26 October 2011

Sitta alipuka

*Ahusisha ugonjwa wa Mwakyembe na kulishwa sumu
*Asema kuengulia kwake uspika mkakati wa mafisadi
*Alazimika kubadili namba za simu kukwepa vitisho

Na Tumaini Makene

KATIKA hali ambayo itaibua na kuendeleza mijadala ya kisiasa nchini, Waziri wa

...........................................

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tanzania Youth Alliance (TAYOA), Bw. Peter Masika kuhusu namna ya kuwawezesha vijana kutumia teknolojia ya mawasiliano ya kompyuta, wakati akikagua banda la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, mwaka huu.

Gaddafi azikwa usiku jangwani

*Mazishi yafanywa siri kama Osama Bin Laden

TRIPOLI, Libya

MWILI wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, mwanawe Muatassim na Mkuu wake wa Majeshi, Abu Bakr Younis Jabr imezikwa

...........................................

Ris Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akijaza fomu ili kupata kadi mpya ya Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Corporate, Bi. Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki, Bw. William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Bw. Emmanuel Mseti.

Basi lateketea, laua abiria nane

Na Mwandishi Wetu

WATU nane wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi la Kampuni ya Deluxe Coach linalofanya safari kati ya Dar es Salaam na

Kamati yaibana Wizara ya Viwanda

Na Peter Mwenda

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka Wizara ya Viwanda na Biashara ieleze kwanini imedharau azimio la Bunge la

...........................................

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Bi. Sinikka Antila alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Wabunge waibana serikali utafiti wa madini ya urani

Na Eckland Mwaffisi

WAKATI Serikali ikiwataka Watanzania kuunga mkono uchimbaji madini ya urani katika Hifadhi ya Taifa ya Selous, mkoani Ruvuma, baadhi ya

Basena tumbo joto Simba

*Wachezaji kupewa 'fuba'

Na Zahoro Mlanzi

SIKU chache baada ya Kocha Mkuu wa Yanga, Sam Timbe kusitishiwa mkataba wake na klabu hiyo, kocha mwenzake wa

Kibadeni aenda kuhiji Makkah

Na Mwandishi Wetu

MENEJA wa timu ya Simba, Abdallah Kibadeni 'King Mputa,' ameondoka nchini leo kwenda kuhiji Makkah, Saudi Arabia na amewaahidi

Timu ya taifa ya pool yatangazwa

Na Mwali Ibrahim

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya mchezo wa pool, Denis Lungu ametangaza vikosi viwili vya timu hiyo vitakavyoingia kambini

25 October 2011

Waziri kujieleza Kamati ya Bunge

*Ni kwa kushindwa kuteua Bodi Utalii
*Wajumbe bodi ya zamani watimuliwa
*Hesabu Benki ya Posta zakataliwa
*Mrema kumwona JK wizi halmashauri


Na Waandishi Wetu

KAMATI za Bunge zimeanza kukunjua makucha baada ya Kamati ya Hesabu za

Mbunge ashtakiwa kwa kuvamia kituo cha polisi

Na Moses Mabula, Nzega

MBUNGE wa Nzega, Dkt. Hamisi Kigwangala (CCM) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Wilaya ya Nzega akikabiliwa

...........................................

Jaji Mkuu, Bw. Othuman Chande akimwapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Rais Jakaya Kikwete akishuhudia, Ikulu; Dar es Salaam jana.

Aggreko yaingiza megawati 100 gridi ya taifa

Na Tumaini Makene

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Bw. Adam Malima (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mitambo ya kufua umeme ya Kampuni ya Aggreco kutoka kwa Mkuu wa Operesheni wa kampuni hiyo, Bw. David Wanyaike (kulia)  wakati wa uzinduzi mitambo hiyo, Dar es Salaam jana.

WAKATI Kampuni ya Aggreko ikizindua uzalishaji wa megawati 100 za umeme kwenye gridi ya taifa kwa mkataba wa

Tume kuchunguza mauaji ya Gaddafi

*Wafuasi wake 53 pia waliuawa

TRIPOLI, Libya

WAKATI Baraza la Mpito la Libya limekubali mwili wa  aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kanali Muammar Gaddafi

...........................................

Mkurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bw. Sabasaba Mushingi akizungumza baada ya kuitwa na Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma Dar es Salaam jana kwa mahojiano na benki hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo, Prof. Lettice Rutashobya.

...........................................

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 66 ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN).

Polisi 8 mbaroni wizi wa stika makao makuu ya Trafic

Na Stella Aron

JESHI la Polisi limewatia nguvuni askari wake wanane kwa kuhusika na wizi wa stika za wiki ya nenda kwa usalama zilizoibiwa hivi

...........................................

Wachezaji wa timu ya kuogelea na viongozi wao, wakiwa na medali walizoshinda katika michuano ya kuogelea Afrika Mashariki iliyofanyika nchini Uganda mwishoni mwa wiki. Timu hiyo ilitwaa medali 76.

Simba wageukia saikolojia

*Wadai Yanga sawa na Oljoro JKT

Na Amina Athumani

UONGOZI wa klabu ya Simba umesema utawajenga wachezaji wake kabla ya kukutana na watani wao wa jadi, Yanga, katika

Nchimbi kufungua tamasha Utamaduni

Na Mwali Ibrahim

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha  la

Maryline: Kongamano soka la wanawake litajenga mfumo bora

Na Amina Athumani

MENEJA wa Maendeleo wa Mpira wa Miguu kwa Wanawake wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Maryline Tana, amesema

24 October 2011

...........................................

Askari wa Usalama Barabarani akiandika maelezo kutoka kwa Diwani wa Kata ya Kivule Jimbo la Ukonga, Bw. Nyansika Getama baada ya gari lake kugongwa na daladala lifanyalo safari kati ya Buguruni na Posta katika Barabara ya Uhuru karibu na Bakhresa mwishoni mwa wiki.

Hoja binafsi ya sheria ya albino kuwasilishwa

Na Faida Muyomba, Geita

MBUNGE Jimbo la Lindi, Bw. Salum Barwani (CUF), ameahidi kupeleka hoja binafsi bungeni wakati wa kikao kijacho, akitaka

Tutashirikiana na walemavu-Dkt Bilal

Na Damiano Mkumbo, Singida

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal, amesema serikali itashirikiana na chama cha

Walimu wakuu sekondari 'wamkaba' koo Mkurugenzi

Na Eliasa Ally, Iringa

WAKUU wa Shule za Sekondari 27 katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini,, wamelelemikia Mkurugenzi wa

...........................................

Mmoja wa wanakijiji cha Kibaoni wilayani Kilombero, Bi. Whitinece Sichela akichota maji kwenye kisima kilichotolewa na Taasisi ya Ahmadiya Muslim Jamaat ya jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwakilishi wa taasisi hiyo, Bw. Mohamed Saeed Lone na katikati ni Bw. Nelisoni Pongeza, Mweyekiti wa kamati ya maji kijiji hicho.

Yanga yaiua Oljoro Chamazi

*Yashika nafasi ya pili

Na Specirose Joseph

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, jana walishika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo, baada ya kuifunga JKT Oljoro bao 1-0 katika

Man City yaikomoa Man United

*Yaichapa mabao 6-1

LONDON, Uingereza

MANCHESTER City, jana ilivunja mwiko wa mahasimu wao United wa kutofungwa katika Ligi Kuu England

...........................................

Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge za kilometa 196,  Richard Laizer wa Arusha akimaliza mbio hizo zilizoanzia Shinyanga na kumalizikia Mwanza ambapo alitumia saa 5:02:28.

Arusha watamba mbio za baiskeli

Na Mwandishi Wetu, Mwanza

RICHARD Laizer wa Mkoa wa Arusha ameibuka bingwa wa mbio za wazi za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge, ambazo

21 October 2011

GADDAFI ALIVYOUAWA

TRIPOLI, Libya
Wapiganaji dhidi ya Muammar Gaddafi wakionesha karavati ambalo kiongozi huyo alikuwa amejificha

UTAWALA wa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya umefikia kikomo jana baada ya kiongozi huyo kuuawa katika mapigano ya

...........................................

Rais Jakaya Kikwete (kulia),Rais Yoweri Museveni wa Uganda(katikati)na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)Balozi Fulgence Kazaura wakiwasili chuoni hapo kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 kutoka kuanzishwa kwa chuo hicho.

CUF yamjia juu Edward Lowassa

Na Grace Ndossa

CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema hakuna sababu ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa, kukaripia vyombo vya

...........................................

Mwakilishi wa jimbo la Mkwajuni Zanzibar, Bw. Mbarouk Mussa Wadi (kulia) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Viti Maalumu (Walemavu), Bi. Raya Hamad nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi jana.

Vifaa vipya vya kupima CD4 vijijini vyatinga nchini

Na Nickson Mahundi

VIFAA vipya vya kupima chembechembe hai nyeupe zinazokinga mwili dhidi ya magonjwa (CD4) vimeingizwa rasmi nchini tayari

...........................................

Kiungo wa timu ya Yanga, Shamte Ally akiruka kukwepa kukwatuliwa na beki wa Toto African ya Mwanza, Lulanga Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salam jana.Yanga ilishinda mabao 4-2.

Yanga hakuna kulala

*Yaichapa Toto 4-2 *Asamoah aibuka shujaa

Na Zahoro Mlanzi

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza wimbi lake la ushindi kwa kuichapa Toto African ya

Mrwanda aishangaa TFF 'kumtolea macho'

Na Zahoro Mlanzi

SIKU chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuiachia Kamati ya Ufundi ya shirikisho hilo suala la

Simba, Shooting zaingiza mil. 14.7/-

Na Frank Balile

TIMU za soka za Simba na Ruvu Shooting, zimeingiza sh. milioni 14.755,000, katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye

Makocha 30 kunolewa Novemba

Na Zahoro Mlanzi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeteua makocha 30 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwa ajili ya kozi ya kupata

20 October 2011

Lowassa ang'aka

*Akana kumhujumu rais, kuchochea UV-CCM
*Akwepa kuongelea Dowans, kujivua gamba
*Asisitiza hajakutana na JK barabarani


Na Waandishi Wetu, Arusha

ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Bw. Edward Lowassa amejitenga na tuhuma zilizogaa kuwa anaandaa mikakati ya kumhujumu

...........................................

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na aliyekuwa mke wa Rais wa zamani wa Msumbiji, Mama Graca Machel, wakati walipokutana katika viwanja vya Mozambique Heroes Square, wakati wa kumbukumbu ya kifo cha mwasisi wa nchi hiyo, Hayati Samora Machel, mjini Maputo jana. Kulia kwa Makamu ni Mama Zakhia Bilal na (katikati) ni Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma.

Askofu Mkuu KKKT aonya umeme kugeuzwa siasa

Na Livinus Feruzi, Bukoba 

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex
Malasusa amesema suala la tatizo la umeme linaloendelea

...........................................

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Bi. Samia Hassan Suluhu (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Harry Kitilya kuhusu namna makontena yanavyochunguzwa na mashine maalum wakati alipotembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Muungano, Bw. Baraka Baraka na Mukurugenzi Mipango Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Joan Mbuya.

Wajerumani wachefuliwa na ufisadi kwenye miradi

Na Nickson Mahundi

UBALOZI wa Ujerumani nchini Tanzania umesema ubabaishaji uliokithiri nchini, ndio unakwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya

..............................................

MKUU wa Mkoa wa Mbeya  Bw.Abbas Kandoro akiangalia moja ya vifaa  vilivyoko kwenye banda la Jiji la Mbeya  wakati alipopita kwa ajili ya kukagua mabanda ili kujionea mambo mbali mbali yanayooneshwa katika  uwanja wa Ruanda Nzovwe ikiwa ni maadhimisho ya  miaka 50 ya  uhuru.

Simba hii haikamatiki!

*Yaichapa Ruvu 2-0

Na Speciroza Joseph

VINARA wa Ligi Kuu Bara, timu ya Simba imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya

Botswana kuzipiga bao Nigeria, Cameroon Chalenji

Na Zahoro Mlanzi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema Botswana ina nafasi nzuri ya kushiriki mashindano ya Kombe la

Michuano ya gofu kuanza Nov. 8

Na Amina Athumani

MICHUANO ya Chalenji mchezo wa gofu, inatarajia kuanza Novemba 8 hadi 11 mwaka huu katika viwanja vya

19 October 2011

Kujiuzulu Lowassa kulinishtua-Sitta

*Asema alimbabatiza bila kutarajia hali hiyo
*Akiri kushindwa kuahirisha kikao cha bunge
*Asema mpambano dhidi ya Dowans bado mbichi


Na Edmund Mihale

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Samuel Sitta, amesema kuwa

...........................................

Wanafunzi wa Chuo kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wakiwa nje ya Benki ya NMB Makao Makuu, Barabara ya Maktaba wakilalamika kutoingiziwa pesa zao kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu jana.

..............................................

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakiangalia ngoma za kikundi cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye Uwanja  wa Ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam jana.

Ahadi ya Bajaj kwa wajawazito ngumu-Wabunge

Na Tumaini Makene

MOJA ya ahadi za Rais Jakaya Kikwete alizoahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana, inayohusu matumizi ya pikipiki aina

.............................................

Mbunge wa Mufindi Kusini, Bw. Mendrad Ligola akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Seriakali (PAC) na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dar es Salaam jana. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa Bw. Ally Kessy Mohamed na Mbunge wa Musoma Mjini, Bw. Vicent  Nyerere.

...........................................

