BAAD HIyaMilanaD esturi zime tajw akuch
angia vifovya ak inama ma wajawazitonawa totowaliochini yaum ri wami
akamitanokat ikabaadhi ya maen eoyaMk oawa Morogo ro,an aripotiMwandishi
Wetu
.Waki zung umzanaw aandishi w aha bar
i,baadhi yawakaziwaKijiji cha Kibagara,Ka tayaT chenzema Wilaya yaMv omer o,m
koani Mo rogoro, Ve nera ndaKibua,a lise mamilazao zimekuwazikichangiavifovya
watotobaada ya mtotok uzaliwa.Mila hizoz inakataz amtoto kunyonyeshwa
maziwa ya mamamara baada ya kujifungua kwa madai kuwa nimachaf u.
“Kwamilazetuz aKi lugurumtotoakizal
iwahanyonye shwi maziw ay aleya kwan za yana yotokakwa mamayake kwaimani kuwani
machafu,hivyo mama hulazi mikakuyak amuahali in ayochangia m totok
ukosavirutubisho,” alisem a.Aliongezakuwakatika mila na desturi
hizo jamii ilielew a kwa mb amto tomwenye umrichiniyamiakamitanonila z imaan
yweshweuji wa mahi ndi ya liyokobole wana kulowe kwaja mboambalo alisema
nihatari kwaku wauji huohaun avirutu bisho.
Naye,Mwenyek iti waKit ongoji chaT
chenzem a, PriscaMwenda , alisemakwa s asajamiihiyo imeanzakuelewa umuhi
muwakuzing atia masualayalishebaad a yakupataelimukut oka KituochaUshauri Na
saha chaChak ula na Lishe(C ECOFON).“Vi tuambavyo vilikuwa havipewi
kipaumbele na wananc hi wa kijij ihiki ni ma sualayalishe nandiyomaanavifovyaw
atotonawaja wa zitovil ikuwa vikiripoti was ana, lakini tang uwananchi waanze
kupewa mafunzovif ovimepungua,”a lisema.
A lisemakati k a kit ongoji hichow am
eanzakupiga vita nakutokom ezamilazinazokinzan anaunyony eshajib orakwal engola
kuhakikisha kwamba wananchi wanazingitia lishe bora.Alisemajap os ualala
lishekwakiasikikubwalinachangi wan akipa toduni, lakin i wan ajitahidi kuhakiki
shaelim uin awafikiawalengwahasaikizingatiwa kwambamk oahu ounazalish a vyakula
kwa wingi.
Alitajaba adhi yachan gamoto wanazokabiliananazoni baadhi yaviongoz i
wadini nas erikali kutozungu mzia masualaya lishewakatiwa nafahamuk
wambabilanzuri ma endeleo hayawe zikupatikana kwa har aka.
No comments:
Post a Comment