MAHAKAMAyaWilayaya Kinondoni, Dar e s Salaam, imetupilia
mbali rufaa iliyokatwana Bw.Am inielMaimbo aliyedai kuwa mumewaBi. Josephine
Mushumbusi ,baada yakuiona rufaa hiyo hainamsingi wa kisheria.
Hu kumu
yashauri hilolamadaiya ndoa namba32/2012 ,ilitolewa jan a naH akimu
AnisethWamburaambaye alisema m ahakama hiyo imefikiauamuzi huobaadaya kukubaliana
na hukumu iliyotolewa Aprili2012 na Mahakama ya Mwanzo Sinza.
Bi.Mushumbusi alikuwa
akitetewa nawakiliBw.Philemon Mutakyamilwa, ambapo katika hukumuya awali m
ahakama hiyo ilidaihakukuwa nandoa baina
ya watuhao kwasababu Bw.
Maimbo alikuwa mzinzi,si
mwaminifu katika ndoayake na alikuwa akimtesamkewe.
HakimuWam bura
alisema, baadaya mahakama yakekusikiliza hoja zamwomba rufaa namjiburufaa, mahakama
hiyoilik ubalia nanahojayaBi. Mushumbusi kuwa tabia mbaya ya uzinzi na ukosefuwauaminifu
katika ndoayake hapakuwepon andoabaina yao.
“Mahakama hii
inasema kuwa, hukumu yamahakamayaMwanzoSinzaa mbayo iliivunjandoa hiyo ilikuwa sahihi,
”alisema .
Akizu
ngu mzabaadayakutolewakwahukum u hiyo, Bw. Mu takyamilwa alidai kufurah ishwa nauamuzi
huonakuongezakuwa, mahakama hiyoi metenda hak I kwasababukesi hiyo yamadai yatalaka
ilikuw anam sukumo w asia sachafuam baz ozilikuwan ale ngola kumchafulia jina
mteja wake.
No comments:
Post a Comment