Kiungo wa Chelsea, Juan Mata akijifua kwenye Uwanja wa Stoke D'Abernon mjini London, kujiandaa na mechi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya KRG Genk itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London. Nyuma yake ni Didier Drogba. (AFP)

Simba vitani tena leo

Na Zahoro Mlanzi

VINARA wa Ligi Kuu Bara, timu ya Simba leo itakuwa katika mtihani mwingine itakapoumana na Ruvu Shooting ya Pwani kwa kutaka

Mafunzo judo yasogezwa mbele

Na Mwali Ibrahim

SHIRIKISHO la Kimataifa la Judo (IJF), limesogeza mbele tarehe ya kuanza kozi ya makocha wa daraja la pili ya mchezo huo hapa

Simba, Yanga, Azam zaingiza mil. 85/-

Na Zahoro Mlanzi

TIMU za Simba, Yanga na Azam FC katika michezo yao ya mwisho ya Ligi Kuu Bara, zimeingiza sh. milioni 85. Mapato hayo

18 October 2011

Zitto Kabwe, Makamba moto kwenye mdahalo

*Waibua kashfa matumizi mabaya serikalini
*Wataka waliojiuzulu Richmond walipe Dowans


Na Tumaini Makene

WAKATI makali ya mgawo wa umeme yakionekana kupungua huku nchi ikiwa bado katika hali ya udharura bila kupata suluhisho la kudumu, serikali imeingia

.................................

Maofisa wa ubalozi wa Tanzania wanaofanya kazi katika balozi mbalimbali duniani wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (hayupo pichani) baada ya kufungua mafunzo ya kujengeana uwezo kwa maofisa wa ngazi za ubalozi, Dar es Salaam jana.

Anayedaiwa kupora kwa Chami ataka 'suluhu'

Na Mwandishi Wetu, Moshi

WAKATI polisi wamekamata watu wanne wanaodaiwa kuvamia nyumbani kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Cyril Chami na kumtishia maisha mama yake, mmoja wa

.................................

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bw. Lazaro Nyalandu (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana mara baada ya kutembelea Kiwanda cha Unga wa Mahindi cha Azam. Kulia ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Bw. Hussein Sufian.

Hundi za fidia G'mboto kurejeshwa hazima

Na Grace Ndossa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Meck Sadik ametoa wiki mbili kwa waathirika wa milipuko ya mabomu katika eneo la Gongolamboto kwenda kuchukua hundi zao

Siasa za chuki zatikisa Kahama

Na Patrick Mabula, Kahama

OFISI ya serikali Kata ya Malunga Wilayani Kahama imenusurika kuungua baada ya kuchomwa moto usiku wa manane na watu wasiojulika kutokana na tofauti za kisiasa za viongozi

...................................

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana ya Junior Achievement Tanzania (JAT), Bw. Rashid Mbuguni (kulia) akizungumza jana wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani Dar es Salaam wanaokwenda nchini Ghana kwa mashindano ya ujasiliamali kwa shule mbalimbali za Afrika. Wengine pichani ni wanafunzi wanaokwenda Ghana.  

Msikosoe kila kitu kinachofanywa na serikali-Waziri

Nickson Mahundi na Mariam Bokero

SERIKALI imewataka wadau wa maendeleo hususan mashirika yasikuwa ya kiserikali (NGOs) kuacha tabia ya kulaumu na

Wabunge waivamia Simba

Na Zahoro Mlanzi

WABUNGE wanne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wameibukia katika Kamati mbalimbali mpya za Klabu ya Simba, zilizoundwa

Simba yatangaza kumuuza Yondani

Na Zahoro Mlanzi

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umefungua milango kwa timu yoyote inayomhitaji beki wao 'mtukutu', Kelvin Yondani kumsajili

Watanzania watakiwa kucheza skwashi

Na Amina Athumani

KLABU Gymkhana ya Dar es Salaam, imewaomba Watanzania kujitokeza katika viwanja hivyo, kujifunza mchezo wa skwashi ambao kwa

17 October 2011

Magamba yazidi kuiandama CCM

*Nape asema bila kuyavua haraka nchi haitatawalika
*Asema wanaopinga wanafaidika na rasilimali za nchi
*Aonya wapambanaji wasipokuwa makini wanatolewa roho


Na Mwandishi Wetu, Mwanza

FALSAFA ya kuvuana magamba ncani ya Chama Cha mapinduzi (CCM) imezidi kukitesa

..................................

Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Bw. Erasto Sima akimpakata mtoto Zaina Jackson alipomtembelea mama wa mtoto huyo, mwanafunzi Mariam Mohamed (kushoto) nyumbani kwao Kwa Mdulu, Tanga juzi. Mariam aliyekuwa akisoma Shule ya Sekondari Kilole alipewa ujauzito akiwa shuleni, lakini aliweza kufanya mtihani wake wa kumaliza Kidato cha Nne iliyomalizika hivi karibuni huku akiwa na mwanawe shuleni. Mwanafunzi huyo alijifungua Septemba 8 mwaka huu wiki tatu kabla ya kuanza mitihani hiyo.

.................................

Wanafunzi wa shule mbalimbali wakianawa mikono kuadhimisha Siku ya kunawa mikono Duniani iliyoadhimishwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

'Taja wauaji albino upate mil.5/-'

Na Waandishi Wetu, Mwanza

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema ametangaza bingo ya sh. milioni tano kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa ya watu wanaojihusisha na vitendo vya mauaji ya walemavu

...................................

