31 May 2013
Meneja wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Kigoma, Bw. Kasinde Umella, akisalimiana
na Baba wa mshindi wa sh. Milioni 100, katika 'Promosheni ya Vodacom
Mahela', Bw. Nicodemus Nalisis (kushoto), alipofika uwanja wa ndege kumlaki mtoto wake
Bw. Valerian Kamugisha (katikati) alipowasili Kigoma kutoka Dar es Salaam alikokabidhiwa 'kitita' hicho juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
Minazi, karafuu yahamia Wizara ya Kilimo
Na Mwajuma Juma,
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali
amesema kuwa kuanzia sasa mashamba yote ya karafuu na minazi yaliyokuwa chini
ya usimamizi wa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati yatakuwa
yakishughulikiwa na Wizara ya Kilimo na Maliasili, ili kuondoa mvutano wa
kiutendaji baina ya wizara hizo mbili.
Balozi Seif alitoa uamuzi huo katika
Chuo cha Amali vitongoji Chake Chake Pemba wakati akizungumza na masheha wa
mikoa miwili ya kisiwani Pemba.
Alisema udhibiti wa mapato
yanayotokana na mazao yaliyomo kwenye baadhi ya mashamba ya Serikali yalikuwa
yakileta mgongano kutokana na mashamba hayo kushughulikiwa na Wizara mbili
tofauti.
Hivyo aliwaomba Masheha ambao maeneo
yao yamo mashamba ya
Wazazi Masasi wahimizwa kupeleka watoto shule
Na Said Hauni, Lindi
WA Z A Z I Wi l
a y a y a Masasi mkoani Mtwara wamesisitizwa kuwapeleka watoto wao shule ili
waweze kupata haki zao za msingi katika kupata elimu itakayoweza kuwasaidia
kuendesha maisha yao ya sasa na ya baadaye
Rai hiyo
ilitolewa na Kaimu Ofisa Elimu shule za msingi wilayani humo, Said Nanjayo,
alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Walemavu wa ugonjwa wa Ukoma
katika kijiji cha Mkaseka, Jimbo la Lulindi, wakati wa uzinduzi wa jengo la
darasa moja la awali lenye thamani ya sh.milioni 9.
Akizungumza
baada ya ufunguzi wa darasa hilo, Nanjoyo alisema ni vema wazazi walio na
watoto walio na umri wa kuanza masomo ya awali kuwapeleka mara moja kwenye
shule hiyo ili waweze kuanza kupata elimu itakayowawezesha kuingia darasa la
kwanza kwenye shule ya
Waziri ataja mbinu za kumaliza migogoro
Na Mwa j uma J uma ,
Zanzibar
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Abubakar Khamis Bakar, amesema
kuwa katika kutafuta amani na utulivu ni lazima pawepo na msimamo wa pamoja ili
kuweza kufanikiwa kumaliza tofauti.
Waziri huyo
aliyaeleza hayo katika uzinduzi wa kitabu cha Mizozo na namna ya kuitambua na
kuitatua kisha kuichambua mizozo ya Zanzibar hafla iliyofanyika mjini Unguja.
Alisema kuwa
katika kufikisha suala hilo pamoja na kuwepo na msimamo lakini hekima na busara
itumike ili kufikia lengo la kupatikana kwake.
Hata hivyo
alisema kuwa si njia sahihi ya kufikiria kuwa njia pekee ya kumaliza tofauti
baina ya pande mbili ni kumshinda unaepambana nae bali ni kumshawishi ili
akubaliane na mtazamo pamoja na unayoyasema.
Aidha, alisema
kuwa kwa vyovyote vile kiini cha migogoro huwa ni
'Majambazi' wasomewa mashtaka hospitalini
Na Said Hauni, Lindi
WAKAZI wawili katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi,wamefikishwa
mahakamani wakikabiliwa na shtaka la kujihusisha na masuala ya ujambazi kwa
kutumia silaha mbalimbali ikiwemo bunduki ya kienyeji na kufanikiwa kupora
bidhaa na fedha taslimu jumla ya sh milioni 1.2.
Washtakiwa hao
ambao kesi yao ipo kwa Hakimu Aluu Nzowa wa Mahakama ya wilaya hiyo ni, Hamisi
Athumani Mbuhi na Rajabu Juma Ndete wote ni wakazi wa mtaa wa Kongo mjini Lindi
na wamelazwa hospitali ya mkoa huo Sokoine.
Akiwasomea shtaka lao katika wodi namba sita walikokuwa wamelazwa
Mwanasheria wa
Serikali, Juma Maige alidai Mei 20 mwaka
huu usiku washtakiwa wote kwa pamoja walifika dukani kwa Hamisi Hassani Bakari
lililopo Kijiji cha Mkwajuni Wilaya ya Lindi na
Mtatiro kuzindua kampeni udiwani Muheza
Na Mwandishi Wetu, Muheza
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF),Julius Mtatiro anatarajiwa
kuzindua kampeni za udiwani katika Kata za Genge na Tingeni zilizoko wilayani
Muheza Mkoa wa Tanga.
Mjumbe wa
Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, Nuru Awadh Bafadhili alisema jana kuwa
uzinduzi huo utafanyika siku mbili ambapo katika Kata ya Genge utafanyika kesho
na Kata ya Tingeni itakuwa Juni 2.
Alisema
mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu huyo yatafanyika katika Kijiji cha Kerenge Kata
ya Tingeni na kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki kiongozi huyo.
Wakati huo huo,Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Muheza
mkoani
Viongozi Newala wafurahishwa na vikundi vya wakulima
USHIRIKIANO na mwamko wa wakulima walioungana katika
vikundi kutekeleza mradi wa Mpango wa Maendeleo vijijini; katika mwambao wa
Pwani ya Tanzania (CRSPT); unaotekelezwa na Aga Khan Foundation, katika Wilaya
ya Newala, umewafurahisha, viongozi katika kata ya Mcholi ya kwanza,
walioshiriki siku ya wakulima kijijini, Chiunjila, anaripoti Godwin
Msalichuma, Newala.
Hayo yalijitokeza kijijini hapo hivi
karibuni, ambapo diwani Selemani Kaisi, alipopewa fursa ya kuzungumza na
vikundi vya wakulima takribani 87, wanaume 61 na wanawake 26, walikusanyika
katika siku yao, ili kujifunza pamoja mambo muhimu na changamoto zinazowakumba
katika mradi huo wa kilimo cha mpunga na ufuta.
“Nimeridhishwa sana na utekelezaji wenu
wa mradi huu kwa ushirikiano na kwa kweli unanitia moyo kuona haya yakifanyika
kwa umoja na nguvu ya pamoja, niseme kuwa mmeshakuwa wataalamu sasa, ninaimani
mnaweza kuendelea hata bila ya wafadhili kuwepo” alisema Kaisi na
Kigoma watakiwa kuchangamkia promosheni Vodacom
Na Mwandishi Wetu, Kigoma
MZAZI
wa kija naaliy eshindash.milio ni10 0katika promosheniya VodacomMahela, Bw
.Nicodemus Nalisis am etoawit okwawa kaziw a Mkoaw aKigo mak ujen gatabia
yakushiriki mash in danomba lim bali yanayotolewanakamp unizasimuza mkononi
hapanchini.
Bw.Nicodemus
alisemahayo juzi mkoaniKi gomaw akat ialipowasili kumpok eakijana wakeB
w.ValerianKamugish aaliyewasilimkoani hapa marab aada ya kuka bidhiwakiasi
chash .mi lioni10 0m wanzoni mwawik ihiibaad ay akuibukamshindiwashindanoh ilo
.
Alisem
a k uwa hatua yakushiriki ma shindanoha yoyatatoa fursayaushindi k wawa
nanchiwengi mkoani Kigoma hivyo kuongeza uwezekano wa mkoa wa Kigoma kutoa
washindi wengi katika mashindano yanayoendeshwa na Vodacom na kubadilisha
maisha yao ya kiuchumi na
Wanaoita wenzao mafisadi wamkera Pinda
Na Elizabeth Joseph, Dodoma
WAZIRI Mkuu,
Mizengo Pinda, amewatahadharisha watu wanaopenda kuwaita wenzao mafisadi pindi
wanapowaona wamepata mafanikio kwa kuwa na yeye anatarajia kunufaika na ufugaji
wa nyuki.
Alisema hivi karibuni anatarajia kuvuna asali
karibu tani moja na mara akianza kuiuza lazima apate faida kutokana na asali
hiyo, hivyo Watanzania wenye dhana ya ufisadi kwa wanaopata faida au maendeleo
katika shughuli za kujiinua kiuchumi waache tabia hiyo.
Pinda alibainisha hayo juzi mjini hapa wakati
akifungua semina ya wakuu wa mikoa na wilaya nchini iliyohusu utoaji wa
pembejeo za ruzuku kwa wakulima.
Aliwataka wakuu hao kutafuta njia ya kuwasaidia
wafugaji nchini kwa
Dawa bandia kugundulika kwa kutumia simu
Na Rachel Balama
KAMPUNIzakuten genezadawa za b ina damunchini zimetak i wakutumia
teknolojiampya ijulikanayo“hakikisha d awa156 29 ”iliyoanzishwan akampu ni
yadawa yaG laxoSmithKline ili kudhibiti da w abandia.
Mwit ohu ou
litolew a Dar es Salaamja nan aNaibuWaziriwaAfyanaUstawiwaJamii , Dkt.Seif
Rashi d, wakati a kiz induaprogramuyamtanda owah a kikisha dawahal isi kwaku
tum aujumbemfupi wamaneno kwen da1 5629 .
A lisemak
uwanjia hiyoitasaidia kudhibitida waba ndiakw ak uwa changamo tokub wailiyo
pokw asasaniuwepo wadaw a band iapamoja na watukuu zadawazi sizofaakutibumago
njwa.
Alis
emaSerikali itajitahidi kufanyauhakik iilikuhakikisha
Mtoaji taarifa za uwongo kwa IGP, Waziri ahukumiwa
Na Rehema Mohamed
Mohamed (25), amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela
au faini ya sh. milioni tatu baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka
matatu.
Mashtaka hayo ni kutoa taarifa za
uongo katika mitandao ya simu za mkononi na kutuma ujumbe wa maudhi kwa Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Said Mwema.
Mshtakiwa huyo alisomewa hukumu hiyo
jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na Hakimu Hellen
Liwa ambapo upande wa mashtaka uliwakilishwa na wakili Bw. Ladslaus Komanya.
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Liwa
alisema hayo ni makosa mapya yaliyo katika Sheria Mpya ya Mawasiliano na
Mitandao.
“Kwa kitendo ulichokifanya kuwatumia
ujumbe viongozi wa juu wa
Ufaulu IV-2012 waongezeka
Grace Ndossa na Goodluck Hongo
KIWANGO cha
ufaulu kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, kimeongezeka kwa
asilimia 43.8 tofauti na yale yaliyotangazwa awali ambayo ni asilimia 34.5.
Matokeo hayo
yametangazwa Dar es Salaam jana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt.
Shukuru Kawambwa ambaye alisema kuwa, kati ya wanafunzi 397,138, waliofaulu ni
159,609.
Kati ya
wanafunzi hao, wavulana 98,858, wasichana ni 60,751, sawa na asilimia 43.8
tofauti na matokeo ya awali.
Alisema
waliofaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu ni 35,349 ambapo kati yao,
wavulana ni 24,425, wasichana ni 10,924, sawa na asilimia 9.55. Waliopata
daraja la
Uandishi umechangia mateso ya Kibanda-Kamati
Mashaka Mhando na Rachel
Balama
TUKIO la kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri
nchini (TEF), ambaye anaendelea na matibabu nchini Afrika Kusini, limechangiwa
na kazi yake ya uandishi wa habari likihusisha vyombo vya dola na vyama vya
siasa.
Mwenyekiti wa
Kamati Maalumu ya uchunguzi wa tukio hilo, Bw. Deodatus Balile, aliyasema hayo
mjini Tanga jana wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi uliofanywa na watu
watano.
Alisema kamati
hiyo imebaini halina uhusiano wowote na masuala ya rushwa au mapenzi bali ni
mpango maalumu ambao uliandaliwa na baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola
wasio waaminifu ili kutekeleza matakwa ya kisiasa.
“Kamati
imebaini kuna kutupiana mpira kati ya vyombo vya dola na vyama vya siasa katika
kuandaa mpango wa kuteswa kwa Bw. Kibanda hatua ambayo uchunguzi huo umebaini
kuwepo kwa sababu ya kutokea tukio hili,” alisema Bw. Balile.
Katika taarifa hiyo yenye kurasa 10
ambayo aliwasilishwa kwenye
Wenje, CUF ngoma nzito
*HOTUBA YAKE YALETA UTATA KWA WABUNGE CUF
*AKATAA KUOMBA RADHI, ASEMA KADHALILISHWA
*KAMATI KUMJADILI, NDUGAI AAHIRISHA BUNGE
Na Waandishi Wetu
KWA mara nyingine, Naibu Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai, jana amelazimika
kuahirisha kikao baada ya wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF), kupinga baadhi
ya maneno yaliyopo katika hotuba ya Kambi ya Upinzani.
Hotuba hiyo
ilisomwa bungeni mjini Dodoma na Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Ezekiel Wenje, ambaye ni Mbunge wa Nyamagana,
Mwanza.
Wakati Bw.
Wenje akiendelea kusoma hotuba hiyo, mbunge wa Jimbo la Mtambile, Bw. Masoud
Salim (CUF), Zanzibar, alisimama na kuomba mwongozo wa spika na kutaka hotuba
hiyo isitishwe akidai imejaa uzushi, uwongo na ushenzi.
Katika hotuba
yake, Bw. Wenje alisema Chama cha CUF itikadi zake ni
Filikunjombe: Nina imani na uongozi CCM
Na Mwandishi Wetu, Ludewa
MBUNGE waLu dewa, mkoaniNjombe, Bw. D eoFilikunjombe,
ameipo nge za safumpyawaChamaChaMapindu zi (CC M), kwakazi kub wa wanayo
endeleakuif anyailikukijengachama hichokuanzia ngazi ya shina hadi T aifa.
Bw .Filikunjomb eali yasemahayom
jini humoja nawakati akihutub iawananc hikwenyemkutanowa hadharauli ofanyika
katikaKatayaLupinguna kuonge za kuw a, y eyote mwe nyendotoyakushi ndanana CCM
anapot eza mudawake.
“KatibuMkuu wa chamach etu, Bw. Abdu lrahmanKinan a,pianinai manik ub
wanaKatibu wa NEC ,Itikad inaUen ez i, Bw. NapeNnauye,k azi
wanayoifanyayakupigani awanyonge inaone sha kiwan gocha uzalendo walichnachohiv
yot uwaungem kono.
“Kasi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi
ya CCM 2010/2015, kusimamia
Kova, Kamuhanda wapanda vyeo
Na Mosi Mrisho
RAIS Jakaya Kikwete, amewapandisha vyeo
baadhi ya maofisa wa polisi akiwemo Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Michael
Kamuhanda, kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), na Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, uteuzi ambao unaanza mara moja.
Katika uteuzi huo, Kamanda Kova na
Isaya Mngulu, wote wamekuwa Makamishna wa Polisi (CP).
Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
30 May 2013
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (HLRC), Bw. Harold Sungusia (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kwa vyombo vya habari kuhusu vurugu zilizotokea mkoani Mtwara hivi karibuni. Katikati ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Bi. Imelda Urio na Ofisa Usalama Mtandao wa Watetezi Bw. Benedict Ishabakaki. (Picha na Prona Mumwi)
PPF yatumia mil. 680/- kusomesha wanafunzi
Na Mashaka Mhando, Tanga
MFUKO wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) unaoshiriki kwa mara ya
kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika Jijini Tanga, hadi
kufikia Desemba mwaka jana, umetumia kiasi cha shilingi milioni 682.9 kusomesha
wanafunzi wapatao 1,333 nchini.
Akizungumza na
gazeti hili, katika mahojiano maalumu Ofisa Uhusiano wa mfuko huo, Janet
Ezekiel, alisema kuwa fedha hizo wamezitumia kusomesha wanafunzi hao kupitia
fao la elimu ambalo wanasaidia kuboresha na kusaidia suala la elimu kwa
wanachama wake.
Ofisa Uhusiano
huyo, alisema mbali ya fao hilo la elimu pia mfuko huo hadi kufikia Machi 31
mwaka huu tayari walikuwa na jumla ya wanachama wapatao 219,000 uliosababisha
mfuko huo
Balozi Seif awafunda wakulima wa karafuu
Na Mwajuma Juma,
Zanzibar
WAKUL IMA wa mashamba ya karafuu w ame s h a u r i w a kuzingatia ushauri
unaotolewa na wataalamu wa kilimo hicho ili kujenga nguvu za uzalishaji wa
uhakika wa zao la karafuu nchini.
Ushauri huo ulitolewa na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati wa ziara yake ya kukagua
baadhi ya mashamba ya Serikali ya miti ya mikarafuu ambayo yako chini ya
usimamizi wa baadhi ya wakulima ndani ya Mkoa wa Kusini Pemba.
Alisema kumejengeka dhana kwa baadhi
ya wakulima wa mikarafuu kujilimbikizia miti mingi ya zao hilo wakiwa na fikra
za kupata uzalishaji mkubwa zaidi jambo ambalo ni
Serikali iangalie upya mfumo ukopeshaji wakulima’
Na Elizabeth Joseph, Dodoma
WADAU
wa kilimo nchini wameitaka Serikali kuuangalia upya mfumo w a k u w a k o p e s
h a wakulima pembejeo za kilimo.
Pia
wameitaka kuangalia mfumo wa kuwakopesha wakulima kwa kupitia taasisi za
kifedha ili ulete manufaa kwa wakulima wadogo nchini.
Hayo
yalibainishwa juzi mjini Dodoma na wadau hao katika semina kwa wakuu wa mikoa
na wilaya nchini iliyolenga kuutambulisha mfumo mpya wa kuwakopesha wakulima
ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa kupitia benki na kuongeza kuwa mfumo huo
unaweza kumfanya mkulima mdogo ambaye ndiye mlengwa akashindwa kukopeshwa
kutokana na urasimu uliopo katika taasisi hizo za kifedha.
Pia
walisema kuwa wakulima wakubwa ndio mara zote wamekuwa wakitumia taasisi hizo
kukopa fedha kwa ajili ya kilimo chao hivyo wasije wakajinufaisha wao binafsi
kupitia mfumo
Lissu awafunda wanawake CHADEMA
Na Elizabeth Joseph, Dodoma
WANAWAKE
nchini wametakiwa kutobweteka na kuchangamkia fursa mbalimbali katika kuwania
nafasi za uongozi ili kuingia kwa vitendo katika ngazi mbalimbali za maamuzi.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mbunge wa
Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya
Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) uliofanyika mkoani humo.
Alisema kuwa wanawake katika chama
hicho hawatakiwi kubweteka kwa lengo la kusubiri kupewa nafasi za upendeleo za
uongozi na hivyo wanapaswa kuzigombania kama wanavyofanya wanaume.
Mafunzo hayo ambayo yanawashirikisha
viongozi wa Bawacha kutoka katika
Maambukizi ya Ukimwi yaongezeka maradufu
Na Florah Temba, Same
WANACHAMA w a Vikundi vya Kuweka na Kukopa (VICOBA) wamekabidhiwa simu za
mkononi bure,ili waweze kuweka fedha zao kwa njia ya kisasa na kuachana na
mtindo wa utunzaji fedha kwa njia ya masanduku.
Hatua hiyo ya
kuwakabidhi simu hizo ilizinduliwa Dar es Salaam jana na Makamu wa kwanza wa
Rais wa Vicoba Taifa Scholastica Kevela.
Akizindua
kampeni hiyo kwa wana Vicoba, Bi. Kevela alisema hatua hiyo itasaidia kupunguza
taarifa za upotevu wa fedha na kuwarahisishia uwekaji wa fedha katika mazingira
mazuri.
“Hata kama simu
ya mkononi itaibiwa lakini fedha zilizokuwepo hazitaweza
VICOBA yakabidhi simu bure kwa wanachama
Na Heri Shaaban
WANACHAMA w a Vikundi vya Kuweka na Kukopa (VICOBA) wamekabidhiwa simu za
mkononi bure,ili waweze kuweka fedha zao kwa njia ya kisasa na kuachana na
mtindo wa utunzaji fedha kwa njia ya masanduku.
Hatua hiyo ya
kuwakabidhi simu hizo ilizinduliwa Dar es Salaam jana na Makamu wa kwanza wa
Rais wa Vicoba Taifa Scholastica Kevela.
Akizindua
kampeni hiyo kwa wana Vicoba, Bi. Kevela alisema hatua hiyo itasaidia kupunguza
taarifa za upotevu wa fedha na kuwarahisishia uwekaji wa fedha katika mazingira
mazuri.
“Hata kama simu
ya mkononi itaibiwa lakini fedha zilizokuwepo hazitaweza kuchukuliwa labda
muhusika awe anafahamu namba ya siri na hivyo leo nitakabidhi kwa vikundi vya
Musai chafaidika na mradi wa samaki
Na Mercy James, Mbarali
KIKUNDI cha Muungano wa Ufugaji Samaki Igomelo (MUSAI) kilichopo kijiji
cha Igawa wilayani Mbarali mkoani wa Mbeya, kimeanza kunufaika na mradi wa
ufugaji samaki katika mabwawa yaliyopo katika eneo la umwagiliaji la Igomelo na
kujipatia zaidi ya sh. milioni 2.3.
Kikundi hicho
ambacho kilianza mwaka 2009 kikiwa na wanachama 30 na sasa wamebaki 19,
kimetumia nguvu zao kwa asilimia 20 na serikali kupitia mfuko wa DADPS
kuchangia asilimia 80 ya mradi huo, ambapo wafugaji hao wamevuna jumla ya kg
170, katika awamu ya kwanza na awamu ya pili wamevuna kg 200 na kupata jumla ya
kg 370.
Mwenyekiti wa
Kikundi cha Musai, Abdallah Jumma alisema licha ya
Serikali yawatoa hofu waandishi wa habari
Na Mwandishi Wetu, Tanga
SERI K
A L I i m e a h i d i kuendelea kuhakikisha mazingira ya kazi ya waandishi
yanaboreshwa na pale ambapo maisha yao yanakuwa hatarini, haitasita kuchunguza
na kuchukua hatua stahiki bila uoga wala upendeleo. Kauli hiyo ilitolewa na
Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa Mashauriano Kati ya Baraza la Habari na Wahariri wa Vyombo vya
Habari,mjini Tanga jana. a ihdiremii lakireSa mesilaa iPmpango wa kuendesha
shughuli za serikali kwa uwazi (OGP ) ambao unasimamiwa na wizara yake na
wamedhamiria kuhakikisha kuwa Sheria ya
Wakulima Bumbuli wang'oa chai, wapanda mahindi
Na Yusuph Mussa, Lushoto
MGOGORO
wa wakulima wa chai, Chama cha Wakulima wa Chai Usambar a (UTEGA) na mwekezajiShadadMullah
umeingia sura mpya baada ya wakulima hao kuamua kung’oa zao la chai na kupanda
mahindi. Wakulima hao wanadai kilimo cha chai kimekuwa ni sawa na biashara
haramu kwao. Hayo waliyabainisha kwa nyakati tofauti juzi nje ya uzio wa
Kiwanda cha Chai Mponde kilichopo Halmashauri ya Bumbuli wilayani Lushoto
wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi. Walisema, wao kulima chai na
kuiuza kwenye kiwanda bila kulipwa vizuri wakati ni wabia ni sawa na kero.
“Mwandishi angalia upande ule tumeamua kung’oa chai na kupanda mahindi, tumeona
kwetu hii ni biashara haramu, kwani hatufaidiki nayo pamoja na kwamba sisi ni
wabia kupitia Chama wa
‘Mgonjwa wa akili’ aua watoto, ajeruhi
Livinus Feruzi, Bukoba
na Thomas Kiani, Singida
MTU anayedhaniwa kuwa na matatizo ya akili amewaua
watoto wawili kwa kuwakatakata mapanga na kumjeruhi mama yake mzazi pamoja na
mtoto mwingine wa darasa la saba, wote wakiwa ni wa familia moja.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kagera, Bw. Philip Kalangi, alisema tukio hilo lilitokea Kata
ya Kamachumu wilayani Muleba. Kamanda Kalangi alimtaja mtuhumiwa wa mauaji hayo
kuwa ni Salvatory Sylivester (30), mkazi wa Kikomero.
Waliouawa
katika tukio hilo kwa mujibu wa Kamanda Kalangi ni Kevin Antidius (3) na
Julieth Julius (5). Waliojeruhiwa ni mama yake mzazi, Valentine Sylvester (69)
na Kabyemera Sylvester (7), ambaye anasoma darasa la kwanza.
Kamanda Kalangi
alisema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na polisi. Alisema uchunguzi wa awali
unaonesha kuwa mtuhumiwa alikuwa na matatizo ya akili. Alisema polisi
wanaendelea na
Sitta awasha moto CCM
*NI KUTOKANA NA KAULI YAKE KUHUSU URAIS 2015
*MANGULA ASEMA NEC HAIJATANGAZA MCHAKATO KUANZA
*ASISITIZA WATAKAOJITANGAZA WATAKATWA
WAKATI Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
akijipambanua wazi kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu wanaoendana kimawazo
watakaa na kuangalia mmoja wao awanie urais mwaka 2015 , Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara), Philip Mangula, amesema wanaofanya hivyo wanakiuka katiba ya CCM
hivyo wakati ukifika watakatwa majina yao.
Mangula alitoa
kauli hiyo juzi wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya
kuzindua kampeni za mgombea udiwani wa CCM katika Kata ya Iyela, jijini Mbeya.
Alisema Katiba
ya chama hicho iko wazi na inataka wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi
kupitia CCM kusubiri wakati nafasi husika zitakapotangazwa.
Alisema kufanya
hivyo kabla ya kutangazwa ni kutomtendea haki kiongozi
LHRC yaja na mapya sakata la gesi
Na Waandishi Wetu
SAKATA la kupinga ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es
Salaam, bado ni tete baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
kubaini kuwepo kwa vijana wanaoapishwa viapo na wazee wa kimila kuhakikisha
gesi hiyo haitoki.
Akizungumza na waandishi wa habari
Jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Harold Sungusia,
alisema utafiti wao umebaini jinsi kiapo hicho kinavyofanyika.
Alisema wananchi hao w amemw a g a d
amu y a mbuzi wawili ili kukamilisha matambiko na imani za viapo hivyo kimila.
“Kutokana na utafiti, tumeona
umuhimu wa kutoa tamko kwenu ili mtusaidie kueleza jamii, Serikali na wananchi
wa Mtwara kuwa kuendelea kuamini kuwa hali ya Mtwara ni shwari sawa na kufunika
moto kwa blanketi, kwani vijana wetu wanaendelea kula viapo vya kuhakikisha
gesi haitiki,”alisema
Aliongeza kuwa katika utafiti huo
wameweza kuongea na wazee hao
Mbunge amkingia kifua JK bungeni
Na Waandishi Wetu
MBUNGE wa Peramiho kwa tiketi ya CCM, Jenista Mhagama , amemkingia kifua,
Rais Jakaya Kikwete, akitaka Bunge lisimfanyie tathmini kuhusiana na kauli yake
kuwa hali ya kifedha kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini ni nzuri, kauli
ambayo kambi rasmi ya upinzani bungeni, imedai inapingana na ripoti ya Mkaguzi
na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambayo imeonesha hali ya mifuko
hiyo kuwa ni mbaya
Mbunge huyo alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, wakati
akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira kwa mwaka wa fedha
2013/14.
Alisema kuwa kitendo cha kumpakazia
maneno Rais Kikwete, si jambo la
28 May 2013
Maofisa wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Mkoa wa Kinondoni Kaskazini, wakijiaandaa kukata umeme katika nyumba namba 604, Mtaa wa Msisiri Mwananyamala baada ya kubaini wizi wa umeme katika nyumba hiyo, ambapo pia ilikutwa mita ilitoka eneo jingine bila idhini ya shirika. (Picha na Charles Lucas)
Mtuhumiwa wa kesi ya kula njama za kutenda kosa ambaye ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Wilfred Lwakatale akiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza, wakati akitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo hadi Juni 10 mwaka huu. Wa pili kulia ni mshitakiwa wa pili, BW. Ludovick Joseph. (Picha na Heri Shaaban)
27 May 2013
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (kushoto),wakishirikiana kukata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo.(katikati) Diwani wa Kata ya Wazo Bw John Moro uzinduzi huo ulifanyia Dar es Salaam mwishoni mwawiki,watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Mtuzya. Kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, na (wa pili kulia) Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo.Ujenzi huo utagharimu sh milioni 175.(Na Mpigapicha wetu)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (MNEC) Taifa, Wilaya ya Korogwe Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga, Dkt. Edmund Mndolwa, akimtambulisha kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Wanawake wa wilaya hiyo (hawapo pichani), Diwani wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa mkoani Dodoma juzi, Alhaji Omari Kariati (kushoto), wakati wa semina ya uelewa wa kilimo cha alizeti. Diwani huyo alialikwa kutoa elimu iliyofanikisha kilimo cha zao hilo kwenye kata yake. (Na Mpigapicha Wetu)
Wafanyabiashara waandamana kupinga ushuru
Na Patrick Mabula, Kahama
WAFANYABIASHARA
wa mazao ya nafaka na wasafirishaji wenye magari malori, wilayani Kahama
wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya wilaya wakipinga ushuru wanaotozwa
kuwa ni mkubwa.
Wafanyabiashara
hao waliandamana juzi na kuvamia ofisi za halmashauri hiyo baada ya malori
yaliyokuwa yamebeba nafaka kukamatwa na askari mgambo kutokana na mgogoro huo
wakipinga kutozwa ushuru mara mbili.
Kundi hilo la
wafanyabiashara wakiwa katika ofisi za Halmashauri hiyo, askari mgambo
aliyekuwa akilinda alilazamika kupambana nao bila mafanikio huku akitishia
kuwalipua kwa bunduki hali iliyowatia hasira na kusababisha vurugu kubwa.
Wakiongea na waandishi katika ofisi
hizo wafanyabishara hao walikuwa
Mndolwa awataka wananchi kujikita katika kilimo cha alizeti
Na Mwandishi Wetu, Korogwe
MJUMBE wa
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (MNEC) ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga, Dkt. Edmund Mndolwa amewataka wananchi wakazi
wa Wilaya ya Korogwe Vijijini kujikita katika kilimo cha alizeti ili kiweze
kuwakomboa kiuchumi.
Dkt. Mndolwa
alieleza kuwa mazingira ya wilaya hiyo na Mkoa wa Tanga kwa ujumla yanahimili
kilimo cha alizeti hivyo kama wananchi watakithamini na kulifanya zao hilo kuwa
la biashara watanufaika haraka kwa kuondokana na umaskini na utegemezi.
Kiongozi huyo
aliyasema hayo wakati akiwahamasisha wananchi kutoka vijiji vya kata na tarafa
za wilaya hiyo juzi na kuwahakikishia wananchi hao kwamba kilimo cha alizeti
hakitawaacha maskini kutokana na utafiti wa kisayansi kuthibitisha ubora na
manufaa ya zao hilo ikiwa ni
Dkt. Salim ahimiza maadili kwa viongozi, Watanzania
Na Mwandishi Wetu,
Zanzibar
WA Z I R I Mk u
u Ms t a a f u , Dk t . S a l im A hme d Salimu, amewataka viongozi na
Watanzania kwa ujumla kuzingatia maadili kwani taifa limefika hapa lilipo
kutokana na ukosefu wa maadili kwa viongozi na wananchi kwa ujumla.
Kutokana na hali hiyo, alitoa mwito
kwa viongozi na Watanzania kwa ujumla, kuzingatia maadili ya uongozi na kwa
Watanzania kuzingatia maadili ya utaifa alioacha mwasisi wa Taifa hili, hayati
Mwalimu Julius Nyerere.
Dkt. Salim, aliyasema hayo, katika
mahojiano maalum mara baada ya uzinduzi wa Tawi jipya la Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, eneo la Bububu, nje kidogo ya mji wa
Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
Alisema hatua hiyo itasaidia kulinda
misingi mikuu ya taifa letu ambayo ni
Viongozi CCM Tabora wazomewa mkutanoni
Na Mwandishi Wetu, Tabora
BAADHI
ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejikuta kwenye wakati mgumu baada
ya kukumbwa na izomeazomea kutoka kwa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara.
Tukio
hilo lilitokea kwenye mkutano huo ambao ulifanyika kwenye viwanja vya stendi ya
mabasi ya zamani ambapo CCM ilikuwa ikifanya mkutano wake.
Mkutano
huo wa hadhara ulifanyika baada ya viongozi wa CHADEMA wakiongozwa Naibu Katibu
Mkuu, Zitto Kabwe, kufanya mkutano eneo hilo na kusema wabunge wa CCM Tabora
hawawatendei haki wapiga kura wao.
Alisema
viongozi wa CHADEMA watapiga kambi mkoani Tabora kuwatetea wananchi kuhusiana
na haki zao.
Hatua
hiyo iliwafanya CCM nao kujibu mapigo kwa baadhi ya viongozi wake akiwemo
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Aden Rage, kujibu mapigo.
Dalili
za zomeazomea zilianza mapema kwani baadhi ya wananchi walianza
Walimu ‘vinara’ wa mapenzi watajwa
Na Suleiman Abeid,
Kahama
KATIKA
hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo Wilaya
ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili kuwafichua walimu wenye
tabia ya kufanya mapenzi na wanafunzi wao shuleni hapo.
Uamuzi wa kupigwa kura hizo ulifikiwa
hivi karibuni kwenye Kikao cha Baraza la Shule la Watoto ambacho kiliitishwa
kwa lengo la kujadili vurugu zilizokuwa zikijitokeza shuleni hapo na
kusababisha baadhi ya walimu kupigwa.
Kikao hicho kiliitishwa na Mratibu wa
Mradi wa Haki Yangu Sauti Yangu, mkoani humo, Bw. Gerald Ng’ong’a na kubaini
kuwa, sababu moja wapo iliyochangia vurugu hizo ni baadhi ya walimu kufanya
mapenzi na wanafunzi wao.
Inadaiwa hali hiyo pia imechangia
wanafunzi wengi waliomaliza kidato cha
CCM, CWT Bunda wavutana kiutendaji
Na Raphael Okello, Bunda
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya
Bunda, mkoani Mara Jonas Sariro, ametoa onyo kwa viongozi wa Chama cha Walimu
nchini (CWT), wilayani humo na kudai kuwa, CCM ina jukumu la kuwasimamia
watumishi wa Serikali ili waweze kutekeleza sera na ilani ya chama.
Sariro ametoa
onyo hilo kutokana na madai ya CWT wilayani humo kuilalamikia CCM wakidai
viongozi wake wanafanya kazi za Serikali kwa kukagua utendaji wa walimu
shuleni, kuwafokea na kutishia kuwafukuza kazi au kuwahamisha.
CWT walidai
kuwa, hoja ya viongozi wa CCM ni juu ya chama ambacho ndicho kinachoongoza dola
kuwajibika kuwalipa mishshara walimu.
Alisema CCM ipo
tayari kuwachukulia hatua walimu wote ambao
CHADEMA wapata pigo Sengerema
Na Mwandi shi We tu, Sengerema
ALIYEKUWA Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo ( BAVI CHA) , mk o a n i Mwanza, Bw. Slavatory Magafu,
amekihama chama hicho na kujiunga Chama cha NCCR-Mageuzi.
Bw. Magafu alijiunga na chama hicho
juzi wakati wa kampeni za kumnadi mgombea udiwani katika Kata ya Nyampulukano,
wilayani Sengerema, Bw. Dotto Nungwa.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa
kadi ya NCCR-Mageuzi,Bw. Magafu alisema ame b a i n i CHADEMA hakiwezi
kuifikisha nchi katika mikono salama.“Mwaka 2010 niliwania ubunge wa jimbo hili
kwa tiketi ya CHADEMA, hivi sasa nimejiunga rasmi NCCR-Mageuzi chama ambacho
hakina udini, ukabila wala ukanda,” alisema.
Kwa upande wake, Bw. Nungwa aliahidi
kuwasaidia wananchikwa kumaliza kero zao na kuhakikisha wanashiriki mikutano
yakata na vijiji pamoja na kusomewa
Polisi wanusurika kufa wakikimbiza pikipiki
Na Said Hauni, Lindi
ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi akiwemo mmoja wa
Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, wamelazwa
katika Hospitali ya Nyangao, baada ya pikipiki waliyokuwa wakiitumia kugongana
na gari ndogo.
Ajali hiyo ilitokea wakati askari
hao wakimkimbiza mwendesha pikipiki aliyekuwa amekiuka Sheria za Usalama
Barabarani. Kamanda wa Polisi mkoani humo, George Mwakajinga, alisema ajali
hiyo imetokea wilayani humo Mei 20 mwaka huu.
Aliwataja askari hao kuwa ni F 6986
PC Living aliyevunjika miguu yote miwili na mkono wa kushoto na G 2116 PC
Edwin, ambaye amepata maumivu ya ndani kwa ndani.
“Hawa askari walikuwa kazini wakiwa
wamepakiana kwenye pikipiki aina ya
Subscribe to:
Posts (Atom)