28 May 2013

Maofisa wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Mkoa wa Kinondoni Kaskazini, wakijiaandaa kukata umeme katika nyumba namba 604, Mtaa wa Msisiri Mwananyamala baada ya kubaini wizi wa umeme katika nyumba hiyo, ambapo pia ilikutwa mita ilitoka eneo jingine bila idhini ya shirika. (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. Hata Malamba Mawili - Njia Panda - Mbezi Luis wapo pia wezi wa umeme. Tena wamepitisha umeme chini kwa chini, mje muone TANESCO.

    ReplyDelete