27 May 2013

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (kushoto),wakishirikiana kukata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo.(katikati) Diwani wa Kata ya Wazo Bw John Moro uzinduzi huo ulifanyia Dar es Salaam mwishoni mwawiki,watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Mtuzya. Kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, na (wa pili kulia) Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo.Ujenzi huo utagharimu sh milioni 175.(Na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment