KATIBUMkuuwaChamaChaMapindu
zi (CC M) Taifa, Bw. Abdu lra hma nKinana,le oanaanzaziarayasikun ne mkoan iSh
inyanga ambapopamoja namambomengine, atakaguau teke lezaji wa mirad iyamaend
eleokatika wilayazote,a
na ripotiSule imanAbeid, Shinyanga.
A kizungumzanaw aan dishi
wahabari jana, K atib uwaCCMmkoani humo, Bw. Adam Ngalawa, alisemaBw. Kinana
piaa taangaliautekele zaji waIlan i yaUchaguziyaCCM,kutoa k adikwa wanacham a
wa pyanakufany avika ovy andani ilikui ma rishau haiw ac hamahicho.
Alisema msafara wa Bw.
Kinana aki wemoKatib uwaNEC, Itikadi naUene zi waC CM , Bw. NapeNnauye
,kesho(leo),saata tuasubuhiu tawasil i katika Ka taya Isaka, w ila yaniKa
hamawakitokea WilayayaNzeg a,mkoan i Tabora.
Akiw a k atika katahi yo,a
tapok eataarifayautekeleza jiwa kaziza CC MWilayanaMko a, ta arifa yaSe rikali,
k ug awakadikwawanacham awa pya nakus alimia wananchika blayak we
ndakatikaKatayaM wendakuli maambakoataka gu amiradi yama endeleo
ukiwemoujenziwa Kituo cha Afya Mwendak ulima.
Pia Bw. Kinana ataweka jiwe
la msingi katika Ofisi ya CCM, Kata ya Majengo, kufungua shina la wakereketwa
la Mkombozi SACCOS Majengo na kufanya kikao cha ndani na viongozi wa kata,
matawi, mabalozi, wazee na madiwani wa CCM wilayani humo.
Bw. Ngalawa alisema mchana
Bw. Kinana atafanya mkutano wa hadhara Uwanja wa CDT ambapo kesho atakwenda
mjini Shinyanga ambako atakagua shughuli mbalimbali za maendeleo katika Wilaya
hiyo, kushiriki katika ujenzi wa hospitali ya Wilaya na kufanya mkutano wa
hadhara Kijiji cha Salawe.
Alisema ziara hiyo
itaendelea katika Wilaya za Kishapu na Shinyanga Manispaa ambako atakagua
utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama ilivyoainishwa ndani ya ilani ya
uchaguzi ya CCM mwaka 2010.
Bw. Kinana na msafara wake,
wataondoka mkoani Shinyanga Septemba 14 mwaka huu kwenda mkoa mpya wa Simiyu
ambako pia atakagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuimarisha chama
hicho wilaya zote za mkoa huo
No comments:
Post a Comment