WANAFUN ZI86 8 ,030wanatarajiwakufa
nyamtihani wakumaliz a elimuyamsingi nama andaliziyamekam ili ka pamoja na kusa
mbazafo muzaOMRna nyarakamuhim u ,anar ipo ti Dar linSaid.
Akiz ungumzanaw
aandi shiwa habariDar es Sa laa mjana,Na ibuWa ziriwaElim unaM afunzoyaUfun di,
Bw.Ph ilipo Mulugo, alisema mtihani huo unatarajiwa kuanzak esho.Kati
yawanafunziwanaotarajiw akufanya m tihani huo , wavulanani 412,105sa wanaasilim
ia47. 47, wasicha nani 44 5.925sa wanaasilimia52.52 .
Alitoa witokwa
Maofisa Elimu katikamik oanaHal mashauri kuhakik ishatara tibu zoteza
mitihanizinazingati wapamo janakuandaamazingirasa lamaya tak ayozuia
mianyainayoweza kusababisha udangan yifu.“Na waonya
wasimamizi wote, wawemakinina waadilifukatikakipindicho techamitih ani, kujiepu
shana vit endovyaudanganyifuk waniS erikali haitasitakumchukulia hatua kali
zakisheria mtuyeyoteatakayekiuka taratibu ziliz opo,” al isema.
Aliwata kawana
fun ziwotekuzingatiata ratibuzami tihani ilim atokeo yaoyaon esh euwezowa
ohalisikulin gananam aarifa waliyoyapata wakiwa shuleni kwa kujiepushe na
vitendo vya udanganyifu ili kuepuka kufutiwa mitihani yao.Alisema
wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa shule hizo, waondoke
katika maeneo hayo ili kuwapa nafasi nzuri wanafunzi kufanya mitihani yao kwa
utulivu zaidi.
Akizungumzia
mfumo wa usahihishaji (OMR), Bw. Mulugo alisema umeonesha mafanikio makubwa
katika mitihani iliyopita kwani karatasi zote zilipita katika mashine maalumu
bila matatizo.Aliongeza kuwa,
Serikali imetenga sh. milioni 400 kwa ajili ya kuandaa vyeti ambavyo vinamfanya
mwanafunzi atambulike kama mhitimu wa elimu ya msingi.
“Fedha hizi
zimetengwa na Serikali, mzazi yeyote haruhusiwi kuchangia, kama yupo ambaye
atatozwa fedha atujulishe,” alisema.Awali, Bw.
Mulugo alisema kati ya malengo tisa ya mpango ya matokeo makubwa sasa (Big
results now), kwa upande wa sekta ya elimu Serikali ipo katika mkakati wa
kuhakikisha wanafunzi wa darasa la pili watapewa mtihani ili kutambua uwezo wao
wa kujua kusoma, kuandika kabla ya kuendelea darasa tatu.
No comments:
Post a Comment