Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (HLRC), Bw. Harold Sungusia (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kwa vyombo vya habari kuhusu vurugu zilizotokea mkoani Mtwara hivi karibuni. Katikati ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Bi. Imelda Urio na Ofisa Usalama Mtandao wa Watetezi Bw. Benedict Ishabakaki. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment