30 July 2013

USHIRIKA SAME,MWANGA WAUZA KAHAWA KILO 52,928



Na Heckton Chuwa, Same
CHAMAkikuuc ha ushir ikakatika w ilaya z aMwangana Sam e,mkoaniKili manjarochaVuasu, (VC U),kimeuza jumlay akilozaka haw asa fi52,928zenye d ham an iyash .m ilioni 226.4,kwenye mn adaw akahawaunaoen deshwanaBod iya kahawa nchini,(TCB), katika msimu wa 2012/13
.H ayoya meelezwan a mwenyekitiwaVuas uBw.Elinaz iBerya,wakati wamk utanomkuuwa2 9wacha mahicho, uliofa nyik am jini Same, Mkoa wa Kilimanjaro, hivi karibuni.Katikataarifa iliyotolewa kwa niabayakenameneja mkuuwaVuasu Bw.J ohn Kiure,Bw. Be rya alisemakuwak atikamsimu2012/13 , cham ahicho tayari kilikuwa kimesh aku sanyaki lozakahawa73,519zakahaw aha di kufikia Mei, 201 3.
"Makusanyohaya ni nje ya lengolakukusanya kilo 100,000zakahaw a; upungufuhuuumetoka na nahaliya uk ameamb aouliathiri uza lisha jiw akaha wa,"ali sema.Mw enyek it ihuyopiaalisemakuwambalinam apato hay o, chama hicho kikuu pia kilipata mapato menginek uto kanana k upan gishamajengo naseh emuzaofisi zinazomilikiw anachama hicho.
"Chamak il ipat ajuml a yash.12,6 54,000kutokananakuk odishanyumba na baadhi ya ofisizetu,w akatibiash aray asukari ilitui ngizi ash. mi lioni9.3, "a lisemanak uong ezamapatoyau kodish waji wa ofisiyang eongez eka iwapoofisizotezinge patawapa ngaji.
Ku husumip angoya baadaye ya chamahicho, Bw .Bery a a lisemakuwa u ongoziwabodiwachama hichokin amipang o y akujenga hoteli nau kumbiwam ikutanoambavyo alisema vitakuwa vitega uchumi vya chama hicho kikuu.
Alisema kuwa pia chama hicho kimeanza mchakato wa kuanzisha mgahawa wa wa kisasa ambao alisema mbali na kukiongeza chama hicho mapato, pia utachangiaji uongezaji wa unywaji wa kahawa kwa soko la ndani.
"Aidha pia tumeanza mchakato wa kuwa wakala wa pembejeo za kilimo za aina mbalimbali kwa ajili ya wanachama wetu na wakulima wengine,biashara ambayo ina faida kubwa; hii pia itatusaidia kuongeza mapato ya Vuasu," alisema.

No comments:

Post a Comment