23 August 2013

WALIMU WAGOMEA NYUMBA ZA WACHINA



WALIMUwanaoka akwenye nyumba zi lizokuwazi kikaliwanawafan ya kazi waK ichinawaKa mpuniyaSinohydr owalioku wa wakijenga barabar ayaTanga- Horohoro, wamesemaha wat aondokang’ok wen yenyumba hizo hata kwa mtut uwabun duki
.Wali muhaowa nao fundishakatikaSek ond ariyaKiomoni iliyop okat ikakat a yaMzi zimakatikaJi ji laTan ga,walis emakuwa hatuayaMk uu wawila yakutakakubad ili shamaam uziya awali kwambamajengohayo baada yawakanda rasi kuond oka,y atatumika kama makaziya wa limuna jengo mojala maaba rayashule .
Mm ojawaw alimuhaoa mbaye kamawen zak ehawak utak akutajama jinaya o, alisemakuwamk atabawaawa liunaonesha kwam bashule hiyoya sek ondar iilita ki wakutoasehe muyaeneol akelash ule ili mka ndarasihuyoajeng em akazi kwawafany akazi waken akishawakimal izamkata bawaujenzi wa barabarama jengohay o y atatumiwakw amakazi ya walimu na maabara yash ule.
“Sasamku uwawilaya (H alimaDendego ) nak ama ti yakeyaulinzi wamefi kawanatak akututoa kwa nguvueti anatakam ajengohayawayafan ye zahanat i, wat afuteeneolinginewajengehiyozaha nati ambao ni wajibu wao na sisi hapa hatutoki ng’o hata wakija na bunduki, wameshindwa kutujengea nyumba sasa hizi zimejengwa na mkandarasi tena kwenye eneo letu, wanataka kutunyang'anya hii haikubaliki,” alisema mwalimu mwingine.
Mgogoro huo umezuka kiasi kwamba tayari umeanza kuleta msuguano baina ya Mkuu huyo wa wilaya na Ofisa Elimu Sekondari, Kasimu Sengasu ambaye kutokana na Mkuu huyo wa wilaya kumtupia lawama kwamba ndiye aliyetoa uamuzi wa walimu kuhamia kwenye majengo hayo amehamishiwa mkoani Rukwa.
Mkuu wa wilaya alipanga majengo hayo yawe zahanati itakayohudumia wananchi wa eneo hilo pamoja na shule na alitaka kutumia ziara ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Agrey Mwanri kuzindua zahanati hiyo.
Hata hivyo, hadi sasa walimu hao bado wapo kwenye nyumba hiyo ambapo walisema kwamba walimu wa shule hiyo waliopo 30 ni 15 tu ndiyo wanaoishi kwenye majengo hayo na wengine wamepangisha katika maeneo mengine mbalimbali Jijini Tanga hatua ambayo wanatakiwa pia kujengewa na Serikali

No comments:

Post a Comment