05 September 2013

TUMIENI NISHATI MBADALA KWA MAENDELEO-MULONGOMKUU w amkoawaAru sha, Mag es aMul ongoametoawitokwajamii yaWatanzaniakujenga uta maduniwakutumianjiambadala za ku zalishanis hatibadalayakuende leakut egemea serikali kusam baza um emekutokakatikagridiyataifa, anaripoti Mwandishi Wetu.

Hayo yamesemwa na Afi sa Tawa laOfisiyaMkuuwaWilayaAr usha, Le mueli Kileoj uzi wakat iak isoma hotub ayaMkuuw aMkoawaArushakati ka hafla ya kum karibi shamtejawa1,00 0, ali yefu ngiwa Mtambowasolawanyumbani na kampuni ya Mobisol Mkoani Arusha.
Mkuuhuyowamkoaalisema Seri kal i kwa kushirikiananawadaumbalimbali ku pitia wakala waUmeme v ijijini REAwa mewe kamalengo kuhak ikis hasehem uzotezilizonjeya gridiya taifa zinapatanishatiya umeme."Nin awap ongezaVodacomwakish irikiananaMobisol k utokaUjeruma ni ambaoni wasamb azaj iwanishati yaumemejuak wa njiayatek nolo jiayasimuzamko no ni,kwakuw aw ezes ha Wa tanzani ahasawam aeneoyavijijiniw anap ata nishati hiyo,"a lisema.
Kwa upandewake Afisa Mahusi anowaR EA,B i. Jaina Msuyaalise ma kuwa wakalahuyo amefurahia ushirikiano huo ambao umewezesha Watanzania zaidi kupata nishati ya umeme, hivyo wao kama wakala wako tayari kushirikiana na wadau mbalimbali kwa kutoa ruzuku ambazo zitawawezesha wadau mbalimbali kufikisha umeme vijijini.
Bi.Catherine Peter, ambaye ni mteja wa 1,000 wa Mobisol alisema “Mimi nafurahia sana kuweza kumiliki mtambo wangu wa kwanza unaotumia nishati ya umeme jua, yaani Solar Home System, Nashukuru sana mfumo wa kulipia kiasi kidogo kidogo cha pesa kwa mwezi, unaoniwezesha kumudu kabisa kujipatia mtambo mkubwa wa watts 120,” alisema.
Mt amb o wa 1 , 0 0 0 u l iwa s hwa r a smi n a Bw. Lemueli Kileo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo. Baada ya mazungumzo na wanahabari waliokuwepo kwenye sherehe pamoja na viongozi waalikwa kutoka serikalini.
Me n e j a Mk u u w a Kampuni ya Mobisol, Bw. Thomas Gottschalk, alisema: "Tumefanikiwa k u b u n i mt amb o wa bei nafuu ambao wengi wanaweza kumudu bei yake, inakidhi mahitaji ya kisasa ya kiteknolojia yenye ubora na ya kudumu. Kwa mfumo wa kufua nguvu za nishati ya umeme wa jua au kwa lugha rahisi kuvuna nguvu za jua. Mobisol imeweza kutunza mazingira husika na kuinua hali ya uchumi ya wateja wake sambamba na kuangaza majumbani.
"Le o t u n a s h e r e k e a ufungaji wa mtambo wa 1,000 Tanzania, kesho tunatarajia kwa kiasi kikubwa kuwa uvumbuzi wa sola itainua na kubadilisha maisha ya mamilioni barani Afrika," alisema Bw.Gottschalk.
Kwa upande wake, Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Rene Meza, amesema Vodacom kupitia M-pesa wameendelea kurahisisha maisha ya mamilioni ya Watanzania.
"M-pesa inaendelea kuwa pendekezo la ufumbuzi wa malipo kwa Watanzania leo na sisi tuliopo Vodacom tutaendelea kujizatiti kuwapatia wateja wetu bidhaa na huduma bora zinazoendana na mwenendo wa maisha yao," alisema Rene Meza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusambaza Teknolojia (KAKUTE LTD) kutoka Arusha, Livinus S. Manyanga pia aliainisha kwamba KAKUTE ilikuwa funguo kwa kutoa ushirikiano wa awali wa wafanyakazi na maendeleo ya soko la awali ambalo Mobisol walihitaji kwa ukuaji wa biashara yake ndani ya Arusha tangu ulipoanza mradi wa awali wa majaribio.

No comments:

Post a Comment