28 May 2013


Baadhi ya wafanyabiashara wa nazi kwa jumla katika Soko la Ilala, wakichagua bidhaa hiyo, Dar es Salaam hivi karibuni, ambapo bei ya nazi moja iliuzwa sh. 350. nazi hizo nyingi zinatoka mkoani Tanga. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment