30 May 2013


Baadhi ya wakazi wa jiji wakiangalia pikipiki zilizohifadhiwa nje ya Kituo cha Polisi Buguruni, Dar es Salaam jana. Pikipiki hizo zilikamatwa kwa makosa mbalimbali katika msako unaofanywa na jeshi hilo. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment