30 May 2013

Mamalishe akimpimia mteja wa chai ambaye alikuwa ndani ya daladala kwenye Kituo cha Shule ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana. Kutokana na ushindani wa biashara hiyo wanalazimika kuwafuata wateja popote. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment