KITUO c haUw ekezajinch ini (TIC)kimeuh
aki kishiauongoziw akampuniyaDangoteGroupkuwauwekezajina uje n ziw akiwan
dachasime nti unaofanywana kampuni hiyonchini utaendel
eakupatiwaushirikianowakutosha ili kiwezekukamilika na kuanzauzalishaji
kwamudau liopangwa, anaripoti Mwa ndish iWetu.
Hayoyalise
mwana Mk urugenziMtenda ji waTIC, JulietKairuki, mwisho ni mwawiki jijiniDar es
Salaamwakati akizungum zanaujum bewaviongoz i wakampuni hiyowa liote
mbeleakituo hicho.
AlisemaSe
rikaliikoma kini kuhakikis hawawe kez ajihaowanapatakil aai
nayamsaadawanaohitaj i ilika ziyao ien de vizuri kwa fai da yapan dez otembili.
Kwamuji buwa mk
urugenzi huyoSer ikali inatarajiakuo na kiwan dahikikinakamil ikanakuanzau
zalisha ji. Alisemakazi ya kitu ohichonikuhamas ishawawekezaji kuja kuwekeza na
kuwasaidia wanapokuwa nchini.
Ujio wa kiwanda
hicho unaelezwa kuwa utakuwa mkombozi mkubwa katika uzalishaji wa simenti.
Kwa upande
wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Dangote, DVG Edwin alitoa shukrani kwa TIC na
serikali kwa ujumla kwa kuwashawishi kuja kuwekeza nchini na kwa msaada
wanaoendelea kupata kutoka serikalini.
“Serikali
kupitia kituo hiki imetupatia ushirikiano mzuri tangu mwanzo hadi sasa ujenzi
unapoendelea,” alisema.
Alisema ni sera
ya kampuni hiyo kuzalisha bidhaa bora lakini zenye bei nzuri kwa watumiaji.
“Tunaahidi
ushindani bora kwenye soko na watu wa Tanzania watarajie mazuri kutoka kwetu,”
alisema. Aliongeza kuwa dhamira ya uongozi wa kampuni hiyo ni kuhakikisha
Afrika inavuna rasirimali zake na inaziongezea thamani kwa manufaa ya watu
wake.
No comments:
Post a Comment