Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Bi. Samia Hassan Suluhu (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Harry Kitilya kuhusu namna makontena yanavyochunguzwa na mashine maalum wakati alipotembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Muungano, Bw. Baraka Baraka na Mukurugenzi Mipango Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Joan Mbuya. |
No comments:
Post a Comment