17 May 2013





Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma (kushoto) wakiangalia mboga za majani na bidhaa zenye virutubisho katika banda la Usalama wa Chakula katika Kaya, wakati wa uzinduzi wa msukumo wa Taifa wa kuongeza uwajibikaji katika kuboresha hali ya lishe nchini. Rais pia alizindua filamu ya Udumavu ambayo inalenga kuwahamasisha viongozi wa ngazi mbalimbali kutoa kipaumbele kuhimiza matumizi ya virutubisho katika vyakula. HABARI KAMILI UK. 5 Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment