31 May 2013

Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi. (Picha na Prona Mumwi)

1 comment:

  1. hahahahahah imetuliaaa hiii jamaaa kutafuta kiatu!! tena kwenye maji taka si bora angekiacha tuuu...

    ReplyDelete