Frank M onyona FatumaMsha mu
KAMPUNI yaNordicy anchini Denmarki me
anzisha ki wandachak utenge nezakompyuta jijin iDar esSalaa m.
A kizung umza
nawa andishi wahabarijanaD ar esSalaamMkuru genziwa kampu ni hiyoChris
Adleralisem alengolakufu nguakiw anda hich onchin i ni kutoa fursa zaajirak wav
ijanawaKitanzaniapamojana kuwah amasis ha Watanza niakutumiabidhaazaKitanzan
ia.
"Tunalengo
la kuwaajiri vijana kumim pak ak ufikiamwish owamwak ahuun atunate gemeaz aidi
ya3 0na vija nah aohawata pataajir ape keyakebal iwat ajifunzakwa vitendo
sehemu za kazi," alisema Adler.
Alisema, k
utoka nanaupun gufu mkubwa wasokola bi dhaahiyowameamuaku in gizas oko nibidhaa
zitakazokuw anaubor awakim ataifapamojana ku zifanyi ama tengene zokompyu
tazawatejak waharakana kutumia teknolojia ya hali ya juu na kuepusha kusubiri
muda mrefu.
Naye Ofisa mauzo wa kampuni hiyo
Clement Mugabo alisema kuwa kiwanda hicho kitakuwa mkombozi kwa watumiaji wa
kompyuta, kwani hawatapata shida tena katika kuagiza kutoka nje ya nchi na
badala yake watatumia kompyuta zinazotengenezwa hapa Tanzania na pia
watajifunza kutumia bidha za nyumbani, kwani ni nafuu na zina ubora wa hali ya
juu.
Al i s ema k uwa , No r d i c
wameshirikiana na kampuni za kimataifa za uuzaji wa kompyuta duniani ili kutoa
huduma bora kwa Watanzania hata hivyo kompyuta hizo zipo katika makundi matatu
na kila moja lina uwezo tofauti kutokana na mahitaji ya mtumiaji, makundi hayo
ni zile kompyuta za biashara, ofisini na za matumizi ya kawaida.
Pia aliwataka Watanzania
kuthamini na kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi, kwani zinapunguza
gharama za uagizaji wa kompyuta kutoka nje.
No comments:
Post a Comment