BARAZA la Madiwani Halmashauriya ArushaVijijini,WilayayaArumeru limewasimamishakazi watumish iwatano wahalmashauri hiyokwatuhuma zaubadhirifu.
Watumishi hao wanakabiliwanatuhuma yaubadhirifuwash.milio ni
56 6,654,173zilizoto lewa kwaajili yakujenga vyumbavyamada rasaka tikabaadhi
ya shule za sekondari zahalmashaurih iyo.
M wenye kitiwaHal mashauriyaArusha,Bw.Sai monSaning'o, akitangaza uamuzi huo
jana,a lisemamhusikamkuu katikakatikashauri hilo ni wasaidizi
wake watatu .
Alisemawatumi shih a o wamesimam ishwaku pishauchunguzi.Alionge
zakuwa wamebain ikabaada yaMku rugenzi Mtendajiali yehamish
iwakatikaHalmashauri hiyo kumuagiza Mkaguzi wandanikatikahalmashauri hiyo,
Bw. Jackson Laizer, kufanya ukaguzi.
Mwenyekiti huyo alisema wamebaini wizi wa fedha hizo Februari,
mwaka huu na kuwa mchezo ulianza kufanyika Desemba mwaka uliopita.
Alisema kuwa, fedha hizo hazikupelekwa shuleni kama
ilivyoelekezwa.
Mkaguzi huyo anadaiwa kubaini kuwa hati za malipo ziliandaliwa nje
bila mfumo funganishi wa EPICOR na malipo kufanyika bila hidhini ya Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri hiyo, malipo kufanyika bila vifungu vya bajeti na hati
za malipo zilizoandikwa kwa mkono.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Arusha kwa sasa, Fedelist Lumato akizungumzia tukio la
kusimamishwa kwa watumishi hao, alisema kuwa watumishi hao watashughulikiwa kwa
mujibu wa sheria.
No comments:
Post a Comment