italia mbaroni kuwa 'utapeli'

Na Said Njuki, Arusha

JESHI la Polisi mkoani hapa linamsaka raia wa Kenya, Bw. Jamal Abdulwadood kwa kosa la kujipatia mali zenye thamani ya mabilioni ya fedha kwa njia ya

Simba yapigwa mwereka Congo

*Yafurushwa michuano CAF

Na Mwandishi Wetu, Kinshasa

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Shirikisho, Simba jana iliduwazwa Jijini Kinshasa baada ya kufungwa mabao 2-0 na DC Motema Pembe ya

Viingilio Yanga, Gor Mahiya vyatajwa

Na Mwandishi Wetu

WAANDAAJI wa mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Yanga na Gor Mahiya ya Kenya Kampuni ya Smart Sports, imetangaza viingilio ambapo jukwaa kuu

Viagra inasababisha uziwi

LOS Angeles, Marekani

MPENDA ngono mkongwe Hugh Hefner, amekuwa na matatizo ya kusikia kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha dawa za kuongeza nguvu ya kufanya

17 June 2011

Pinda: Posho haziepukiki

*Asema baadhi zipo kwa mujibu wa katiba
*Mtikila aungana na CHADEMA kuzipinga


Tumaini Makene na Pendo Mtibuche

MJADALA wa kufumua mfumo wa watumishi wa umma na wanasiasa kulipana posho ya vikao umeendelea bungeni katika namna tofauti, ambapo

Mzimu wa Balali waibuka bungeni

Tumaini Makene na Pendo Mtibuche

ZAIDI ya miaka mitatu tangu kufariki kwa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Daud Balali katika wakati ambao alikuwa akiaminika

TBS yazuia dizeli hatari bandarini

Na Rachel Balama

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limezuia shehena ya mafuta ya dizeli yenye ujazo wa tani 5,000 kuingia nchini kutokana na kutokidhi viwango vya ubora unaotakiwa

Mtikila kuishtaki serikali Mahakama ya Afrika

Na Benjamin Masese

MWENYEKITI wa Chama Cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ametangaza kesi mpya nne za kimataifa dhidi ya serikali ikiwemo madai ya fidia ya dola za

Tutaandamana hata usiku na mchana-CHADEMA

Na Tumaini Makene

MAANDAMABO ya mara kwa mata yanayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwasilisha hisia juu ya masuala mbalimbali

Msongo ulinizuia kutangaza mali-Mbowe

Na Grace Ndossa

KIONGOZI wa Upinzani Bungeni, Bw. Freeman Mbowe, (CHADEMA) amekiri kutokujaza fomu za kutaja mali zake kama inavyotakiwa na Tume ya Maadili ya Viongozi wa

Simba yatua Congo, yaanza kujifua

Na Zahoro Mlanzi

WAWAKILISHI waliobaki katika mashindano ya kimataifa, timu ya Simba imeondoka alfajiri ya jana kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) na kutua

Dar es Salaam yaichachafia Ziwa

Na John Gagarini, Kibaha

TIMU ya soka Kanda ya Dar es Salaam imeipeleka mchaka mchaka timu ya Kanda ya Ziwa na kuicharaza mabao 3-0 kwenye mchezo wa michuano ya

Scholes ampa somo Ferguson

LONDON, England

KIUNGO mstaafu wa Manchester United, Paul Scholes amemtaka kocha wa timu hiyo Sir Alex Ferguson, kufanya usajili sahihi wakati huu wa majira haya

16 June 2011

CHADEMA waishika pabaya serikali

*Wapanga kima cha chini shilingi 315,000
*Wazee wote nchini sasa kulipwa pensheni
*Waweka fumula kupunguza kodi ya mshahara


Na Tumaini Makene

IKIWA ni siku ya kwanza kwa wabunge kuanza kuchangia mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2011/2012, Hotuba za Bajeti ya Kambi ya

SMZ yatanganza neema kwa wananchi

Na Mwajuma Juma, Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza neema kwa wananchi wake kwa kutopandisha kodi yoyote katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/12.Hayo

Dkt. Rwakatare amtaja shetani kujitetea

Na Dunstan Bahai

SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi imekataa kupokea nakala ya fomu za Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare za kujaza mali zake kwa maelezo kuwa mchungaji huyo

Sakata la kumatwa Askofu Mokiwa yachukua sura mpya

Na Mwandishi Wetu,

SAKATA la kukamatwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania (ACT), Dkt. Valentino Mokiwa,umechukua sura mpya baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba

Mauaji ya mtoto kikatili

*Polisi wanasa watatu

Na Mercy James, Njombe

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoania hapa kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la utekaji mtoto na kumchinja kwa kumtenganisha kichwa na

CHADEMA wamethibitisha uongo wao-Nape

Na Charles  Masyeba

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw.Nape Nnauye, ameponda bajeti ya kambi ya upinzani iliyowasilishwa bungeni jana kudai kuwa ni

Simba matumaini kibao Congo

*Yatamba kuvunja rekodi

Na Zahoro Mlanzi

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa, timu ya Simba inatarajia kuondoka leo nchini kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya

CHANETA yazipiga mkwara timu za netiboli

Na Amina Athumani

CHAMA cha Netiboli Tanzania (CHANETA), kimesema timu zinazotakiwa kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Tanzania zitakazoshindwa kuthibitisha hadi Juni 20, mwaka

Safari ya Hiddink kutua Chelsea yaiva

LONDON, England

SUALA la kocha, Guus Hiddink kutua Chelsea limepiga hatua nyingine tena baada ya Rais wa Shitrikisho la Soka la Uturuki, Mahmut Ozgener kuthibitisha kuwa atabwaga

15 June 2011

Nidhamu bungeni yamkera Makinda

*Awafananisha wabunge na 'watu walioko Kariakoo'
*Kutoa ufafanuzi wa wabunge wala rushwa bungeni


Tumaini Makene na Pendo Mtibuche, Dodoma

TABIA ya baadhi ya wabunge kuzungumza bungeni bila kufuata taratibu wanapokuwa ndani ya ukumbi, imemkera Spika wa Bunge

Wanafunzi 400 watimuliwa UDOM

Na Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya serikali kutangaza kukubali kuwalipa posho ya mafunzo kwa vitendo wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), uongozi wa chuo hicho

Mchungaji Rwakatare kuhojiwa kwa kushindwa kutangaza mali

Na Agnes Mwaijega

MBUNGE wa Viti Maaluma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, anatarajiwa kuhojiwa leo na Baraza la Maadili kutokana na

Dovutwa arukia mikopo, matibabu ya wabunge

Na Rabia Bakari

CHAMA cha UPDP kimewabeza baadhi ya wabunge wanaokataa posho za vikao bungeni kwa madai ya kutetea maslahi ya umma na kuwataka warudishe

Rais Kikwete ziarani Uswisi

Na Mwandishi Maalumu

Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa viongozi saba duniani ambao watakuwa wageni maalumu kwenye Mkutano wa 100 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) ulioanza

Mnyika: DAWASCO itoe maelezo kero ya maji

Na Stella Aron

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Bw. John Mnyika, amelitaka Kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) kutoa maelezo kuhusu hatua walizozichukua

Ujambazi muhimbili ni uzembe-Kamanda Kova

Na Stella Aron

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Bw. Suleman Kova, amesema tukio la ujambazi wa kutumia silaha uliotokea juzi asubuhi katika

Simba, Yanga 'zajazwa manoti'

Viongozi wa Klabu za Simba na Yanga wakiwa wameshikilia mfano wa hundi za mshindi wa kwanza na wa pili wa Ligi Kuu ya Bara walizokuwa wamekabidhiwa Dar es Salaam jana  na wadhamini wao Kampuni ya Bia nchini(TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Simba Godfrey Nyange 'Kaburu', Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja, Meneja wa bia hiyo, George Kavishe na Katibu Mkuu wa Yanga Mwesigwa Selestine.

Na Grace Michael

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) jana ilitekeleza moja ya masharti yake katika mkataba wa udhamini katika Klabu za Simba na Yanga kwa kuzipa jumla ya

SHIWATA kujengewa nyumba kwa unafuu

Na Peter Mwenda

SHIRIKISHO la Wasanii Tanzania (SHIWATA) limefikia makubaliano na Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba na vifaa vya Ujenzi wa Gharama Nafuu (NHBRA) kujenga

Chelsea ampandia dau Luka Modric

LONDON, Uingereza

KLABU ya Chelsea iko tayari kutoa ofa ya mshahara wa pauni 130,000 kwa mshambuliaji, Luka Modric kama atasaini kuchezea Stamford Bridge.Mchezaji huyo

14 June 2011

Wasiosaini posho kutimuliwa-Spika

*Asema mbunge akikataa mikutano mitatu atafukuzwa

Na Tumaini Makene

HOJA ya kupinga ama kukubali pendekezo la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni la kuondoa posho za vikao wanazolipwa wabunge na watumishi wa umma, imeendelea

Majambazi waua, wapora mil. 12/- Muhimbili

Mfanyakazi wa Maabara ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Bi.Sabina Massawe akiwa chumba cha Upasuaji cha Hospitali hiyo baada ya kupigwa risasi na majambazi waliopora fedha kiasi cha Sh.Mil 12.7 Dar es salaam Jana.Katika tukio hilo mlinzi wa Kampuni ya Full Times Security Bw.Juma Magungu aliuawa.

Na Aisha Kitupula

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana saa 2 asubuhi na na kuua askari mmoja kisha kupora

Mahakama: Askofu Mokiwa akamatwe

*Ni kwa madai ya kukiuka amri halali

Na Said Njuki Arusha

JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, Kakusulo Sambo, ameamuru kukamatwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania, (ACT)

Polisi wajeruhi wanafunzi 12

*Mwingine atekwa, akutwa amechinjwa

Na Mwandishi Wetu

JESHI la Polisi mkoani Dar es Salaam limeingia kwenye kashfa nyingine ya kujeruhi zaidi ya wanafunzi 12 wa Shule ya Sekondari Mbezi, Dar es Salaam.Majeruhi

Wamiliki 'vipanya' waijia juu SUMATRA

Na Peter Mwenda

WAMILIKI wa daladala zinazobeba abiria chini ya 25 wameipinga Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA) kusitisha utoaji leseni ya kusafirisha

Kikwete asaini Mpango kabla ya kupitishwa

Na Tumaini Makene

MPANGO wa Kwanza wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16), umewasilishwa rasmi bungeni, huku wabunge wakianza kuuchambua, ambapo

.

Guy Pupree wa timu ya mpira wa kikapu ya AND1 kutoka Marekani, akiwa ameruka juu kufunga goli wakati timu hiyo ilipocheza na Dar es Salaam All Stars katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kwa udhamini wa Coca-Cola kupitia Sprite, uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Simba kuifuata Motema Pembe Alhamisi

Na Zahoro Mlanzi

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Simba, inatarajia kuondoka nchini Alhamisi kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kurudiana

Canada kuinua kikapu nchini

Na Addolph Bruno

CHUO Kikuu cha Memorial Newfound cha Canada kwa kushirikiana na Asasi zisizo za Kiserikali za Tanzania Students Achievement Organisation na Klabu ya

Gerrard apania ubingwa wa UEFA mwakani

LONDON, England

NAHODHA wa Liverpool, Steven Gerrard ameelezea malengo ya timu hiyo msimu ujao akisema ni lazima wafuzu michuano ya Klabu Bingwa Ulaya.Mchezaji huyo

13 June 2011

POSHO ZA VIKAO: NCCR yaunga mkono CHADEMA

*Wabunge wake waandika barua nao wakatwe

Na Pendo Mtibuche, Dodoma

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema kuwa tayari kimeandaa barua ambazo kitaziwasilisha kwa Waziri wa Fedha, Bw. Mustafa Mkulo kuelekeza posho za

Mjadala wa bajeti moto wiki hii

Na Tumaini Makene

BUNGE leo linatarajiwa kuanza kujadili Mpango wa Maendeleo na Bajeti ya Serikali katika wiki ambayo inatarajiwa kuwa ya mikiki na makeke mengi, kutokana na

Mwenyekiti CCM avuliwa uanachama

Na Moses Mabula,Tabora

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora kimemvua uanachama wa chama hicho Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Gongani, Bi. Rajia Mrisho huku kikimwondoa

Anglikana yaipiga chenga mahakama

 *Yamsimika askofu aliyezuiwa Arusha

Na Mwandishi Wetu Arusha

PAMOJA na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kusitisha kusimikwa kwa Askofu Mteule wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mount Kilimanjaro, Mchungaji

Ole Millya chini ya uangalizi Arusha

Na Said Njuki Arusha

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha imeyatupilia mbali mapendekezo yaliyotolewa na Kamati ya Siasa ya chama hicho

Mareklani kusaidia lishe ya watoto

Na Grace Michael

SERIKALI ya Marekani imeahidi kuongeza bajeti yake katika lishe kwa mtoto ndani ya siku 1,000 bajeti itakayofikia kiasi cha dola za Marekani milioni 6.7.Hayo

DC arushiwa zigo mauaji Serengeti

Na Benjamin Masese

WANANCHI wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamemlalamikia Mkuu wa wilaya hiyo, Luteni Kanali Edward Ole Lenga kwamba amechangia kuchochea mauaji ya

Wawili wavuliwa uongozi CHADEMA

Na Suleiman Abeid, Meatu

KATIKA kile kinachoashiria ni kupiga vita vitendo vya ufisadi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Meatu mkoani Shinyanga kimewatimua viongozi wake

