20 February 2013

OMBAOMBA


Baadhi ya watoto wa wanaoishi katika mazingira hatarishi wakiomba fedha kwa wasamaria katika Barabara ya Nkrumah, Dar es Salaam jana. Tabia hii imeendelea kukithiri kutokana na baadhi ya watoto kutumwa na wazazi wao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment