20 August 2013

VINYWAJI

Meneja wa vinywaji vya GrandMalt na Vita Malt kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Consolata Adam, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana, kuhusu uzinduzi wa kampeni ya vinywaji hivyo na kuwatembelea wateja nyumbani. Kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Bi. Doris Malulu

No comments:

Post a Comment