Simba yapata ushindi mwembamba

*Sasa kutafuta sare Kinshasa

Na Zahoro Mlanzi

BAO pekee lililofungwa dakika ya saba na mshambuliaji Mussa Hassan 'Mgosi', liliifanya timu ya Simba kuanza vizuri kampeni yake ya kutinga hatua ya

Bob Rudala awa kivutio Kalunde Band

Na Mwandishi Wetu

MWIMBAJI mpya wa bendi ya Kalunde, Bob Rudala mwishoni mwa wiki alikuwa kivutio katika maonesho ya bendi hiyo, yaliyofanyika katika kumbi za

Nyumba ndogo ya Rooney hoi

LONDON, England

MWANAMKE ambaye anadaiwa kuwa mke wa nje wa mchezaji Wayne Rooney, Jenny Thompson amekimbizwa hospitali akiwa mahututi kwa kile kinachodaiwa

10 June 2011

Bajeti yagonga vichwa wabunge

*Kambi ya Upinzani yasema imejaa upotoshaji

Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya Waziri Wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo kusoma makadirio ya mapato na matumizi ya serikali mbele ya bunge, Kambi ya

15 wahofiwa kufa machimboni Chato

Na Jovin Mihambi, Chato

WACHIMBAJI wa dhahabu zaidi ya 15 wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ya ndani ya shimo wakati wakichimba dhahabu katika machimbo ya

Marekani yapongeza Polisi kumkamata Mama Leila

Na Godfrey Ismaely

UBALOZI wa Marekani Nchini umeipongeza serikali pamoja na Jeshi Polisi kwa jitihada zake za kufanikiwa kumtia mbaroni mwanamke Raia wa Kenya

Wawili wafa, 10 wajeruhiwa ajalini

Na Daud Magesa,Mwanza

WATU wawili wamekufa na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka wilayani Kwimba kwenda Mwanza kuacha njia na kugonga miti.Miongoni

Polisi kuanzisha kampeni kuwanoa madereva

Na Peter Mwenda

JESHI la Polisi nchini halitawavumilia askari wachache watakaotumia uchache wa vizuizi katika barabara ya Dar es Salaam-Rusumo kukiuka maadili ya kazi kwa

Wanafunzi DUCE waivaa Bodi ya Mikopo

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo kikuu kishiriki cha ualimu Chang'ombe(DUCE) wakiwa katika Ofisi za Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu, Dar es salaam jana wakishinikiza kulipwa madai mbalimbali kuhusiana na mikopo.

Na Salim Nyomolelo

WANAFUNZI wa Chuo Kishirikishi cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE) wameandamana kwenda Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kulalamikia kudaiwa fedha za ada

DC Motema Pemba kutua kimya kimya

Na Elizabeth Mayemba

KLABU ya DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), imepanga kutua nchini kimya kimya ambapo hadi jana wenyeji wao Simba walikuwa hawana

'Malkia' wa Tabata kupatikana leo

Na Mwandishi Wetu

'MALKIA' wa Tabata, Miss Tabata 2011 anatarajia kupatikana leo katika Ukumbi wa Dar West Park, Tabata ambapo mshindi atazawadiwa sh. milioni moja.Mratibu wa

Bhoke wa BBA arejea na kulonga

Na Victor Mkumbo

MWAKILISHI wa Tanzania katika jumba la Big Brother Afrika, Bhoke Egina amerejea nchini baada ya kutolewa katika jumba hilo mwishoni mwa wiki.Akizungumza na

Lebanon yabariki albamu ya Lady GaGa

BEIRUT, Lebanon

ALBAMU mpya ya mwanamuziki, Lady GaGa iitwayo 'Born This Way' imeruhusiwa kuingia nchini Lebanon baada ya nchi nyingi za Mashariki ya Kati kuipiga

09 June 2011

Bajeti sikivu

Tumaini Makene na Pendo Mtibuche, Dodoma

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustapha Mkullo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi yake kwa mwaka 2011/2012, bungeni ambayo kwa kwa ujumla

Mfumuko wa bei wakwamisha ukuaji wa uchumi

Na Pendo Mtibuche, Dodoma

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo jana aliwasilisha  taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa na kubainisha vipaumbele ambavyo serikali imevipa umuhimu

Misafara ya viongozi kupunguzwa ukubwa

Na Reuben Kagaruki

SERIKALI imetangaza hatua madhubuti itakazozitumia kudhibiti matumizi ya fedha zake katika kipindi cha mwaka fedha 2011/2012, uamuzi ambao ulipokewa kwa

Serikali yaongeza kipaumbele cha ajira kwa vijana

Na Grace Michael

KATIKA kuhakikisha serikali inagusa kila kero iliyopo nchini, bajeti ya mwaka wa fedha wa 2011/2012 imeibuka na kipaumbele kipya cha kukuza ajira ambacho

Serikali kupitia upya VAT

Na Mwandishi Wetu

SERIKALI imesema katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012 inakusudia kufanya mapitio mapya ya utaratibu wa misamaha kwenye Kodi ya Ongezeko la

Mwarobaini wa watumishi hewa watajwa

Na Mwandishi Wetu

ILI kubaini watumishi hewa serikali imepanga kufanya sensa kwa kuandaa siku maalumu ya kulipa mishahara ya watumishi wa umma kupitia

Motema Pembe yamtimua kocha wao

*Yataja 18 watakaoivaa Simba

Na Zahoro Mlanzi

WAKATI timu ya DC Motema Pembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)ikitarajiwa kutua nchini kesho kwa ajili ya mchezo wao wa

Yanga yaishangaa TFF kuchangia 'kiduchu'

Na Elizabeth Mayemba

UONGOZI wa Yanga umesema umesikitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwamba utachangia sh. 600,000 tu kwa ajili ya matibabu ya

Jeshi la Polisi latumia michezo kutoa elimu

Na Peter Mwenda

JESHI la Polisi Tanzania limeanza kutumia michezo ili kutoa elimu kwa jamii kufuata sheria za nchi ili kujiepusha na matendo maovu.Akizungumza na viongozi wa

Chicharito aitolea nje Real Madrid

LONDON, Uingereza

JAVIER Harnandez 'Chicharito' amekataa ofa kutoka Klabu ya Real Madrid kutokana na utii kwa kocha wake wa Klabu ya Manchester, Alex Ferguson.SunSport juzi

08 June 2011

Leo siku ya Bajeti

* Watanzania watarajia kupunguza ukali wa maisha

Na Tumaini Makene

WAKATI Waziri Mustafa Mkullo akitarajiwa kusoma makisio ya matumizi na mapato ya serikali kwa mwaka mpya wa fedha 2011/2012, bungeni leo, Watanzania

Ukulu: Viongozi wa dini si malaika

Na Grace Michael

SIKU moja baada ya viongozi wa dini kumpa saa 48 Rais Jakaya Kikwete kuwataja kwa majina ya baadhi yao wanaojihusisha na biashara ya dawa za

Hatimaye Mbunge Sakaya aachiwa huru

Humphrey Shao na Salim Nyomolelo

MBUNGE wa Viti Maalumu, Bi. Magdalena Sakaya na wenzake wameachiwa huru baada ya mahakama kubadili masharti ya dhamana yaliyokuwa yamewashinda na

Walimu wa mikataba wadai mil 45/-

Na Jumbe Ismailly, Singida

WALIMU wastaafu waliofanya kazi kwa mikataba katika shule za sekondari kwenye Manispaa ya Singida wanaidai serikali sh. 45,759,336.80 zikiwa ni mishahara

Ole Millya kuvuliwa uanachama CCM

Na Said Njuki, Arusha

MGOGORO ndani ya CCM Mkoa wa Arusha umeshika kasi mpya baada ya Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati ya Siasa za chama hicho mkoa kudaiwa kumvua

Taifa Stars kujipima Qatar

Na Zahoro Mlanzi

TIMU ya taifa 'Taifa Stars' inatarajia kujipima na timu za Qatar, Palestina, Shelisheli na Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Agosti 10, mwaka huu kabla ya

CEACAFA yasogeza mbele Kagame Cup

Na Elizabeth Mayemba

BARAZA la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limesogeza mbele mashindano ya Kombe la Kagame hadi Julai 25 mwaka huu

TBL yazindua mashindano ya Balimi

Na Elizabeth Mayemba

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake Balimi Extra Lager imezindua mashindano ya ngoma za asili kwa mwaka huu, ambayo yanatarajia kuanza kutimua

Barcelona, Arsenal zatetea kuhusu Fabregas

BARCELONA, Hispania

KLABU ya Barcelona ipo kwenye mazungumzo na  Arsenal kwa wiki kadhaa, ili kutafuta njia ya kumrejesha kwenye kikosi chake mchezaji Cesc Fabregas.Gazeti la

07 June 2011

Mbowe Huru

*Asafirishwa kwa ndege ya JWTZ, abadilisha mdhamini

Na Waandishi Wetu, Arusha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemwachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe huku

Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Na Eliasa Ally, Iringa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, imemhukumu kifugo cha miaka mitano Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Michael Ngilangwa, baada ya

Kauli ya JK yawashangaza viongozi wa dini, wanasiasa

Na Dunstan Bahai

BAADHI ya viongozi wa dini na wanasiasa nchini wameishangaa kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba viongozi hao wanajihusisha na biashara ya dawa za kulevya bala

Kesi ya uchaguzi Segerea: Fred Mpendazoe aendelea kumng'ang'ania Dkt. Mahanga

Na Rehema Mohamed

MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Mbunge wa Jimbo la Segerea Dkt.Makongoro Mahanga na wakili wa serikali, Bw.David Kawaya, la kutaka

Tanesco yafafanua kuhusu vishoka

Na Carlos Mtoya

MENEJA wa Shirika la Ugavi Tanzania (Tanesco) Mkoa maalumu wa Ilala Dar es Salaam, Bw. Innocent Luoga amekiri kuwepo kwa malalamiko ya wateja wa

Nzowa ataja mafanikio dawa za kulevya

Na Stella Aron

KIKOSI cha Kupambana na madawa ya kulevya nchini kimewatia mbaroni baadhi ya viongozi wa dini na mabalozi kwa na dawa ya kulevya.Mkuu wa Kitengo cha

Poulsen alia na mwamuzi Bangui

Na Zahoro Mlanzi

BAADA ya kufungwa mabao 2-1 na timu ya taifa ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Kocha Mkuu wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Jan Polsen amemlalamikia mwamuzi

'Mbabe' wa Cheka kutua Juni 21

Na Zahoro Mlanzi

BONDIA Daniel Wanyonyi, kutoka Kenya anatarajia kutua nchini Juni 21, mwaka kwa ajili ya kupambana na Francis Cheka katika pambano lisilo la ubingwa litakalofanyika

Kinondoni watamba kutetea ubingwa wao

Na Mwandishi Wetu

MABINGWA watetezi wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 'Copa Coca-Cola' Mkoa wa Kinondoni, wametamba kutetea ubingwa wao katika michuano hiyo

England yamuumiza kichwa Capello

LONDON, England

KOCHA Fabio Capello amesema hadi sasa hafahamu jinsi gani aisuke timu ya taifa ya England, ili iweze kuwa fiti na iweze kuleta ushindani.Kocha huyo ambaye analipwa

06 June 2011

Kukamatwa M/Kiti CHADEMA.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Freeman Mbowe. Katikati ni Katibu mwenezi na habari Bw.Erasto Tumbo kushoto ni Mbunge wa Moshi Mjini Bw. Philemon Ndesamburo.

Kukamatwa Mbowe balaa tupu Dar

*Wafuasi waandamana, watawanywa, watatu mbaroni
*Dkt. Slaa asema 'ukondoo' wao umefika kikomo
*CUF waungana na CHADEMA, watangaza maandamano


Na Benjamin Masese

Kauli ya Dkt. Slaa

CHADEMA kimesema kuwa 'ukondoo wao' na uvumilivu dhidi ya udhalilishaji na unyanyasaji unaofanywa na jeshi la polisi kwa viongozi na wabunge wake

Binti mbaroni kwa 'kubaka kavulana'

Na Masau Bwire

MSICHANA mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kigogo, Luhanga, Dar es Salaam anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za 'kumbaka' mtoto wa

Kikwete awashukia viongozi wa dini

Na Kassian Nyandindi, Mbinga

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini hapa nchini kuacha tabia ya kushiriki biashara ya kuuza dawa ya kulevya na badala yake

Madawati ya mbunge kuwaponza madiwani

Na Wilhelim Mulinda, Musoma

MADIWANI watano wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa kwa tuhuma za kuvunja

Wawili wasakwa kwa mauaji Rukwa

Na Juddy Ngonyani,Sumbawanga

JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na tukio la mauaji ya mkazi wa Kijiji cha  Pito katika manispaa ya sumbawanga

Ukomeshaji utumwa kuadhimishwa Z'bar leo

Na Mwajuma Juma, Zanzibar

KANISA la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar leo linaadhimisha miaka 138 tangu kukomeshwa kwa biashara ya Utumwa Afrika Mashariki na kuwataka Watanzania

Polisi watakiwa kuondoa utata wa mauaji

Na Moses Mabula, Tabora

JESHI la Polisi mkoani Tabora limetakiwa kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio la kuuawa kwa mwanamke na kisha kutundikwa juu ya dari kwa lengo la

Vijana Stars

Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 'Vijana Stars' wakishangilia bao pekee lililofungwa na mchezaji, Thomas Ulimwengu katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Taifa Satrs yaangukia pua Bangui

*yajiweka katika mazingira magumu
Na Mwandishi Wetu, Bangui

TIMU ya taifa 'Taifa Stars', jana imejiweka kwenye mazingira magumu, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1, mbele ya Afrika ya Kati, katika mechi ya

Kalunde Band yamnyakua Bob Rudala

Mwimbaji mpya wa bendi ya Kalunde, Bob Rudala (kushoto) akiimba kwa hisia pamoja na Deborah Nyangi katika onesho la bendi hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Trinity hoteli Oysterbay, Dar es Salaam.

Na Mwandishi Wetu

BENDI ya muziki wa dansi ya Kalunde, imemnyakua mwimbaji mahiri wa In Africa Band, Bob Rudala kwa ajili ya kuiongezea

Lundenga kuwafunda Miss Tabata kesho

Na Mwandishi Wetu

Kamati ya Miss Tanzania kesho itatembelea  kambi ya Miss Tabata iliyopo Da’ West Park Tabata, Dar es Salaam.Kamati hiyo ikiongozwa na Mratibu wa

Eto'o azamisha jahazi la Cameroon kufuzu CHAN 2012

YAOUNDE, Cameroon

PENALTI ya dakika za mwisho iliyokoswa na mchezaji wa kimataifa, Samuel Eto’o imeifanya Cameroon kubaki na matumaini madogo ya kufuzu fainali za

03 June 2011

Mahakama yang'ang'ania Freeman Mbowe akamatwe

*Hati ya kukamatwa Slaa, Ndesamburo yafutwa

Na Said Njuki, Arusha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha imeagiza tena Jeshi la Polisi kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),

Babu asitisha huduma Jumapili

Na Said Njuki, Arusha

MCHUNGAJI Ambilikile Masapila ‘Babu’ wa Kijiji cha Samunge, Loliondo mkoani hapa, amesitisha utoaji dawa Jumapili kuanzia sasa kwa lengo la kufanya

Mabilioni ya dharura Nishati yazua mjadala

*Wabunge wahofu ni 'malipo ya Dowans'

Na Tumaini Makene

BAADA ya mjadala mkali wa siku tatu hatimaye wabunge wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeikubali bajeti ya wizara hiyo, lakini wakiiwekea

Tutadhibiti wafanyabiashara CCM-Nape

Na Juddy Ngonyani,Sumbawanga

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kimeangalia upya njia ya kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojiunga na chama hicho na kugombea nafasi mbalimbali za

Kamati yawatimua Kariakoo, NARCO kwa ubabaishaji

Na Grace Michael

KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) jana ililazimika kuyatimua mbele yake Shirika la Masoko Kariakoo na Ranchi ya Taifa (NARCO) baada ya

Mauaji Ngara viongozi wilaya lawamani

Na Theonestina Juma, Bukoba

MAUAJI ya kutisha ya Watanzania sita katika pori la Rubagabaga kijiji cha Murbaga kata na tarafa ya Mursagamba wilayani Ngara na wafugaji haramu wenye

Warudia darasa kukwepa shule za kata

Na Theonestina Juma,Bukoba

BAADHI ya wanafunzi waliofaulu kujiunga na elimu ya sekondari wilayani Chato mwaka huu wamelazimika kurudia darasa la saba kwa madai ya kutaka

Henry Joseph, Chombo watemwa Stars

Na Zahoro Mlanzi

TIMU ya taifa 'Taifa Stars', imeondoka alfajiri ya leo kwenda Jamhuri ya Afrika ya Kati huku ikiwaacha wachezaji wake Henry Joseph, Kigi Makasi na Ramadhan Chombo

Twiga Stars kujipima kwa Botswana

Na Elizabeth Mayemba

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars', inatarajia kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Botswana Julai mwaka huu.Mchezo

Miss Dar Inter Collage kupatikana Juni 17

Na Addolph Bruno

MASHINDANO ya Kumsaka 'malikia wa Vyuo Vikuu' Miss Dar Inter Collage 2011, yanatarajia kufanyika Juni 17 mwaka huu katika Ukumbi utakaotangazwa

02 June 2011

Wafugaji Rwanda waua Watanzania sita Ngara

*Kamati ya Ulinzi na Usalama yasaka watuhumiwa

Na Theonestina Juma, Bukoba

WATANZANIA sita ambao ni wakulima wa Kijiji cha Murbanga Kata ya Mursagamba wilayani Ngara mkoani Kagera wamevamiwa shambani na kuua kikatili na

Nyumba za NHC Upanga hazitauzwa-Lembeli

Na Tumaini Makene

SIKU moja baada ya kuibuka kwa taarifa za baadhi ya wapangaji wa Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) kutaka kuuziwa nyumba katika eneo nyeti la

Bajeti mbadala Chadema kufuta posho za vikao

*Yataja vipaumbele sita ikiwamo miundombinu, umeme

Na Grace Michael

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imetangaza mwelekeo wa bajeti mbadala ya 2011/2012 huku ikisisitiza kufuta posho za vikao

Watu 11 wakamatwa mauaji ya Mwankenja

Na Rashid Mkwinda, Mbeya

WATU 11 wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara wanashilikiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa

POAC yaamuru TICTS kufikishwa Kamati ya Maadili

Na Grace Michael

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) imeagiza Kitengo kinachohudumia Makontena Bandarini (TICTS), kufikishwa mbele ya Kamati

Waliofanya vurugu Mugumu kortini

Na Raphael Okello,Serengeti

WATU 9 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kwa tuhuma ya kufanya vurugu na kuvamia Kituo cha Polisi cha mjini Mugumu wilayani

Simba, Yanga kukumbana Agosti 13

Na Zahoro Mlanzi

WAPINZANI wa jadi nchini, timu za Yanga na Simba zitafungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara 2011/2012 Agosti 13, mwaka huu zitakapoumana

Kuziona Vijana Stars, Nigeria 1,000/-

Na Addolph Bruno

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya mechi ya kwanza ya mchujo ya michuano ya Olimpiki kati ya timu ya taifa ya vijana

TBL yatangaza 'bingo' mashindano ya pool

Na Amina Athumani

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia  bia ya Safari Lager imetangaza kutoa sh. milioni 2.5 kwa mshindi atakayeibuka katika fainali za mashindano ya Pool ya

Robinho amhadharisha Neymar

RIO DE JANEIRO, Brazil

MSHAMBULIAJI Robinho De Souza, amemshauri Neymar kufikiria mara mbili kabla ya kufikia uamuzi wa kutaka kuhamia katika Ligi Kuu England kwani anaamini kuwa

01 June 2011

Gavana abanwa fedha za EPA

*Adai serikali pekee ndiyo inajua matumizi yake
*Asema bei ya umeme imeongeza makali ya maisha


Na Tumaini Makene

MZIMU wa kashfa ya wizi wa fedha zilizoibiwa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), umeendelea kuibuka, ambapo

Marando 'akwamisha' utetezi wa Mahalu

Na Rabia Bakari

WAKILI Mabere Marando anayemtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu na mwenzake Grace Martin amewasilisha maombi mawili

TANESCO yanunua mitambo ya megawati 160

Na Peter Mwenda

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza ujenzi wa  mitambo ya kuzalisha umeme wa megawati 100 utakaotumia gesi katika Kituo cha Ubungo na

TAZARA imepata hasara bilioni 12/-TRA

Na Benjamin Masese

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli (TRAWU) Bw. Christopher Kazio ameidai kwamba Shirika ka Reli la Tanzania na Zanzibar (TAZARA) limepata

Madiwani wa UDP wasusia kikao

Na Zuhura Semkucha, Bariadi

MADIWANI wa Chama UDP Wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani kwa madai kuwa kucheleweshewa makablasha ambayo

Chanzo cha Maji Ruvu hatarini

Na John Gagarini, Kibaha

BAADHI ya wakulima wanaolima kilimo cha umwagilia kupitia mto Ruvu ambako kuna chanzo cha maji cha mtambo wa Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka (DAWASCO) wanahatarisha

Kaseja aumia taya, atemwa Stars

*Samatta, Ngassa wapasua vichwa makocha

Na Zahoro Mlanzi

KIPA wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Simba, Juma Kaseja ameumia taya wakati wa mazoezi na kwamba hatakuwepo katika

Copa Coca-Cola kutimua vumbi Juni 11

Na Addolph Bruno

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza ratiba ya mashindano Copa Coca-Cola ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ngazi ya taifa, ambayo

David Silva ampata tano Tevez kubaki Man City

LONDON, England

MSHAMBULIAJI wa Manchester City, David Silva amempa tano mshambulaji mwenzake Carlos Tevez, kwa kuamua kubaki katika klabu hiyo majira ya joto

Drogba kusaini mktaba mpya Chelsea

LONDON, Uingereza

DIDIER Drogba anajiandaa kusaini mkataba mpya katika Klabu ya Chelsea, ambao utafanya kumalizia uchezaji wake hapo.Mshmabuliji huyo awali alielezewa kuwa