Mmoja wa wanakijiji cha Kibaoni wilayani Kilombero, Bi. Whitinece Sichela akichota maji kwenye kisima kilichotolewa na Taasisi ya Ahmadiya Muslim Jamaat ya jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwakilishi wa taasisi hiyo, Bw. Mohamed Saeed Lone na katikati ni Bw. Nelisoni Pongeza, Mweyekiti wa kamati ya maji kijiji hicho. |
No comments:
Post a Comment