17 May 2013

Kampuni binafsi zatakiwa kusaili vigogo TPA




 BAADHI ya wafanyakaziwa MamlakayaBandari Tanzania (TPA)wameshauri taasisi zinazoh eshimikakamaPriceWaterHouseCoopersí naDeloitt eandTo uche zitumike kusimamiamchakatowakupatikana Mkuruge nzi mp yanawa tenda ji wengineilikuo nd oautataunaoweza kujitokeza, anaripoti Mwandishi Wetu.
Wafanyakazihao wametoa ushaur i huowaka ti a mbapojan ailikuwa sikuyamwis hok upokeamaomb iy awatuwanaot aka nafasiy aM kur ugenziwaTPAnamaofi sawengine zilizo
tan gazwaku ziba zilezilizoachwa wa zinamaofisa walioachishwaka zi.
" Hizinikam puni zinazohe shim ika,kwanihawahaw amjuim tukwasura w alahawan ama slahi kwenyena f as ihi yo, wanachop imawaon i uwezowamtu kwakuzinga tiavigezovil ivyowe kwa,"al isema mmojawawa fanyak azi ambaye alik ataakutajajinalake.
Al i s ema k a z i h i y o iki simamiwa nakampunihizonanyinginez ina zoheshim ika zitasaidia kupatikana watu amb aowataweza kuongoza TPAkw a ufanisim kubwa.
Alidai kwasasakunama mbomb al i m bali yanazidikuibu kak wenyekinyang'a nyiroch anafasi hiyoyajuukiute ndaji. Inada iwa kuwa idadikubwayaw atuwam epelek amaombi yao kuo mbanafasihi yo, hukuwenginew akiwawa meanza kujaribu kutum iambinuzisizokubal ikakuh akikishawanapenyakwe nyemchujo.
Ch anzohich okilieleza ku wabaadh i yaw anaotakanafas i hiyowa nachezarafu, hukuweng inewakithu butuhatakutumia udininau kabilakuha kikishawanap at anafasi hiyo.
Taarifa hizo zilimtaji mmoj awa watumaarufukatikad uruza TPA kwamba anahaha nakufanyakila awezalok uha kikisha an apatanafasihiyo a mbayo sasainakaim iwan aBw. Madeni Kipande .
"Mtuhuyo anafanya kila linalowezekan akuhakikishanafasi hiyoi naangukia mikononi mw ake.Hivi sasaanamtumiaMku rugenzi Mtendaji wataasis i mojainayoheshi mikasana kumpigia debe, ili ashinde, ndiyo maana tunataka mchakato huu usimamiwe na kampuni kutoka nje,” alisema mtoa habari wetu.
Habari hizo zinaeleza kuwa mchezo huo mchafu unaofanywa na wasaka, nafasi hiyo, umevuka mipaka na kujaribu kupanga mbinu za kuwafitini baadhi ya watu wanaoomba nafasi hiyo.
Chanzo hicho kimeeleza k uwa kwa k umt umi a Mkurugenzi Mtendaji huyo mwenye uzoefu na masuala la TPA, tayari anadaiwa wameanza zengwe dhidi y a mg omb e a mmo j a mwanamke kwenye nafasi hiyo anayeonekana kuwa tishio kwao na mwenye vigezo stahili.
Alisema wamebaini kuwa Mama ana uwezo na sifa zinazomwezesha kumudu nafasi hiyo, hivyo inafanyika mizengwe ili aonekane hana uwezo.
“Mambo yote haya ya nini? Watu wametuma maombi waache mchakato uendeshwe kwa haki ili tupate mtu anayestahili kwenye nafasi hiyo,”alisema mmoja wao kwa niaba ya wenzake.

No comments:

Post a Comment