NaMwandishi wetu, Ma kambako
MADIWANI na
watendajiwa idaramb alimbali katikaHalma shauriyaMji Makam bakowame tak iwakua
chakuf anya k azikwam azoea nabad alayakewa tumi efursazil izopopamoj anarasi
limali watuilikuch ocheak asi yaukuaji wa maendeleo katika halmashauri hiyo.Kaulihiyoi me
tolewanaMkurugen zi Mku uwaMamlak a ya Uendelezaji wa Bondela
MtoRufiji(RUBADA),Aloyc eMas anja, wakati waseminay akuwajengea uwezowat endaji
n am adiwani wahal mashaurihiy oju u yaMpangowaUendelez ajiw aKilim o katika
UkandawaKusini mwa Tanzania (SAGCO T)
.“Nduguzangun aom
batufanyekazi, haya mamb oyakul aumiana hayawezik utuf ikishapop ote,ni vyema
kil amtuakatim izawaji buwakemahal apakepakazi,ili kufikis ha taifah ili kule
lina kotaki wakwenda,”alisema .Aliwaombamadiwani na
watendaji kutoa ushir ikianokwa mamlakahiyokwakuain ishama eneoambayoyanafa
akwakilimoiliyawe ze kuta futiwaw awe kezaji wata kaowek ez a katik a sektahiyo
hapanchiniilikuletamaendel eo.
“Mamla kasikuzote in ahakikishawananchiwa nafa
idikasambamba nauwek ezaji unaofanyikakatikama eneoyaonawaomba wana Makamb
akomlit ambue hilo,” alisisitizaMas anja.Aliwatakawatend ajihaokuwatumikia w ananchiwao kwa
nguv uzaoz otei kiz ingati wakuwam ji hu obad onimdogona unahitaji
kuendelezwakwakiasikikubwai li kuubadilishi sha to fauiti nailivyo sasa. Ali
wakumbushawaten daji haokuwakati ka mkakati wa seri kaliwamatok eomakubwasasa,
(BigResults Now) hakunakulalan akwambakasi k a ti ka kufanyakazizakuwatu mik ia
wan anchi ndiojambo lamsingi.
Akizu ngumza kwaniaba ya mad iwaninawatendaji wah
almashauri yamji Makambako ,Mwenyekiti wahalmashauri hiyo diwani,Ch escoMfikwa,
alisemah almasha urihiyo imejip an gavyemakuibua miradi mingiyama endeleo .“Sis iwanaMak ambakotupo tayarik ushirik ianana RUB
ADAkatikam pango waSAGCOTili kujeng auchumi wa mji wetu nawatuwe tu ili tuweze
kujitegemea,” alisem aMfikwa.
Aliongezaku was emina waliyopata kuto kakwa
mamlakahiyo imewafungua macho kwa kiasi kikubwa hivyo mkakati wao ni kutoa
ushirikiano wa kutosha katika kuendeleza kilimo hasa kilimo cha umwagiliaji
katika eneo hilo.“Semina
imetujenga kwa kiasi kikubwa mimi nikiwa mwenyekiti nitakuwa mstari wa mbele
kuwahimiza vijana kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali ili kukuza kilimo
katika halmashauri yetu na kuleta mabadiliko ya kweli,” alisema
No comments:
Post a Comment