13 August 2013

BANDARINI SACCOS YAPATA MTAJI WA BIL.5/-



 Na Lilian Justice, Morogoro
WAKULIMAwameaswakuhakikisha wanaunda Vik undivya KuwekaAkibanaKuko pa(SACCO S) ili waweze kujikwa muaki uchumi na kupatam ikopokuto kataasisizakifedhaikiwemo ma benki.Hayo yalisemwahivi karibuni naWaziri waViw andanaBiasharaDk t.Abdall ahKigo da wakati alipot embeleaba ndala chamachaakibana miko pocha wafanya kazi wa band ari (BandariniSaccos) ambapoaliwataka wakul ima kuundaSaccosz itakaz owakomboa kiuchumi n akupatatija.

Dkt.Kigodaalis ema kuwawafany akazi we ngiwameweza kubadilis ha m aishayaokw a kujenga nyumbanakuan zish abiasharakutoka na na kupa tamikopo kutoka katikasaccosza o."Endapo waku limawakiundasaccoskamawal ivyofanya wafanyakazi wataweza kulima kwa ufan isin akuo ngezatija katikamazaoyaona h atakuwe zakusom esha watoto, nawa ombatubadil ike hatakilimosasani bi asharanzuri," alisema Dkt.Kigoda.
NayeMwe nyekiti wa Bandarini saccos,Stella Mutayabarwa akielezea namna saccosilivyowasaidia wanac hamawake alisema kuwampakasasa c hamahichoki namtaji wash.bilioni 5ambap oki la mwezi wamekuwa wakikusanyash. m ilioni320 .Mutayaba rwaalisem akuwa wanachama wamewezaku punguzamakali yamaisha kw akuweza kujenga n yumbanak ufanya shughuliz akuwaong eze akipato.
Hatah ivyo, mwenyeki tihuyoalisema kuwasaccosn yingi zimekuwaz ikishindwa kue ndeleakutokana n aviongozi waliowengi kutokuw awaaminifu ,ikiwani pamojana kutofanyamikuta noyamarakwamaranak ut ofuatashe ria, ka nuni na tara tibu zachama husika.

No comments:

Post a Comment