28 May 2013

Mtuhumiwa wa kesi ya kula njama za kutenda kosa ambaye ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Wilfred  Lwakatale akiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza, wakati akitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo hadi Juni 10 mwaka huu. Wa pili kulia ni mshitakiwa wa pili, BW. Ludovick Joseph. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment