07 October 2011

..........................................

Mwenyekiti wa mtandao wa Asasi za kiraia zipatazo 17 (TACCEO) chini ya uratibu wa Kituo cha kisheria na haki za kibinadamu (LHRC), Bi. Martina Kabisama (katikati)  akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya uangalizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika hivi karibuni Igunga. Kulia ni Mratibu wa uchaguzi wa TACCEO, Bw. Merick Luvinga na Mkurugenzi wa ujengaji uwezo wa kituo hicho, Bi. Imelda Urio.

No comments:

Post a Comment