30 May 2013


Baadhi ya wapitanjia wakiangalia gari lenye namba T 201 BEQ, lililopata ajali eneo la Ubungo, Dar es Salaam jana. Dereva gari hilo alishindwa kulidhibiti wakati akikimbia baada ya kugonga pikipiki kwenye makutano ya Barabara za Sam Nujoma na Barabara ya Morogoro. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment