10 September 2013

KESI YA RUTO ICC LEO



 NAIROBI, Kenya
MAK AMUwa Rais n chiniK enya, Bw.Willia mR uto,yupo MjiniTheHague , U holan ziambakoanak abiliwanakesi yauha lifu dhidi ya binadamuka tika Mah akamayaKimataifa yaUhalifu(ICC), ambapoke si yakeinata jwa leo
.Maofi sawaanda miziwaS erikali walimua gaBw.Ru to j anakatika Uwanjawa Nde gewaKim ataifawaJom oKenyatta mjini Nairobi, nch inihu mo.
B w. Ruto na RaisUhuruKenyatta waKenya,wam efun guliwamashtakayauha lifudhidi ya binadamu, ing awawan akanushakuhusikanamauaji yaliyotokeakutokana na ghasiazilizotokea baadayaUchaguzi Mkuu mwaka 2007- 200 8.
Ka tikag hasiahiz o,zaidiya watu1,00 0waliu awana weng ine600,000 kuac hwabilama kazi.JuziR aisKen yat taalisema ICClazimaisikili zekes ihizokwa kuweka ratibanz urik wani hawawezi kuwa nje ya nchi kwa wakati mmoja. KwamujibuwaShi rikalaUtangaz aji nchin i (BB C),lilise ma kesihiyoin atarajiwakuanza kusi kilizw aNovemba mwakahuu.
Rais Kenyatta na Bw. Ruto walikuwa mahasimu wakisiasawakati waUchaguzi Mkuu mwaka 2007naw anatuhumi wakupang anakusai dia kutekelezama piganok ati ya makabila hasimu

No comments:

Post a Comment