Na Rehema Maigala
UTOZWAJI w ak odi katika ununuzi waza olazabibumko ani D odom aut
asababisha zaohilokufan awakulimakukosamasokokama ilivyosa sa.Aki zungum
zambel eya wa andishi wa habari janajijini Dar esSalaamMkurugenzi M
kuuwaKampuni ya Tanzania Distilleries Limited,Dav idMgwassa alis ema utozwaji
wako di katikazaohilolina sab abishawanun uz i kukimbilianjeyanchi b
adalayakunufaisha zabibuziliz opohapa n chini.
Alise maKam
puniya Konyagi imefufuaza olaza bibumkoani Dodoma k wakw en dakuwa
chukuliawakuli mambeguyazabibuAf rika Kusiniili wanunu zi wasifua tezaohilo nje
ya nchi na wanufaishe wakulima waliopo ndani ya nchi.“Zao la zabibu bado halijakua hapa nchini
na kitendo cha wanunuzi kulipishwa kodi ni njia inayosababisha wakulima
kutopata wanunuzi kutoka ndani ya nchi,”alisema Mgwassa.
Aliongeza kuwa kampuni yao inanunua
asilimia 90 ya zao hilo mkoani Dodoma na hununua kilo moja kwa sh.800 huku soko
la dunia huuza kilo sh.200 .
“Tunafanya hivyo ili wakulima wetu wa
Tanzania waongeze uchumi wao na waone faida ya kilimo ndani ya nchi
yao,”alisema Mgwassa.Hata hivyo alisema mwaka jana walinunua zabibu
zenye thamani ya sh.bilioni 1.8 na mwaka huu watatumia sh.bilioni 2.3.
No comments:
Post a Comment