11 September 2013

RUTO AKANA MASHTAKA YA UHALIFU ICC


THE HAGUE, Uholanzi

MAKAMUwa Raisnch ini Kenya, Bw.Wi lliamRuto, ameka nam asht akayakufanyauhal ifudhidi yabina damuk atikaM ahakama yaKimataifayaUh alifu(ICC) ,iliyop oMjini TheHag ue, Uholan zi.Bw. Ru tonaRais wa nchihiyo, Bw.U huruKenyatta,wa nat uhumiwakusha bikiag hasi abaada yaUch aguziMkuu mwaka2007.


K wamuji bu waShirika la Utangazaji nchini Uingere za (BBC ), Bw . Rutoanakuwa Ofi sawakwanzaambayeyuposerikalin i kushtakiwaka tika mahakamah iyoyak imataifa.Mashtaka dhid i y aviongozihao yanaonekana ni jar ibiokubwa kwaICC kuendesha mashtaka dhidi yavion gozi wa sia sa.

Bw. Rutoalik uwa akitabasam uw akatiwote katikachum bachamahakaman akukan ushamashtakay oteya mauaji, utesaji na kulazimisha kuhamish awat u.

Mwend eshaM ashtakaMkuuwamahakama hiyo, Bi.Fato uBensoud a, alise ma "Bw. Rutoalikuwamwanasi asa mwenyeng uvu amba yealipanga uhalifuilikukinaish akiuyakeya madar aka,"lili daiShir ikala Habari laAFP.

"Nivigum ukufi kirijins iw anaume, wanawake nawa totowali vyop atatabuauhof uyaku chomwa mo towan galihai,kuc hara ng wam pa kakufa aukuf ukuzwakutoka kwenye makazi yao," aliongeza Bi.Bensou da.

Watu1,2 00wa liuawanaweng ine60 0,000kujeruhi wakat ikakipindi cho te chagha siabaada yakut angazwamatokeo yaliyokuwa yakipingwa ka tikauchaguz i huo.

Zaid i yara ia 40,000nchinihu mo wanad aiwakuishikatik amakambi kutokan anav uruguhizo. Hivik aribuni Rais Kenya ttaaliahidi kuwaond katik akambihizoi fakapoSe ptemba20, 2013

5 comments:

  1. nashauri kuwe na na editing ya spelling kabla ya kupublish taarifa.Mtanisamehe sina misamiati mizuri lakini hope mtanielewa.

    Rejea taarifa ya mwalimu aliyebaka na taarifa ya Makamu wa rais Mr.Ruto.

    Ni mimi Sohia Kimaro>

    ReplyDelete
    Replies
    1. NI KWELI HABARI KAMA HIYO SITEGEMEI KUNA ATAKAYE NUNUA MAGAZETI YENU

      Delete
  2. Asante Sophia Kimaro kwa ushauri wako.Tumeufanyai kazi na tunaomba radhi kwa usumbufu uliopata.

    ReplyDelete
  3. ruto acha sias angalia maslahi ya wakenya

    ReplyDelete
  4. majira angalieni editing yenu inatupashida sisi wadau wa habari kusoma inakuwa shida naomba murekebishe hilo ahasante

    ReplyDelete