27 May 2013

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (MNEC) Taifa, Wilaya ya Korogwe Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga, Dkt. Edmund Mndolwa, akimtambulisha kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Wanawake wa wilaya hiyo (hawapo pichani), Diwani wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa mkoani Dodoma juzi, Alhaji Omari Kariati (kushoto), wakati wa semina ya uelewa wa kilimo cha alizeti. Diwani huyo alialikwa kutoa elimu iliyofanikisha kilimo cha zao hilo kwenye kata yake. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment