MTAA waLumumba wilayani Kibaha
unahitaji zaidi yashilingi milioni tisa kwa ajili yakuweka nguzotatu zadaraja lambaokwenyekivuko cha mtoMpijimpakani
mwa wilaya yaKibaha na Kinondoni.
Akizungumza na mwandishi wahabari hizi Mwenyekiti
wa mtaahuo, Gidion Tarimo alisema kuwa daraja hilo nim uhimu kwaokwa ajili
yakupata mahitaji yaoyakila siku ambayo huyapata mtaa waKibw egereWilayayaKinond
oni,Dares Salaam.
Tarimo alisema kuwa Wi layayaKinondoni kwaonikar
ibu ukilinganisha na Kibaha Maili Moja hivyo daraja hilolinahit
ajikufanyiwamatengenezoili liwezekupitika kwaurahisi hasa kupitishamagari
ambapokwasasahayapiti.
"T ume azimiakujenga
darajah ilohad imagari
yawez eku pitaa mbapokwas asamag ari hayapiti ha ta hi v yotumepigahatuakwa ni
zaman iwatuwalik uwawakipitam toni moja kwamojalak ini kwasasah awag usi m
ajinamaji yalipokuwayakijaawatuwalikuwa hawawezi kuvuka kwenda ng’ambo ya
pili," alisemaTarimo.
Alise makuw a hadikufikiahatuahiy owame tumia kiasi
cha shilin gimilioninaneambapowa nanchi wamej itol eahuk ufedha za mfukowaJim
boni kiasic hashilingi milioni mbili.
" Changam otozam atumizi yadarajahili n
ikubwakwaniilimtuupate huduma mbalim ba li za kijamii lazimauvukenakama k
unamama mjamz ito lazimaash ushwekwenyep ikipi kiamba zohutumik ahaliam bayosi
sal ama kwawa gonjwa wanamna hiy o,"alisemaTarimo.
Aidha alisema kuwa tayari wameshapeleka
baruakwamkurugenzi wah almas hauri yaMj iwaKiba hakusaidiwa fed hak wa ajiliya
ujenzi wadaraja hilo.
Aliwaomba watu na
mashirika mbalimbali kuwasaidia ili kufanikisha ujenzi huo ambao unatarajiwa
kukamilika ifikapo mwaka 2015 ilikurahisisha mawasiliano na sehemu za huduma.
No comments:
Post a Comment