MZAZI
wa kija naaliy eshindash.milio ni10 0katika promosheniya VodacomMahela, Bw
.Nicodemus Nalisis am etoawit okwawa kaziw a Mkoaw aKigo mak ujen gatabia
yakushiriki mash in danomba lim bali yanayotolewanakamp unizasimuza mkononi
hapanchini.
Bw.Nicodemus
alisemahayo juzi mkoaniKi gomaw akat ialipowasili kumpok eakijana wakeB
w.ValerianKamugish aaliyewasilimkoani hapa marab aada ya kuka bidhiwakiasi
chash .mi lioni10 0m wanzoni mwawik ihiibaad ay akuibukamshindiwashindanoh ilo
.
Alisem
a k uwa hatua yakushiriki ma shindanoha yoyatatoa fursayaushindi k wawa
nanchiwengi mkoani Kigoma hivyo kuongeza uwezekano wa mkoa wa Kigoma kutoa
washindi wengi katika mashindano yanayoendeshwa na Vodacom na kubadilisha
maisha yao ya kiuchumi na
kimaendeleo kiujumla.
Bw.Ni
c o d emu s a l i e l e z a kufurahishwa na hatua ya mwanae kushinda katika
shindano hilo na kwamba mbali na hiyo kuwa fedha hizo ni msingi mzuri wa maisha
ya kijana huyo lakini pia ushindi huo ni fahari kwa wananchi wa Kigoma na
historia kubwa ya kijana huyo na familia.
Alisema
ingawa yeye alishiriki katika promosheni hiyo, bila mafanikio lakini
anampongeza mwanaye kushinda kwani sawa kama yeye ameshinda tu.
Licha
ya kuipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa mashindano mbalimbali
likiwemo la Vodacom Mahela na kwamba hatua hiyo inachangia katika kukuza na
kupanda uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja na familia kwa ujumla.
Aidha mmoja wa majirani wa familia ya
mshindi huyo Bw. Jackson Kakwaya mfanyabiashara wa bidhaa madukani alisema
hatua ya ushindi wa kijana huyo inapaswa kuwa hamasa tosha kwa watu wengi wa
mkoa huu kushiriki katika shindano hilo kikamilifu.
Alisema ushindi huo umemfanya aamini
kuwa hakuna upendeleo katika shindano hilo na hakutarajia kama ingewezekana
mkazi wa Kigoma kushinda shindano tena la fedha nyingi kiasi hicho.
Alisisitiza Vodacom kuendeleza program
kama hizo hatua ambayo alisema inawapa fursa washindi kuboresha maisha yao
ghafla kutoka katika hali ya chini au ya kawaida nakuwa tajiri kwa muda mfupi.
Kwa upande wake mshindi wa Vodacom
Mahela Bw. Valerian Kamugisha mbali na kupongeza Vodacom kwa kumkabidhi zawadi
hiyo alikiri shindano hilo kutokuwa na mianya yoyote ya rushwa nakusema kuwa
hana ndugu katika kampuni hiyo lakini ameshinda.
Aliwataka
wananchi kuamini mashindano yanayoendeshwa na Vodacom na kushiriki mara kwa
mara jambo ambalo litaongeza idadi ya washindi mkoani Kigoma na kuondoa dhana
kuwa Kigoma haiwezi kutoa mshindi.
No comments:
Post a Comment