13 August 2013

MBUNGE AWAASA WAKULIMA KUJIWEKEA AKIBANa Allan Ntana, Sikonge
WAKULIMAwi layani Sik on gem koani Taborawametakiwakuacha tabiayakuuza ch a kulac hotewanachovunabadalayakewajengeutam aduniwakujiwekea a kibakwaajili y a t ahadhari yanjaa kwa kuwamsim uwamv uasiku hizihautab irikina tay arima eneomengiya mer ipotiwakuwa na uhaba mkubw awachakula
.R ai hiyoime tolewana MbungewaSikon geSaidi Mkumba ali pokuwakati kaziaram aal umuyakutemb eleawa nanch iwakata zaKip ang ana Usun ga wilayani hu moilik uelezeamafanikiombalimbali yaliyop atik ana katikakipindi chamwakajananam waka huu sambamba na kusikiliza kerombal imbalizin azowak abili wana nchiwaish iokatikakatahizo.
Akizungumza na wananchi hao kwanyakati tofa utikatika kijijicha Imal ampakanaUs unga,Mkum baalisemaku wa wakulim awengi wameku wanamazoeaya kuuzachaku la choteili kujipatia fedha hukuwakisah aukuwekaakibakwaajili yab aadayehali ambayoinaw aweka katika mazingira ma gumuhasak unapoto keauhabawamvua katik amsimuunao fuata.
Mkumbaalibainish ak uwam wakahuu hali ya chakulasi nzuri katika maene omengi ya Mkoawa Tabora, hivyoak awatakawatum iechakulawalichonachokw auangalifumkubwa ili was ijek utumbukia katika dimbw i laku anzakuomba ombak utokamah alipeng ine.
"Ndugu zan guna ombasanamzingatieh ili,naj uamwaka jana wengi wenummeuzas anachakula, lakinisasa n awaomb amu imarisheakibayacha kulamlichonacho, hakik ish enimna jiwekea akibayakutosha acheni kuuza chote," ali sema.
Akizun g umzia s uala la elimu, Mkumbaalisemakuwas erikaliinayoongoz wanaChamaCha Mapinduzi(CC M) imeend eleakuboresha eli muya msin gi, sekondarinavyu ov ikuuilikutoamwanyakwaw atotowe ngi zaidi kujiunga kwa manu faayawazaz i wao natai fa kwauju mla, hivyoakawata kawakuli mahaoku hakikis haw anapouzase hemuyamazaoya owawapele keshule watotohao.
"Tuji tahidi kuwasomesha watoto wenu ili wafanyike kuwa msaada hapo baadaye, kwani elimu ni msingi mzuri wa maisha ya watoto hao na taifa kwa ujumla, hakikisheni mnawapeleka shule, wale watoro nao wahamasisheni wapende shule, katika hili naomba wazazi na walimu tusaidiane ili kupunguza utoro wa watoto hao," alisema.
Aidha, Mkumba aliongeza kuwa serikali imedhamiria kumaliza kero zote zinazoikabili sekta ya elimu, kilimo, afya, barabara, mifugo na umeme katika Mkoa wa Tabora na maeneo mengineyo hapa nchini lengo likiwa ni kupunguza kama si kumaliza kabisa kero hizo ambazo zinachelewesha maendeleo ya wananchi, tayari jitihada hizo za serikali zimeanza kuzaa matunda katika sekta mbalimbali


No comments:

Post a Comment