Na Livinus Feruzi, Bukoba
MCHUNGAJI wa Kanisa la World Missionery Fellowship of Tanzania (WMF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Bw. Gaspar Joseph (52) anashikilizwa na polisi kwa
kumuua mke wake baada ya kumpiga kwa fimbo katika ugomvi baina yao.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera, Bw. Henry Salewi alimtaja mwanamke huyo aliyeuawa kuwa ni Godeliver Gaspar (48) mkazi wa Migera katika Manispaa ya Bukoba, na kuwa alifariki dunia Juni 26, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera.
Bw. Salewi alisema kuwa mchungaji huyo alikuwa akimpiga mke wake kwa muda mrefu, ambapo Juni 22 baada ya kumpa kipigo kikali, mchungaji huyo alimpeleka hospitali bila kutoa taarifa zozote, ambapo Juni 26 alifariki dunia wakati akipatiwa dawa.
Alisema jeshi la polisi linamshikilia mchungaji huyo kwa ajili ya mahojiano zaidi na kuwa atafikishwa mahakamani baada ya taratibu muhimu kukamilika.
Kamanda Salewi alisema kabla ya kifo cha mwanamke huyo, polisi walipokea taarifa kutoka kwa ndugu wa marehemu kuwa Bi. Gaspar hali yake ni mbaya na amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera kutokana na kipigo cha mme wake.
Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa na kuwa chanzo cha ugomvi huo uliosababisha kifo hicho bado hakijafahamika, ingawa taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa ugomvi huo ulitokana na binti yao wa kike kupata mimba.
Taarifa hizo zinasema kuwa mchunguji huyo alikuwa akimshtumu mke
wake kusababisha mtoto wao wa kidato cha kwanza kupata mimba kwa madai ya kutomlea katika maadili, pia akimtuhumu kwa kuficha siri za binti huyo juu ya ujauzito aliokuwa nao.
Taarifa hizo zinadai wiki mbili kabla ya mwanamke huyo kuzidiwa na kupelekwa hospitali kila mara alikuwa akimpiga, hali inayodaiwa kusababisha maumivu na hatimaye kifo chake.
MBONA MMEONA HII HABARI INAMHUSU MCHUNGAJI HAMTOI MAONI,ANGEKUA MWINGINE HAPO MNGEKUWA WA KWANZA.DINI ZINGINE BWANA! MNA UDINI SANA.MBONA MMEONA HII HABARI INAMHUSU MCHUNGAJI HAMTOI MAONI,ANGEKUA MWINGINE HAPO MNGEKUWA WA KWANZA.DINI ZINGINE BWANA! MNA UDINI SANA.
ReplyDeleteHakuna cha udini wala nini wewe ndio mdini ndo maana unaweza ukatoa mawazo mgando namna hiyo
ReplyDeletehayo no matatizo ya dini za maslahi na mfumo kristo aliouanzisha baba wa kanisa Nyerere J, K unakataa nini /mbona kanisa linamfanya mwenyw heri wakati alikuwa kiongozi wa serikali? mboma maaskofu hawapingi na hawajasema lolote kuhusu madai ya waislam kubaguliwa na nyerere mkatoliki. sasa bora tugawane nchi, nakumbuka nilivyopewa alama ndogo kwenye mafunzo ya vitendo (BTP) kwa kutumia majina kama musa , neema na rehema ambayo mara nyingi hutumiwa na watu wote.semeni sasa kakobe anadaiwa kutumia pesa za kanisa bila vikao huyu ameua sasa toeni mchango, tumewashtukia mfumo kristo sasa basi washenzi nyie na nyerere wenu baba wakanisa.
ReplyDeleteWewe ni mpumbavu huna akili. Mtu ameuawa, maisha ya mtu yamepotea wewe unakuja na udini.
ReplyDeleteHabari ndiyo hiyo... Askofu akifanya poa lakini mwingine akisema ukweli anaitwa mdini... Niambieni nyiye akina paulo, hivi nyerere babaenu wa kanisa mbona wanataka kumtangaza mtakatifu, kumbe alikuwa anatumikia kanisa na wala siyo nchi... Tumewashika na sasa waislam hawatishiwi nyau tena. Pia hata mtandao wenu uliopo serikalini tumeshaujua na ole wenu kwa maana tumeamka... Ole wenu na ujuha wenu
ReplyDeleteUislamu dini ya majini na wapiga lamli mfano Shehe Y yahya
ReplyDeleteNdiyo maana nchi inapoongozwa na muislamu mambo yanaharibika sana
ReplyDelete