KAMPU NIyasimu Tanzania TTCL)ime dha
miriakuwekezazai di katikat eknolo jiaya kis asanakuifanya kuwamh imiliwa
mawasilian o nchini, anaripoti MwandishiWetu.Kauli hiyoimetolewa kwawaandishi wa
habari jijini Dar es Sala am, Mkuuw aMas okonaMauzowaTTCL ,P eterNgo ta, waka
ti akieleza mikakati ya shirika hilo
.Tayari ,kup itiamkon gowataifa,
kampunih iyoime wezakuu nga nishakatikamtandaowa mawasi liano, taasisi za
serikali mbalimbalikatikakile kinachojulikana kama
serikali mtandao.Mkongowataif awa mawasilia noni muundo
mb inuw at eknolojiaya habarinamaw asi liano(TEHAMA) unaoje ng wanaserik ali
kupitiaWi zarayaMa wa siliano, Saya nsi naTekn olo jianakusimamiwanakuendeshwa
naTTCL.
Alisemauu nganishwaji huo
utasaidiakatikakurahi sisha utendaji wa Serikali na hivyokuletamaendele o hara
ka.Alitoamfanokuwa tayari wizara mb alimb
ali kamaT AMISEMI naofisizawaku uwa mikoazimeungan ishwanamk ongohuo.
Aliongezakuwa S erik aliimewe kezakatikam kong ohu onakuz iunganishataasis
ihizoi lizi we zekufikisha hudu mazak ekwa watu wengi na kwahara kaza idi.
“Hiini njiamo jawapoyakufanik isha mpa
ngowa serik ali wa mato keo makubwas asa nadirayataifayamaendeleo ya20 25,”
alisema.Aliongeza
kuwa tayari hospitali mbalimbal i ikiwe mo ya TaifayaMuhimbili,AmananaT umbi
mko ani Pwanizimesh aung an ishwanamkongo huo wataifailikuimari sha afya
mtandao.
No comments:
Post a Comment