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na wakazi wa Kata ya Tabata mwishoni mwa wiki wakati wa harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa kituo cha polisi cha wananchi wa kata hiyo. Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Bw. Faustine Shilogile na Diwani wa kata hiyo. Bi. Mtumwa Mohamed.

Mkuu wa Shule achomwa moto Igunga

*Adaiwa kuiba saruji ya shule

Na Mwandishi Wetu, Igunga

MKUU wa Shule ya Sekondari ya Mwashiku, Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora, Bw. Charles Medadi (42) amepigwa hadi kufa kisha mwili wake kuchomwa moto na wananchi

UWAKA wachanga mil. 44 kusaidia Masista wadogo

Na Peter Mwenda

WANAUME Wakatoliki wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam (UWAKA) wamechanga sh. milioni 44 kwa ajili ya kusaidia masista wadogo wa

Magavana EAC wakubaliana kusimamia mfumko wa bei

Na Godfrey Ismaely

MAGAVANA wa Benki Kuu katika nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubaliana kusimamia mpango

Manji aivutia pumzi Yanga

Na Zahoro Mlanzi

ALIYEKUWA Mfadhili wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji ametua nchini jana alfajiri akitokea Marekani na kutaka apewe wiki moja atafakari

Extra Bongo yateka mashabiki Mbeye

Na Mwandishi Wetu, Mbeya

MAMIA ya wakazi wa jiji la Mbeya, juzi wamejitokeza kwenye tamasha la Kili Jivunie uTanzania, ambalo lilipambwa na bendi ya

'Wekundu wa Msimbazi' wapata viongozi

Na Heri Shaaban

TAWI la Simba la 'Wekundu wa Msimbazi' lililopo kituo kikuu cha mabasi ya mikoani Ubungo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

13 October 2011

Mafisadi wamtisha Rais Kikwete, CCM

*Nape alia wana mkakati kutenganisha urais, uenyekiti
*Asema wanatumia pesa nyingi kufanikisha malengo yao
*Adai walipanga washindwe uchaguzi Igunga, wakakwama


Na Agnes Mwaijega

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ndani yake kuna kikundi cha waasi chenye nguvu ya

.................................

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mke wa Balozi Juma Mwapachu, Bi. Rose Mwapachu wakati alipofika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam juzi kumpa pole kufuatia kifo cha mtoto wake, Harith Mwapachu kilichotokea Oktoba 11, 2011.

CHADEMA Mbeya wasusa Baraza la Madiwani

*Aliyeuawa Igunga kufanyiwa Dar hitma leo

Na Charles Mwakipesile, Mbeya

WABUNGE na madiwani wenzao wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana walisusa na kutoka nje ya kikao cha

...............................

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL), Bi. Teddy Mapunda akimkabidhi Kamnda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Bw.Mohamed Mpinga moja ya nakala ya vitabu 20,000 vya elimu ya usalama barabarani vitakavyotolewa bure kwa madereva na watu mbalimbali ili wawe na uelewa wa namna ya kuepuka na ajali zisizo za lazima. Shughuli ilifanyika Dar es Salaam jana.

Vumbi la Rostam bado latimka Tabora

Na Moses Mabula, Tabora

WAKATI vumbi la aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Igunga, Bw. Rostam Azizi (CCM) halijatua, makundi yamezidi kukitafuna Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa

.................................

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. John Tupa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la Idara ya Habari kuhusiana na maandalizi ya Mbio za Mwenge wa uhuru unaotarajia kuwashwa mkoani humo. Wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga, Kaimu Ofisa Utamaduni na Michezo, Bw. Shekheadi Saidi (kushoto). Wengine ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Clement Lujaji (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Karaine Kimaati.

Mulugo: Wananchi wafahamishe misaada anayotoa mbunge wao

Na Esther Macha, Chunya

VIONGOZI wa vijiji katika Kata ya Kanga, Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wametakiwa kuwaeleza wananchi misaada na vifaa vinavyotolewa na mbunge wa Jimbo

Wafuata huduma ya maji nchini Kenya

Na Gift Mongi, Rombo

ZAIDI ya wakazi 2,500 wa Vijiji vya Kahe na Urauni, katika Ukanda wa Chini, Wilaya ya Rombo, mkaoni Kilimanjaro, wanalazimika kwenda nchi jirani ya Kenya kutafuta

................................

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Hawa Ghasia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru na 12 ya kifo cha Muasisi wa Taifa la Tanzania, Mw. Julius Nyerere yatakayofanyika Dar es Salaam kesho kutwa. 

Yanga yampigia 'magoti' Manji

Na Suleiman Mbuguni

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umwendikia barua aliyekuwa mfadhili wao, Yusuf Manji ili arudi tena kuokoa jahazi.Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa

Savio yazinduka, yaichapa Vijana

Na Amina Athumani

TIMU ya mpira wa kikapu ya Savio, imezinduka usiingizini baada ya kuichapa Vijana kwa pointi 63-53 katika mwendelezo wa mashindano ya mpira wa kikapu ya

David Haye afikiria kustaafu

LONDON, England

BINGWA wa zamani wa uzani wa juu katika ngumi za kulipwa, David Haye amesema anatazamia kustaafu ngumi baada ya bodi inayoongoza mchezo huo nchini Uingereza kutangaza

12 October 2011

Sitta apasua

*Aapa kamwe hatakubali serikali kuilipa Dowans
*Asema iliirithi Richmond isiyotambuliwa kisheria
*Wanaharakati watangaza siku 10 za maandamano
*Yaelezwa TANESCO kukata rufaa changa la macho


Na Waandishi Wetu

SIKU chache baada ya Mahakama Kuu kusajili tuzo ya malipo ya sh. bilioni 94 ambazo

.................................

Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Athari za Dawa za Kulevya, Dar es Salaam jana ambapo alisema nchi ya Tanzania kwa dawa za kulevya inanuka. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Marekani la Afya, Bi. Sally Chalamila.

Maiti ya wakala CHADEMA yaokotwa Igunga

Na Mwandishi Wetu

MAITI ya kada na wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyepotea wakati wa uchaguzi wa Igunga imeokotwa katika pori la Magereza ikiwa

Warioba: Tanzania itapata matatizo makubwa

Waziri Mkuu Mstaafu, Bw. Joseph Sinde Warioba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana baada ya kutembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Bw. Kassim Majaliwa.

Na Benjamin Masese

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa tathmini yake ya miaka 50 ijayo, akisema

Maiti ya wakala CHADEMA yaokotwa Igunga

Na Mwandishi Wetu

MAITI ya kada na wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyepotea wakati wa uchaguzi wa Igunga imeokotwa katika pori la Magereza

Karume, Nyerere waenziwe kwa vitendo

Na Eckland Mwaffisi, aliyekuwa Zanzibar

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, Bw. Vuai Ali Vuaia, amesema waasisi wa Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere na

................................

Kinamama wafanyabiashara ya mbogamboga wakifanya shughuli hiyo eneo la Kitunda, njia panda ya Kivule, Dar es Salaam jana. Fungu moja huuzwa kati ya sh. 200 hadi 300.

Simba yavamia Bamba Beach

*Yawapandisha vijana nane

Na Zahoro Mlanzi

TIMU ya Simba, imeamua kujichimbia katika fukwe za Bamba Beach, Kigamboni kwa ajili ya kujinoa kwa michezo yao ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa na

African Stars Band waibuka na Twanga Festival

Na Frank Balile

BENDI ya muziki ya African Stars 'Twanga Pepeta', imeandaa tamasha kubwa la Twanga Festival litakalohusisha sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

TBL yazindua mashindano ya mitumbwi

Na Zahoro Mlanzi

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia ya Balimi Extra Lager, imezindua rasmi mashindano ya mitumbwi kwa mwaka huu, ambapo bingwa kwa wanaume

11 October 2011

NHC yawageukia JWTZ wizara nyeti, polisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu hatua ya ukusanyaji wa madeni ya muda mrefu. Kushoto ni Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Bw. Hermes Mtagwamba.
*Yawadai jumla ya bilioni 2/- za pango
*Yawapa miezi miwili la sivyo kutupwa nje


Na Willbroad Mathias

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limezidi kucharuka na sasa limezipa notisi ya

Mbunge CCM ashtakiwa kwa kutishia kuua

*Wa CHADEMA nusura wafutiwe dhamana

Na Waandishi Wetu, Mbeya, Tabora

MBUNGE wa Jimbo la Mbarali (CCM), Bw. Modestus Kirufi amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mkoa kujibu mashtaka ya kutishia kuua kwa

Kikwete ataka watendaji kutoa maamuzi

Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao maalumu cha wadau wa sekta ya nishati nchini kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Na Mwandishi Maalumu

RAIS Jakaya Kikwete amewataka watendaji wa serikali yake kutambua kuwa nchi iko katika hali ya

................................

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Shamsi Vuai Naodha (kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa pikipiki kutoka kwa Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Dolphin Water, Bw. Aloys Mwanga, wakati wa kuchangia kazi za ulinzi na usalama katika kanda maalum ya kipolisi ya Dar es salaam jana. Wa pili kushoto ni IGP Saidi Mwema na Meneja usafirishaji wa Kampuni hiyo, Bw, Vedasto Lukuchu.

