17 May 2013


Meneja Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma,akimsikiliza Rais wa Taasisi ya Uhandisi Tanzania (IET), Dkt. Malima Bundala Dar es Salaam jana,wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Teknolojia ya Mawasiliano (TEKNOHAMA) yenye kauli mbiu 'Tumiateknolojia kuepuka ajali'. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Bi. Tabu Shaibu. Picha  naCharles Lucas

No comments:

Post a Comment