07 August 2013

WANACHAMA NSSF WASHAURIWA KUPATA HUDUMA MIKOANI


Na Mwandishi Wetu, Morogoro
MFUKOwaHif adhi yaJamii (NS SF ),ta wilaMorogoroumewatakawana ch amawamkoah uoku tatu amatat izoyao ndaniyata wi laobada layakukimbilia katika Ofisi za Dar es Salaam.A kizung umzana waandi shi wahabarikatika maoneshoya22ya wakulima yaNanenanemj iniMorogoromw elimishaji kutokakitengo chaTeknoh amachaNSSF, EliasaMw aliko,alise ma jamboh ilolime kuwaliki warudishanyuma ka tikautend ajikutokana nawanac ham aweng i ku kimbiliaJiji ni DaresSa laamkwakutafuta huduma.

Alisema wanachama wengi wana aminihudu mainay oto lewaofisiza Da r esSal aamnibora kulikokwenyematawi ya liyopomikoan i jambo ambalosisahihi kwani o fisizote za NSSF zinatoa hudumasaw a.Mw al ikoa lisema ,c hangamotohiyosikw atawil aMorogoro pekee,ba li ni kwama tawi m engi yaliyop omikoani k waimanikuwakatikiaofisi zaD ar e sSalaamkuna u wezekan owak uwaona wakurugenzi wa mradi wowote tofauti na mikoan i.
"Mwanachamaanakimbilia Ofisi kuuzilizopoJijini Dares Salaamakia mini ana wezakupa tahuduma aitakayokwam udasahihik wani viongozi weng iwana patikan ahapotofautinah ukuwa nahis ilabdawakimh itaj imen ejahapam koani anawezakum kosak wamada ia nawatu we ngijamb oam balos ila kweli,"alisem a mwa liko.
Alis emakunabaadhi ya wanach amaamba owana uelewampanawa k ufikak atikaofisi za NS SFnakuelezeamatat izoyao nawa sip oridhishw a nama jibuhuruhusiwa kuonana na meneja nakutatuliwa matatizo yao papo hap o.Mwaliko alit oawito kwa wanachamaw otewa liopok atikamatawiy oyo te nchi niwa mal izematatizo yaokatikaofi sizaona endapo tat iz olake litahitajika kwendaD aresSa laamw ataruhusiwalakinisi kukimbilia Dar es Salaam moja k wa moja.
Aid haalisemakati ka maon eshohayoya Nane n anemwakahuu wamejipangakutoaelimukwawanachama na wanac hama w apya wanaotakaku jiungail iw aweze kujua faida zakujiung an amfukowa NSSF.

No comments:

Post a Comment