Kilio cha polisi chaanza kusikika

Na Florah Temba, Moshi

SERIKALI imeondoa kodi kwenye baadhi ya bidhaa za ujenzi kwa askari polisi ili kuwawezesha kujenga nyumba kwa gharama nafuu kulingana na vipato vyao.Hatua hiyo imechukuliwa

.................................

MamaLishe wakiandaa chakula kwenye mgahawa wa Soko la Kimataifa la samaki, Magogoni, Dar es Salaam jana. Wakandarasi waliopewa zabuni ya uzoaji taka na ufagiaji wanadaiwa kutotimiza wajibu wao kushindwa kuweka mazingira katika hali ya usafi. 

Poulsen ageukia Kombe la Dunia

*Ni baada kupigwa kumbo CAN 2012

Na Zahoro Mlanzi

SAA chache baada ya kushuhudia timu yake ikishindwa kukata tiketi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika mwakani (CAN 2012), Kocha Mkuu wa timu ya

TFF yasubiri ripoti ya Poulsen

Na Zahoro Mlanzi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linasubiri ripoti ya Kocha Mkuu wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Jan Poulsen, itakayoelezea majumuisho ya matokeo ya

Kamati TFF yaigeukia FAM

Na Zahoro Mlanzi

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeitaka Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa Mara (FAM), kuhakikisha

Mkutano Mkuu TASWA Desemba

Na Mwandishi Wetu

MKUTANO Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), umepanga kufanyika Desemba 17, 2011, Dar es Salaam Zoo

Askofu: Rasilimali zinufaishe wananchi

*Aonya kinyume chake ni kuhatarisha amani
*Ataka migodi ya kusini iepushe migogoro


Na Dennis Gondwe, Njombe

SERIKALI imeshauriwa kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi zinatumika kwa maslahi ya nchi na kuwanufaisha wananchi wenyewe walio wengi, vinginevyo ni

10 October 2011

.....................................


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt.Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, jijini Dar es Salaam juzi.

....................................


Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Ruvuma Bi. Aziza Luttala ,akimuapisha Diwani wa Kata ya Matimila kupitia Chama Cha Capinduzi(CCM), Bw. Menas Komba, juzi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini, baada ya diwani huyo kushinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika wiki iliyopita.

Mafuta ya taa, dizeli yapaa, Petroli yashuka

Na Mwandishi Wetu

BEI za jumla na rejareja kwa aina zote za mafuta nchini, zimebadilika huku bei ya petroli ikishuka lakini ile ya mafuta ya taa na diseli ikipanda ikilinganishwa na bei elekezi ya toleo

Wabunge CHADEMA kortini leo

Na Moses Mabula, Tabora

KESI inayowakabili wabunge wawili wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na mjumbe mmoja wa Baraza la Vijana la chama hicho leo itatajwa katika

..................................

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi sh. milioni Tatu kwa mshindi wa Promosheni ya "WEKA AKIBA USHINDE", Bw. Tom Josen kutoka Tawi la Metropolitan, Dar es Salaam Juzi. Promosheni hiyo ilianza Juni mwaka huu na droo kubwa ya mwisho itachezwa mwishoni mwa mwaka huu.

...................................


Wamachinga wanaofanya shughuli zao kando ya barabara ya Uhuru na Msimbazi, wakifunika biashara zao kutokana na mvua iliyokuwa ikinyesha Dar es salam jana.

Wajawazito wajifungulia kwenye ubao

Na Sammy Kisika, Sumbawanga.

WAJAWAZITO wa Kijiji cha Kilando Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga wameuomba uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kunusuru masiha yao na watoto kutokana na

...............................

Kinamama wanaofanya biashara ya khanga na vitenge mbele ya maduka yaliyopo eneo la Rem'skatika  barabara ya Uhuru wakipanga nguo hizo wakati wakisubiri wateja.Bei ya bidhaa hizo ni kati ya sh. 4,500 na 15,000 kwa doti moja.

Yanga yaingia hofu

Na Zahoro Mlanzi

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umefuta mechi za kirafiki kwa sasa kutokana na kuhofia wachezaji wake kuumizwa hususani, kipindi hiki ambacho wapo katika mkakati wa

Mashindano ya Muungano yafutwa

Na Mwandishi Wetu
MICHUANO ya netiboli ya muungano mwaka huu, imefutwa kutokana na Chama cha Netiboli Zanzibar (CHANEZA), kukabiliwa na Uchaguzi Mkuu.CHANEZA imekiandikia

Sitta ataka wachezaji wasitumie dawa

Na Amina Athumani

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amewataka wanamichezo wa ukanda huo kuifanya Afrika Mashariki kuwa yenye wachezaji wasiotumia dawa za

JKT Ruvu yainyuka Mtibwa 3-2

Na Speciroza Joseph
TIMU ya JKT Ruvu jana, imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Chamazi, nje ya

07 October 2011

Jinamizi la Igunga laing'ang'ania CCM

*Mabalozi 18 wajiengua, wadai rushwa ilitawala
*Madiwani Songea wagomea kikao kupinga uchaguzi
*M'kiti Lushotoa ajiuzulu kwa tuhuma za ufisadi


Na Waandishi Wetu, Igunga, Songea

Madiwani wagomea kikao

Wakati hali ikiwa hivyo Igunga, baadhi ya madiwani wa Chama CCM Manispaa ya Songea wamesusia

..........................................

Jengo la ghorofa la matofali mabichi kama lilivyonaswa na mpigapicha wetu katika kijiji cha Msafiri kilichopo Bungu wilayani Rufiji jana. Ni hatari, lakini salama.

..........................................

Rais Jakaya Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika Bwawa la Kidatu mkoani Morogoro juzi. Kushoto ni Meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera.

Waangalizi waibua utata walioandikishwa Igunga

Na Tumaini Makene

SIKU chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Dalaly Kafumu kuibuka mshindi, kimeibuliwa

Auawa na polisi katika mapigano Geita

Na Faida Muyomba, Geita

MTU mmoja ameuawa kwa risasi na wangine wanne wakiwemo askari polisi watatu kujeruhiwa, katika mapambano ya polisi na wachimbaji wadogo wa dhahabu katika

..........................................

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukulu Kawabwa (katikati)  akisalimiana na waliowahi kushika nafasi ya Postamasta Mkuu kwa miaka tofauti,  Bw. Suleiman Msofe (kulia) na Lucian Minde walipokutana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani Dar es Salaam jana.

DC atoboa siri nzito kuhusu waombaji

*Ataja chanzo cha kuungua kwa soko 

Na Charles Mwakipesile Mbeya

MKUU wa Wilaya ya Mbeya Bw. Evans Balama, amewashangaza umma uliojitokeza kumsikiliza katika Kanisa la Moravian Yerusalem Jijini hapa baada ya

..........................................

Mwenyekiti wa mtandao wa Asasi za kiraia zipatazo 17 (TACCEO) chini ya uratibu wa Kituo cha kisheria na haki za kibinadamu (LHRC), Bi. Martina Kabisama (katikati)  akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya uangalizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika hivi karibuni Igunga. Kulia ni Mratibu wa uchaguzi wa TACCEO, Bw. Merick Luvinga na Mkurugenzi wa ujengaji uwezo wa kituo hicho, Bi. Imelda Urio.

Walemavu watishia kuandamana kudai makontena

Na Anneth Kagenda

CHAMA Cha Walemavu kwa kushirikiana na Taasisi isiyokuwa ya kiserikali inayojishughulisha na Kutoa Huduma Bure kwa Walemavu (UDF), kimeandaa maandamano ya

Yanga yatembeza mkwara

*Wanaotumia nembo yao kukiona
Na Zahoro Mlanzi

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umetoa notisi ya mwezi mmoja kuanzia jana kuhakikisha wafanyabiashara wanaouza kinyemela bidhaa zenye nembo yao

Twiga Stars yapangiwa na Namibia

Na Zahoro Mlanzi

TIMU ya taifa ya wanawake (Twiga Stars), imepangwa kucheza na Namibia katika mechi ya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za nane za Kombe la Mataifa ya

Mnigeria kuwasindikiza BSS

Na Amina Athumani

MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria,  N’Abania 'Mr Flavour',  amealikwa kutumbuiza katika fainali za mashindano ya kuibua vipaji ya Bongo Star Search  Second Chance,  itakalofanyika

06 October 2011

Uchaguzi Igunga waigawa CCM upya

*Mwenyekiti Tabora ataja kundi la wasaliti
*Asema walitaka ishindwe uchaguzi 'waheshimiane'

 
Na Moses Mabula, Tabora

SIKU tatu baada ya CCM kushinda uchaguzi wa Jimbo la Igunga, Mwenyekiti wa Chama hicho

..........................................

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Bw. Bashir Awale akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akizindua  bidhaa iitwayo' 'Mkopo wa Haraka' (SME Express Loan) ulioanzishwa kwa wafanyabiashara wa Kariakoo, jijini. Katikati ni Mkuu wa  Masoko na Mawasiliano wa, Bw. Abdallah Singano na mkuu wa biashara ndogondogo na za kati, Bw. Adelhem Msiagi.

Mgawo wa umeme wafunga kiwanda

Na Grace Michael

NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dkt. Makongoro Mahanga ameshuhudia madhara ya mgawo wa umeme baada ya kukuta kiwanda cha uzalishaji mifuko ya plastiki kimefungwa na

..........................................

Mkurugenzi  Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao akisalimiana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara alipowasili nchini hivi karibuni akiwa na lengo la kujionea jinsi Vodacom Tanzania inavyoendesha shughuli zake.