05 September 2013

MASHINDANO YA TOP MODEL YAANZISHWANa Ester Maongezi

MAS HINDA NO mapya yauremboyaT anzaniaTopMode l,ya meanzish wayak iwan alengola kuwatayar ishanakuwataf utiamikatabawa nam itindowa kitanzania.Akizungumza na waandishi wahabariDaresSala amjanaMw enyekit i Mte nda ji waTan zania TopMo del Agency L imited, Jack sonKalikumtimaalisemamichua nohiyo litas aidiawarem bokwaniwa tawezakuji jengana kuwafany aw aji amini nawaaminiwekw akazimbalimbali
."Hiki kit akuwanik ichocheo kinginechakuitan gaz anchi yetukatika mavazi na sanaa nyingine ki mataif anakuw achim bukolanyotan ying ineka tikaDunia yaWan amitindohapa nchini," alis emaKalikumti ma.Alisemamashinda noyakumtafuta Ta nzania TopMo del, si yakawaida kam ailivyozoeleka mash indanoyaku wakutanishawash irikinakupima mshirikialiyebora tu kulikowenzake, balinimashindanoyak um tafuta mwa na mitindo bora tena wamfanohapanchini.

Mw enyekiti huyo alisema mashindanoh ay oyat aruhusujamii, wananch inawa daukushiriki kuchag ua mshindi kwa kiwango fulani."Judg ementauM aam uzi yanani ashindeshinda no hiliyatafan ywana makundi manne tofauti, ambapo wananc hi wat achag uamshin di kwakupigakurakwauju mbemfupi kupitiasimuza ozaviganjani na kupitia kwen yem tan dao.

"Maam uzi yaoyatakuwani kwaasilimia20.Wa alimu, wa shauri nasaha,wakuf unzi,waw ezeshaji watakao kuwawana toamafunzombalimba li wakati w akambi yawashirikiwatakuwana maamuzi yamshi ndi kwa asilimia 15," alis ema.Alise mamatr on nawa tuwakambiwal inzi,wafan yau safi wataku wanama amuzi kwa asilimia5 ya ala mazote.K alikumtim aalisema a silimia60zilizobakizit atolewan aMajaji wataka ofa nyakazi hiyo kwenye onesholamwi sho.

Mwenyekiti huyo alisema mashindano hayo, katika ngazi ya fainali yataendeshwa kama kipindi cha kwenye televisheni (Reality TV Show) na kurushwa katika kituo kimojawapo hapa nchini, kuanzia Novemba mosi hadi siku ya fainali ya onesho hilo, ambalo litakuwa linakwenda sambamba na sherehe za Uhuru wa Tanzania kila mwaka.

Alisema kwa kuyafanya mashindano hayo kuwa sehemu ya kipindi cha televisheni, watakuwa wanawapa nafasi wananchi na wadau wa Tanzania Top Model waweze kuona na kumpigia kura mshiriki, ambaye wanadhani anafaa kuwa mshindi na kuwawakilisha katika mashindano ya kimataifa ya Top Model of the World.

No comments:

Post a Comment