Na Victor Mkumbo
MWAKILISHI wa Tanzania katika jumba la Big Brother Afrika, Bhoke Egina amerejea nchini baada ya kutolewa katika jumba hilo mwishoni mwa wiki.Akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Bhoke alisema amerejea nchini baada ya kutolewa katika jumba hilo lakini hata hivyo amejitahidi kadri ya uwezo wake mpaka kufika hapo.
Alisema kutokana na kuwa ule ni mchezo na pia una sheria zake, hivyo alipaswa kutoka kutokana na kupata kura chache.
Mwakilishi huyo alisema mambo aliyokuwa anayafanya katika jumba hilo, ndiyo maisha yake halisi kwani hakuwa anaigiza.
Alisema hakupanga kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mshiriki mwenzake kutoka Uganda, Ernest lakini hali ilitokea wakati walipowasili katika jumba hilo.
"Kila mtu ana mawazo pamoja na fikra zake mwenyewe kwa hiyo sijutii vitendo nilivyokuwa navifanya na mimi naona nimefanya vizuri, hivyo sijilaumu kwa lolote," alisema Bhoke.
Alisema katika jumba hilo, amejifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuishi na watu wa mataifa tofauti tofauti na kujua tabia zao.
Bhoke alisema atatumia nafasi aliyoipata kupambana na changamoto mbalimbali zinazomkabili na kuweza kuzitatua.
Naye Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi alisema Watanzania hawana budi kuendelea kuwapigia kura washiriki waliopo katika jumba hilo hata kama hakuna mwakilishi kutoka nchini.
Mtu mzima hovyo, hujutii, unaona ni sifa, aibu kwako, familia na nchi yako.Hukuenda kufanya upuuzui kama huo, ndo kusema kwako ni fahari kufanya ufuska na mtu wa nchi nyingine, watanzania bwana foreigner ni kama Mungu. Huna mme, mchumba au rafiki kweli????
ReplyDeleteKama mwanamke mtanzania kwa kweli my dear umenoa step. Umetutia aibu mbele ya africa nzima na popote duniani.Yaani through you we are considered "easy lay" attitude yako inanishangaza na noana its a defensive attitude cause unajua umenoa step lakini hujui utarekebisha vipi ndiyo maana unafanya jeuri. You represent Tanzania and all Tanzanians hasa wanawake. Dont give us your arrogance bull shit. Umefeli mtihani.
ReplyDeleteYaani anaona fahari kufanya ngono na dunia nzima inamuona?
ReplyDeleteNdio maana tuliacha kukupigia kura ulituaibisha huna maana hata kidogo kwani ulifuata ngono kule Pumbafu endelea kujiuza maana inaonekana ndio tabia yako na nyie waandaaji kwa nini mnapeleka machangu doa?
ReplyDeleteMbona Richard alifanya hivyo au kwa sababu Richard ni mwanamume?
ReplyDeleteKama vile kukaa uchi hadharani kwako ni Fashion na jinsi usivyo na adabu hata kwa wazazi wako unajibu eti HUJUTII ULICHOKIFANYA
ReplyDeleteMpumbavu wewe
hata sisi watanzania tulio nje ya nchi tumefedheheka sana, bhoke umefanya madudu ila nataka nikwambie kitu,kupoteza heshima ni dakika moja ila kuirudisha unaweza kuchukua hata miaka mia,alivyo mjinga anajivuna eti amepata connections,kwani yee fundi bomba?
ReplyDeleteteh nyie wachangiaji nawashangaa kwel, kwan bba ni ninini. hayo ni nashindano ya kuonyesha ni jins gan watu wanajua kufanya ushenz, kila mshiriki lazma awe mshenz tu. si kila shndano tushiriki tuu na kupigia debe kwenye media. lakini ndo utandawazi et
ReplyDelete