30 July 2013

WACHAFUA MAZINGIRA KUTOZWA FAINI 50,000/-



 Na Heri Shaaban
 KAMP UNIzausafiManispaaya Ilalazime kab idhiw a jukumu lakukamataw ana nchiwanaoc hafuamazingir anakuw atozafaini ya papokw apa poya sh. 50,000 ili kukomes hatab iahiy o.ukumul akuzi ka bidhi kampunihizokusimamia s ualalausafilinatokan a na wa nanch i w engikuwa na elimu ndogo yausafinamazin gira.

  Akito atamko k wawaandishi wahabari Dar esS alaamjan a wakatiKi kundichaVijana waKani sa laUni versal wak ifanyau safi eneolaufu k we,MkuuwaIdaray aUsafis hajiIlala, Samweli Bub egwa , a lisemaman ispaaimefikiahatua hiyoy aku zikabidhi ka mpunizausafij ukum uh ilokutokananawananc hi kushindwakuzing atiakanuni zausa fi.“Tumew apajuk umuhi lila kuw akam atawachafuzi wa maz ingira siokwakam puni hizozatakapekeyakehatawewe aumimi unaruhusiwakumk ama ta mtuana yechafua mazingira ambapou kimfi kishakat ikaofisi yoyote y aOfisaMten dajiwa KataauHalmash auri atato zwaf ainiyash, 50,000 yapapokwapapo, ”alise ma na ku ongeza k uwaanay eka ma tamtuhuyoanapewash. 20 ,000nash.30 ,000 inaingiaman ispaa,”a lisema.
 Bubeg waalisema sheriahiyo kwa Ila la imesh aanzaku tum ikakwabaadhi yakata zakatika tiyamji na b aadayezitafikia kata za pembezoni kwa lengo la kuweka mji wao katika hali ya usafi.
A l i s e m a m a n i s p a a h i y o wameshazindua kampeni endelevu ya usafi na ili mji huo uweze kuwa msafi zaidi kazi ya kukamata wachafuzi wa mazingira ni ya wadau wote.Aliwataka wananchi washirikiane na halmashauri hiyo ili mji huo uweze kuwa kivutio kama ilivyo kwa miji mingine inayoongoza kwa usafi nchini.
Pia aliwataka wananchi kujenga tabia ya kuchukia uchafu na kuzingatia usafi wa mazingira wanayoishi, kwani uchafuzi wa mazingira unasababisha mlipuko wa magonjwa mbalimbali  

No comments:

Post a Comment