19 February 2013

WARAKA


Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana, kuhusu waraka wa vitisho baada ya kuuawa kwa Padri Evarist Mushi wa Kanisa la Minara Miwili, Mji Mkongwe Zanzibar. (Picha na Prona Mumwi)

3 comments:

 1. Sijui tutawasidiaje ndugu zetu waislamu. Angekuwa ni sheikh amepigwa risasi basi wangeandamana na kuvunja maduka an kelele ovyo ovyo. Wakristo wansasema mpende na umuombee adui wako!!!

  ReplyDelete
 2. Udumu uamsho chini ya uongozi wa mstaafu mmoja maarufu hapo ZNZ. Tuone kama ataokotwa na polisi atoe maelezo!

  ReplyDelete
 3. nimesema karume anahusika achunguzwe mbona hamkuchapisha? kwa hiyo kutaja ni mbaya!
  Mnaitakia nini tanzania majira? tunataka kuwasaidia polisi waende mahala panapotakiwa. ,

  ReplyDelete