22 August 2013

MAN UNITED WASHEREHEKEA USHINDILONDON, Uingereza
BAADA ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Swansea Jumamosi, wachezaji wa Manchester United juzi usiku walikusanyika kupata chakula cha pamoja kusherehekea ushindi huo.Vijana hao wa kocha, David Moyes hawakuwa peke yao katika hafla hiyo, kwani waliambatana na wake zao na marafiki zao wa kike, ili watu wote waweze kuwaona
.Huku kukiwepo na tetesi za kuondoka katika klabu hiyo, mshambuliaji Wayne Rooney alijitokeza akiwa na mkewe Coleen, huku akikataa kuzungumzia mustakabali wake na Manchester United.Rooney aliungana na Moyes, pamoja na wachezaji wenzake wakiwemo Rio Ferdinand, Nemanja Vidic, Danny Welbeck, Wilfried Zaha na Tom Cleverley katika mtaa wa Deansgate katikati ya jiji la Manchester.
Huku nyota wengine wa Ligi Kuu England wakiungana na wenzao wa United, beki wa katiFerdin andalisimami shwana mashabiki njiani na kupiga nao picha.Moyesalionekanaakiwamchanga mfu, ingawa klabu yakey azama niyaEve rton ikiwahaina fu rahaku tokananaMoyes kuwafukuzia, Marouane Fellaini na Leighton Baines

No comments:

Post a Comment