10 September 2013

CEGODETA YATAKA BUNGE LIHESHIMIWE TAASISI yaUta wala BoranaMaendeleo nc hini(CEGODET A), imewata kawab un geku acha kuutumiaUk umbiwaBu ngekamasehemu yak ushinda nis haitikadiza vyamav ya obadalayaku wasilis hahojazawa pigakurawao, anaripoti Glad ne ssMboma
.Mkuruge nziMten dajitaasisihiyo, Bw.Tho masNga waiya, aliyasemahay o DaresS alaamjana wakati aki toamaoni ya taasisi hiyojuuya vuruguz ilizo tokeabungeni mji niD odoma ,hivikaribu ni.
A lisema taasis i hiyoimesikitishwanavuruguhizoamba po uchunguzi walioufanya ume baini wa bungewaliosababishavuruguhizo, walikiuka kanuni za Bung e.
“Spikaanalindwa nakanuni, anapozun gumzajambom bunge anapaswakutii na baaday ekujengahoja, k una kamat izama adili, utawalanau ongozia mb azondaniyakeku nawabunge kut okaupinz ani hivy oha kukuwanasab abuyambunge kushindana na NaibuSpika ambayeanalindwan ak anuni .
“KamaNaibuSpikaamek osea, mbunge a peleke malala mikoyakekwakamat ihusi kabada laya kush indanan aye,ku kaidiag izolake ndani ya ukumbi huo,” alisema Bw. Ngawaiya.
Aliongeza kuwa, Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kusimamia utendaji wa Serikali hivyo kama kitashindwa kupewa heshima yake, hakitaeleweka katika jamii.
Bw. Ngawaiya alisema kama hali hiyo itaendelea katika vikao vijavyo, Bunge hilo litapoteza heshima kwa wananchi ambao wana imani kubwa na vikao hivyo.
“Lazima wabunge watambue dhamana ya kuitwa waheshimiwa, sasa kama wataendelea kuburuzwa na suti zao, heshima kubwa waliyonayo itatoweka,” alisema Bw. Ngawaiya.
Aliongeza kuwa, mbunge anaposimama lazima ataje kifungu cha kanuni ambacho kinahusiana na hoja anayotaka kuijenga, lakini Spika anaweza kukubali au kukataa kutokana na sababu mbalimbali kwa mujibu kanuni.
“CEGODETA inawaonya wabunge waache kujali mambo ya vyama vyao bali waangalie masilahi ya wapigakura ambao wamewachagua ili waweze kuwasemea,” alisem

No comments:

Post a Comment