20 October 2011

...........................................

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na aliyekuwa mke wa Rais wa zamani wa Msumbiji, Mama Graca Machel, wakati walipokutana katika viwanja vya Mozambique Heroes Square, wakati wa kumbukumbu ya kifo cha mwasisi wa nchi hiyo, Hayati Samora Machel, mjini Maputo jana. Kulia kwa Makamu ni Mama Zakhia Bilal na (katikati) ni Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma.

1 comment:

  1. Maskini Samora. Huyu mke wake atakuwa mjane mara ya pili muda si mrefu baada kifo cha Mabiba. Atakuwa anatia huruma sana. Kumbukumbu za vifo vya marais.

    ReplyDelete