Na Mashaka Mhando, Korogwe
BENKI ya National Micro- Finance(NMB)
imetoamafunzo yawiki mbili kwavyamav ya ushirikavya wakulimawampun gawilayani
Korogwe, ma funzoya liyolengakuwaongezea uwezowa namnawatakavyoweza ku
viendesha vyamahi vyokatika dha nanzimayakuondo auma skinik wawa nacham a wao.
Mafunzo hayo
ambayo yalikuwa yakitolewana mkufun zi wama funzo hayo, Alfre dC honyayalian
zatanguAgosti 17, mw ak ahuun aku fungwaSeptemba3naM kuu w awilaya yaKor ogwe,
Mrish oMashaka Ga mboyaliyof anyikam ji mdogowaMombowilay aniKor ogwe.
A kizungu
mzakat ikamafunzo hayo,Ga mboalise maniush ahidi ulioku wawaz i kwaBe nki
yaNMBambayo imek uwaiki fadhili m iradi mbalimbalikati kawilayahiyokilainapoom
bwahivyomafunzowan ayotoakwa wana ushirika yatasa idia kuongeza uelew awa
namnayak uendeshav yamahi vyovyau shirika kutokana nakwamba mar anyingiv
imekuwavik ikabiliwanamatat izolukuki.
" Kaziya
kutoaelimu ilikuwa itolewe naSe rikaliku pitiamaofisaushi rikawaliop o,lakini
wenze tuwaNMBkwakujali namnaya kus hirikia na na watejawaowam eonanivyemaw
akatoamafu nzohaya k wa niaba y aSerikali tunawapongez ana tu nawaombamuwe na
moyoh uow akuwasaidia watejawenu ," alisema .
Alis emalengola
Serikali kuanzishaush irikaliliku wa kuwakomb oawaku limanawana us hirika
mbalimbalih ivyosualalaNMBkutoa mafunz ohayo kutakuw aniukom bozim kubwaingawaa
lis emamara nyingi mafunzohuw ayanat olewakwa viongozi waus hirikaakaon
eshahajayawaka ti mw ingineni vye ma wan ach amanaowakafa idikanamafunzoy
anamna hiyo.
Gambo al
isemaSerikali ina nia njemaya ku wasaidiawajasiriamali wadog oiliwaweze
kujikwamuakiuchuminasual alab enkiya NMBkusaidia v iku ndih iv ikatik aw ilaya
yetu nijambolafaraja kubwa kwasab abu lita wa fanyaw awezekuendes havikundi vy
aokwautaalamuna umahiriwakuf unga ma hesabuna kukopa kwa makini namarejes
hoyake.
Awalimkuf unziwamafunzohayo Ch onyaamb
aye alisema mafu nzoha yo wameya toakupitia idarampy ayaN MB yaMa
endeleoyaKilimo(NFAD)'FoundationFor Ag ricultur al Develo pment', alise
mavikundim balimbal i walivyowapamafunzo waliwezakuwafundisha waj ibuwa bod i
zamik opo ,wajibuwakat ibuaumen ejawas acco's, Misingiy aUta wa la Bora , Si fa
yakiongoz ib oranawajibunahaki kwawanachama.
"T umeweza kuwapa mafunzo haya
katika ngazimba limb ali kwamfanounapos emasifayakiongozi boraniipinilazima awe
mkwelidaim a, hu on gozakwakuonesh an jianapiaaweana fuata misingiya uta wa la
bo ra k wakuwamwaminifukwawenza kenayale anayoyafany a," a lisemaCh on ya.
Meneja waN MBTawilaKorogwe,E rast oMwam
alumb ili, alisema benki hiyo imeanzisha idara hiyo mpya kwa lengo la kuwafuata
wananchi kule walipo hasa katika maeneo ya vijijini kwa ajili ya kuwajengea
uwezo wa kukopesheka kwa ajili ya kuongeza mitaji yao ya kilimo na vyama vyao vya ushirika.
Alisema baada ya mafunzo hayo ya awamu
ya kwanza wanataraji watatoa tena mafunzo ya awamu ya pili ili waweze
kuwasaidia wakulima na vyama vya ushirika vilivyopo katika wilaya hiyo ya
Korogwe.
Akitoa
shukurani zake Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani 'almaarufu
Profesa Majimarefu', alishukuru benki hiyo akieleza kwamba imekuwa mkombozi
mkubwa kwa wananchi hasa waliokuwa vijijini na kwamba atakuwa balozi wao
bungeni kwa kuishawishi Serikali itazame kwa jicho la pekee kwa vile imekuwa
ikiwasaidia mno wakulima na wananchi kwa ujumla wenye kipato cha chini..
No comments:
Post a Comment